Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 4,994
- 9,625
wanawake dizaini yako huwa wana tabia za kimalaya na tatizo la afya ya akili...trust me! Ukiona mwanamke hafurahii kampani yako au light hearted jokes and puns jua kuwa anaye bwana mwingine anayempa attention.Unashindwaje kucopy na mtu unae ishi nae 24/7?
Sio kila mtu anapenda jokes na story za paukwa pakawa.
Story ndogo imeisha we unataka uongeze script! Lazima manzi akuchoke.
Hata mimi sipendi watu kama wewe.
Nogeshwa panapopaswa kunogesha, sio kufosi maujinga.
NakaziaMwanamke ana tabia ya kukusoma kwanza ndio anaanza kukuendesha kutokana na jinsi ulivyo.
Hapo tatizo ni wewe, kuna siku ataanza kukupiga makofi
Kwamba unaweza mwambia “take care” akakujibu na wewe chunga sana!sana tu, sasa uyo anataka waangaliane kama miti msituni, duh..... ata akimlenga na mto anaweza tolewa ngeu na glass 🙈
Unamng'ang'ania wa nini sasa?Kwa huyu nikimkazia ni kila siku nikumpiga mangumi hana mahaba kabisa ni full mistress mda wote
ChaiKwa jinsi ninavyoijua JF,
Hapa utakuja kupewa majibu mawili tu kati ya haya,
- Unachapiwa
- Huichapi inavyotakiwa.
kuna zile shida za gafla zinazo tokea alf unakuta mtu hana kitu inabidi tu akope,, kiukweli na mimi sipendi hiyo michezo ya kukopa na kukopeshana sema kuna mda havikwepeki😁 Ukweli siku hizi nimetoka kwenye kundi la kukuopa labda nakopesha tu, kwa kiwango cha maisha nilicho barikiwa.
Nilijifunza kukopa ni tabia na sio ukosefu wa pesa na sio kwamba pesa tunayokuwa nayo huwa haitoshi bali tunakuwa na poor management ya hiyo pesa na ndipo hapo tunaanza kukopa na badae mikopo tunajuja kupima impact yake bado tunakuta ndogo sana. Unapokopa kopa ambacho unacho na sio ambacho huna
Jioni ndio hii ukaribie , ukitoka utakirini kwako😁
Kukopa kupo kwa aina nyingi. Ila ukopaji wa kutokuwa na kitu kabisa ni mbaya na ni indicator ya umaskini 🙈.. Ukopaji mzuri ni ule una kitu.kuna zile shida za gafla zinazo tokea alf unakuta mtu hana kitu inabidi tu akope,, kiukweli na mimi sipendi hiyo michezo ya kukopa na kukopeshana sema kuna mda havikwepeki
saivi jua bado ni kali macho ni mengi😄
Mtu kutokupenda aina yako ya utani ushamvisha jina la umalaya ndugu?wanawake dizaini yako huwa wana tabia za kimalaya na tatizo la afya ya akili...trust me! Ukiona mwanamke hafurahii kampani yako au light hearted jokes and puns jua kuwa anaye bwana mwingine anayempa attention.
Ushauri kwa mwana ni kuwa piga chini hiyo kenge tafuta mwanamke ambaye anafurahia uwepo wako na hakupi negative energy
Wote mpo kwenye foolish age, hamjui nini mnahitaji kwenye maisha yenu na mbaya zaidi hamjui hata hayo mahusiano yenu yanauhusiana nini.Kuna siku aliomba nimpe elfu3 nikamtumia elf10 kisha baada ya siku kadhaa nikamwambia unaonaje nikufungulie biashara x uwe unaokota okota hapo ikiwa ni malengo ya kujiwekezea
Jibu likawa: nitakurudishia hela yako maana yote hayo kwakuwa nilikuomba hela nikakausha akituma meseji sijibu anakuja kuniambia ningekuwa na mtaji ningeuza vitambaa na vijora kwa kukopesha pia sikumjibu
Wenzetu mna roho lainiWakuu,
Hapa nimeyakanyaga. Yaani, hata kitu ni kidogo au unamtania - yeye anakuja juu na kufokafoka. Ile wewe unaita kunogesha penzi na tu-story twa hapa na pale, yeye kwake ni kero!
