hapa kuna kitu sijaelewa,inamaana hotuba anayosoma kiongozi hajaiandika mwenyewe???Ili ujue Tanzania ni nchi yenye watu wa ajabu nikwamba eti kiongozi akitoa hotuba mbovu wanalaumu walioandika hotuba na aliyeongea kwa mdomo wake anaachwa
Unafikiri aliyeongea amekua kitabu kumbe ni mtu