UNGA: Speech ya Ruto dakika 29 yote katoa kichwani, Majaliwa dakika 16 tu kasoma makaratasi

Na kuna kipindi shujaa wa afrika alitaka kufuta kiingereza ili kiswahili kitumike mpaka chuo kikuu.
Mimi nilipinga, sisi kama TANZANIA tunahitaji kujua lugha nyingi ila kuendana na uchumi wa dunia
Ilikua ni sawa tu kiswahili kua lugha kuu ya kufundishia kwenye shule za upili mpaka chuo, ni faida kubwa sana kuliko kiingereza, ambacho sio lugha mama ya nchi, hata yale mataifa, yaliomepiga hatua kubwa sana, kwenye elimu, na teknolojia, yameanza na lugha mama kuu ya taifa.
 
unadhani wenzenu wanajiita tu madokta kama dokta dokta saa mia ,kule ni vichwa sio uchawa wa mchezo mchezo wa yuuviisiisiiemu. nyambaf.
 
Kuna screen zenye maandishi pande mbili mbele yake, anachofanya ni kusoma, jitahidi usifatilie mambo ya PDiddy tu
 
Dunia ni kijiji sasa hivi kwa sababu ya utanndawazi.

Wewe endelea kung'ang'ania kiswahili ili uishie kufa njaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…