Unawezaje kuishi na mwanamke mwenye hasira kali na mrahisi wa kuzila na kufoka?

Afya ya akili
Bipolar au depression
Na kaanza nayo zamani
Ni vile tu hatushughuliki na tunaona ni mambo ya kawaida, mtu hata kama ana tatizo anaambiwa ana tabia mbaya. Anahitaji matibabu huyo, hamna mtu anakuwa hivo tu bila sababu
Cha ajabu unakuta kuna Njemba akifika anatulia na inakula mbunya bure hiyo Bipolar sijui Mania na depression zinapanda KWa Mshikaji Tu, wanawake usipojisimamia huwezi kuwaelewa watakuendesha hadi utawapeleka Muhimbili kumbe wala haumwi ni drama Tu, be careful
 
Anakuweka kwenye Mfumo akifanikiwa tu kuna siku utarudi hapa na Uzi wa aina nyingine
 
Kweli Mungu hakupi vyote mtoto sura na umbo zuri lakini tabia 0

Hatujazaa wala kuoana ndio tupo internship tunachunguzana

NB, Ni mtu wa tanga
Haupendi una tumika hapo ..hebu nipe namba yake ni mshauri aache hiyo tabia ili Muishi Kwa amani
 
Mwanaume kama huna hisia nae hata akuchekesheje, havichekeshi. Unamtafutia tu visirani ili mambo yasiwe mengi.
Najiuliza kama hisia hana yanini kuniganda nikimkaushia analalamika
 
Mwanamke ana tabia ya kukusoma kwanza ndio anaanza kukuendesha kutokana na jinsi ulivyo.

Hapo tatizo ni wewe, kuna siku ataanza kukupiga makofi
Mwambieni ukweli.
Anatakiwa ampe healthy food, ale ashibe ikiwezekana na kusaza.
 
Najiuliza kama hisia hana yanini kuniganda nikimkaushia analalamika
Nishakwambia anakuweka kwenye Mfumo, dalili ya kwamba umeshaanza kuingia tayari umeanza vilio hadi umeleta huku, anakuchora Tu, utafika mahali utakuwa hujiwezi ,kumwacha huwezi, na hukununaungulia moyoni Tu ila kuna masela wanammla bila kawekeza chochote na mwisho atakuwa single maza
 
Matibabu ya afya ya akili yanachkua muda mkuu
Huyo km umemuona hivyo sawa, ila kama una refer kwa wengine waliokufanyia ww basi sio sahihi kumfananisha nao
Afya ya akili ni janga kubwa mno, ni vile hatushughuliki tu. Tunachkulia tabia, tabia, mwisho wa siku mtu kaua au kajiua
Hizi lifestyle tunazoishi nazo nowadays kila mmoja akili zimefyatuka kwa namna yake
 
Hahaha .....sawa
 
Afya ya akili
Bipolar au depression
Na kaanza nayo zamani
Ni vile tu hatushughuliki na tunaona ni mambo ya kawaida, mtu hata kama ana tatizo anaambiwa ana tabia mbaya. Anahitaji matibabu huyo, hamna mtu anakuwa hivo tu bila sababu
Matibabu kwa maana nimpeleke hospital
 
Najiuliza kama hisia hana yanini kuniganda nikimkaushia analalamika
Jibu japesi tu siuna mpa Hela , au kama haumpi Hela basi ana kutumia tu kwaajili ya kumaliza genye zake lakini upende as upendo haupo hapo, kwanza mtu akikupenda huwaga anakuwa na fear of unknown anakuwa ana hofu kuogopa kukupoteza so in automatically ways lazima ata act as decent person hata kama huo u- decent Hana

Shtuka Mzee ndio kwanza unaanza mapenzi Nini !? Una umri Gani kwanza tuanzie hapo
 
Bado namsikizia kama atabadilika kusema ukweli ni mkali balaa kila kitu kwake hakifai ukimzila haipiti siku moja anakutafuta na kusema mbona upo kimya kiufupi simuelewi
yan amna anayemwelewa mwenzake !
 
Sio pow kabisa !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…