Units nzima ya jeshi la Israel yaangamizwa na Hamas, Wabunge wa Israel walia

Kambi ina wanajeshi 14? muislam akili hauna🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Basi tuseme Gaza atashinda vita hivi so tukae pembeni tuone mshindi et
[/QUOTE
Wewe kilaza ili kujua nani kashinfa vita inaangaliwa nini yalikuwa malengo ya vita, marengo ya Israel ni kuifuta Hamas, unafikiria hilo lengo litawezekana?
 
utani utani hii vita inaenda kula vichwa vya wanajeshi wa kutosha na inaweza badirisha historia ya nchi mojawapo
Wakat Nyatanyau anataka kuonyesha ushujaa kwa kuwadunda vilivyo wapalestina lkn anajikuta anatengeneza tatizo lingine kwa wanajesh wengi kuuawa jambo ambalo litamuweka ktk hali mbaya kisiasa
 
Hao jamaa hawawezi kupigana na Hamas kwa ground war. Watashinda lkn hasara pia itakua kubwa, kwanza hawataki kufa unapigana na mtu ambae he has nothing to loose kama hao hamas ni hatali sana
 
W

Wale mabikra walioko peponi ni dada zenu wa kiislamu au? Maake isije kuwa ni wakristo wenzenu mnawatolea macho. Naomba jibu kama vipi tumuombe Marekani akawakomboe dada zetu faster huko peponi
Ni dada zenu wakristo.
 
Vita visikie tu vikilipotiwa huko DW,BBC,ALJAZEERA E.t.c

Nasikia huko hamas wanatumia MAJINI kama ilivyokua IRAN
 
Kumbe mnajiweza kupigana hadi mnamaliza unit nzima sasa mnalia lia nini Palestine inaonewa? Mnatafuta huruma ya nini kutuwekea picha za watoto

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Netanyahu Hali tete Hamas wame release video kibao, Wanapigwa kiboya, mfano hicho kikosi kimepigwa na watu watatu tu wamechakaza kikosi kizima na mavifaru yao. Siku yoyote nahisi watampindua ama kumtoa madarakani.
Hao watatu walipigwa au walikimbia ?
 
Mkuu kwenye vita sio Disco utacheza mziki unaoupenda na usio upenda hautacheza, hapo vitani ni piga nikupige na kuwahiana kwa ufundi mbali mbali, kwahiyo vitani hasara mbali mbali zipo sio ajabu kabisa.
 
Kumbe mnajiweza kupigana hadi mnamaliza unit nzima sasa mnalia lia nini Palestine inaonewa? Mnatafuta huruma ya nini kutuwekea picha za watoto

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Hamna anaye taka kuonewa huruma hapa acha kujitoa akili, bali kinacho semwa ni kuheshimiwa kwa sheria za vita ambazo zipo kwa mujibu wa sheria za kimataifa ambapo Israel yenyewe ilisaini kuzifuata.

Israel kushambulia na kuua hovyo hovyo watoto na wanawake badala ya kupambana na hamas haikubaliki.
 
Wanao kufa ni wapalestina wakiwemo wakristo wenzio huyo unaye msimanga ni mmatumbi mwenzio. View attachment 2800505
Christians who live in Gaza are about 20% while the most of Palestinians are Muslims 60% and remaining 20% considers Paganism, Atheists, Rastafarians, Hinduism, Buddhism...so calculate and equalize it by using your common sense who are massively perished in this battle?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…