Ana sura nzuri, umbo zuri; na hatujaoana.
Kuishi kwingi, kuona mengi. Wenzangu mlioishi kwingi, watu kama hao mliishi nao vipi?
Ndio vinakua hivi vijamaa yeye na huyo manzi wake.hata kama ni mimi lazima ni panic sasa huo ndo utani gani? kwanza mna miaka mingapi 🤔, usikute bado ni under 25
Hakika, maana inaonekana anapenda kujiamulia tu mambo.sawa kaza inabidi urudi jando ukafunzwe mwanetu
Au usikute ndio akina junior wenyewe hawa.Ila wewe utoto wako umepitiliza mpaka kuwazidi hata hao watoto wenyewe.
huwa najitahidi kufanya hivyo pia,, kabla ya mwisho wa mwez huwa napangilia kila kitu mpka natenga na ka alf 20 ka kununua choma kilo na vi juice vya flying fish hata viwili na mambo yangu yanaenda vizuri,,Kukopa kupo kwa aina nyingi. Ila ukopaji wa kutokuwa na kitu kabisa ni mbaya na ni indicator ya umaskini 🙈.. Ukopaji mzuri ni ule una kitu.
Jitahidi kwenye ku manage ambacho unacho , shida ya wengi hatuna management nzuri kwenye vitu ambavyo tunavyo ndio maana vinaonekana havitoshi au hatuna.
Akiba muhimu kuwa nayo, kwa ajiri ya dharula ( na dharula ambazo ni sensitive ni za afya , ambayo hii nzuri unakuwa na bima ya afya ile kubwa ) ila emergency zingine zinavumilika tajiri yangu.
Wavimba macho macho kodoo 😁
junior alf mweupe anakimwili mwili kidogo😂😂 ndo wana michezo ya hivyoAu usikute ndio akina junior wenyewe hawa.
Hii Ina ukweli penzi changa linakuwa na changamoto hasa kila mtu bado hamjui mwenzieMtu kutokupenda aina yako ya utani ushamvisha jina la umalaya ndugu?
Ipo hivi, tunakutana ukubwani… mara nyingi hatujui background ya malezi tulikotoka, hatujui ninini ni utani kwa huyu na nini si utani kwa huyu.
Mfano, kuna rafiki yangu mwanaume wake anamuitaga we “msenge” uko wapi? au anamwambiaga una matiti madogo (which is not true, sababu mashallah ana dodo nzuri ) , trust me anamtania…. (i learnt this through his tone) na kila huyo mdada akisikia hayo maneno kutoka kwa mwanaume wake huwa ana “sawajika “ I can tell….. until siku yaliyopomshinda akakaja kuniuliza kama ni kawaida, nilimjibu kutokana na namna navomsikiga namuona anafanya utani…. lakini kwangu pia it doesn’t sit right.
Binafsi kwetu tulivyolelewa, huwezi fanyia utani muonekano wa mtu… Bonge, mfupi, ng’ong’oti, sijui nini nini huwezi sikia mtu anatumia hayo kwa mwenzie, vile vile vimatusi matusi napo hapana.
Mfano mwingine; Kwa mara ya kwanza nilienda kwa mwanaume wangu, nikakuta nyumba safi mnoooo, ananijua so alitafuta dada akafanya usafi sana nikakuta nyumba safi inanukia.. Nikamwambia jamani nyumba safi itabidi kwenye kunioa na wewe upewe mahari maana umelelewa vizuri (Seriously nilikuwa natania cause who does that?) Weeeeee alinimind kwa hiyo kauli, akaniambia ni kama nimemweka dole la kati….. Nilijifunza kuhusu utani siku hiyo.
Nilikuwa najaribu kukwambia, kabla hamjataniana, mnaijua humor language ya kila mmoja? 🤔
ChaiKwa huyu ukimkaza vizuri ndio kabisaa anasema unamchosha yeye sio punda