Unawezaje kuishi na mwanamke mwenye hasira kali na mrahisi wa kuzila na kufoka?

Bado namsikizia kama atabadilika kusema ukweli ni mkali balaa kila kitu kwake hakifai ukimzila haipiti siku moja anakutafuta na kusema mbona upo kimya kiufupi simuelewi
Stress hizo au ana childhood attachments!
Hawezi kubadilika mpaka umvumilie sana! Uende naye taratibu kwa kumuelekeza! Kama huwezi mweke kando dunia itakunyooshea mtu mwanetu!
 
Stress hizo au ana childhood attachments!
Hawezi kubadilika mpaka umvumilie sana! Uende naye taratibu kwa kumuelekeza! Kama huwezi mweke kando dunia itakunyooshea mtu mwanetu!
Kinachoniua ni huruma nikishamtumia mdada nikitaka kumuacha kuna kahuruma kananijia hasa ukizingatia na hali ya maisha ya sasa ulimwengu umevaa gauni
 
Huyo hakupendi. Inawezekana anazitaka fedha zako lakini wewe anaona ni kero kwake. Mwanamke anayekupenda anapenda sana akitaniwa na mpenzi wake. Au pengine... wewe una utani wa kijinga na ameshakusoma na kuona ni kama zuzu.
 
Kinachoniua ni huruma nikishamtumia mdada nikitaka kumuacha kuna kahuruma kananijia hasa ukizingatia na hali ya maisha ya sasa ulimwengu umevaa gauni
She has to learn it in a hard way! Usimuache jaribu kumpa funzo tu ukianza kumuignore vitu vya kijinga deal na kusudi la kukutana kwenu..
 
Tatizo ni hapo kwenye kubembeleza

Mwanamke Habembelezwi
 
nipo mwisho karibu kabisa na kushindwa ndugu yangu๐Ÿคฆโ€โ™€๏ธ,, nikikwama nitakupigia simu tajir angu๐Ÿ˜Š
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ sasa nimejua kwanini watu usiku hawapati usingizi na kwanini wengine tunapata usingizi... Nimejua hili baada ya kuwa mbali na aina yoyote ya deni usiku nalala kama katoto
 
Kwa comment hii inaonekana tatizo ni wewe na sio yeye,

Kuna msemo unasema;

Kila mtaa huwa una kichaa wake, kama mtaani kwenu hakuna kichaa, jichunguze huenda ni wewe.
Afu wewe bana!! Comment ya kwanza umeleta ile VAR hadi mwenye JF yake amecheka ๐Ÿ˜‚

Hii nayo! So unasemaje maana mtaani kwangu hamna kichaa! ๐Ÿคฃ
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ sasa nimejua kwanini watu usiku hawapati usingizi na kwanini wengine tunapata usingizi... Nimejua hili baada ya kuwa mbali na aina yoyote ya deni usiku nalala kama katoto
kwani mpka nyie madon huwa mnakopa na kukopwa? ๐Ÿ˜„
 
Piga chini.
 
kwani mpka nyie madon huwa mnakopa na kukopwa? ๐Ÿ˜„
๐Ÿ˜ Ukweli siku hizi nimetoka kwenye kundi la kukuopa labda nakopesha tu, kwa kiwango cha maisha nilicho barikiwa.

Nilijifunza kukopa ni tabia na sio ukosefu wa pesa na sio kwamba pesa tunayokuwa nayo huwa haitoshi bali tunakuwa na poor management ya hiyo pesa na ndipo hapo tunaanza kukopa na badae mikopo tunajuja kupima impact yake bado tunakuta ndogo sana. Unapokopa kopa ambacho unacho na sio ambacho huna

Jioni ndio hii ukaribie , ukitoka utakirini kwako๐Ÿ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