Unyama huu wanaoufanya Polisi utamgharimu Rais Samia

Uelewa wa watu wengi humu jf au Tanzania una walakini.
Sasa sheria zilitungwa ili zifanye kazi gani kama kuwa tu mtuhumiwa unauliwa?
Hawa wanaotafuna mabilioni ambayo yangejenga health center na kununua dawa si wauaji?
 
Hapo ulipoandika wanavuta bangi ndio umeharibu maana nzima ya uzi wako, asilimia kubwa YA wavuta bangi ni waharifu nimeshaishi keko magurumbasi, keko mwanga Na Sasa naishi mwananyamala kwa kopa kwahiyo nawajua vizuri.
 
Hahahaaa!!! Majungu ni mtaji unasema vifo ni vingi nitajie majina na picha za Marehem japo 7 tu.
kama wao wanaua na kuiba mali za raia weka nani alaumiwe?.
Fanyeni kazi halali vijana w Tanzania
 
Ndioooooo
 
Ndioooooo
 
Ni kupiga chuma tu.unakuta uyo jamaa ndio wanao nunua mali kutoka kwa panya rodi. Sina uwakika
 
Info ni hz ulizo andika ww
Kama cyo majungu n nn? Weka picha n majina ya marehemu japo 7 tu.
Njoo kitonga watu watakuonyesha mpaka mahali damu zilipomwagika.
Mnaoshangilia uvunjifu wa wazi wa sheria ipo siku yatawakuta . May utakuwa unalinda kura, au issue yoyote wakikutandika risasi ndipo ndugu zako watatia akili.
Police hapaswi kumuua raia. Magereza ndio wenye jukumu la kuua tena baada ya mahakama kutoa hukumu ya kifo.
 
TANDIKA AZIMIO,BUZA THE SWEET HOMES OF PANYA ROADS,KUNASIKU NILIKUWA NAPITA TANDIKA AZIMIO,HAKIKA NI SHIDA WANAKABA MCHANA PEUPE PE,BAHATI NILIKUWA NA WENYEJI WALINITAMANI KWELI LAKINI ILISHINDIKANA,YAANI BINADAMU WAO WANAONA KAMA KIPUSA FULANI,WAKIKUONA HAUNA NGEU KICHWANI WANAKUONA MGENI WANATAMANI WAKUPE NDEU YA UDUGU FULANI.
 
Hata mi kuna demu wangu anakaa buza aisee kanipnaga uko sa hv hakufai hata kwenda kumtembelea naona jau naskia wametangaziwa kma una ndugu yko hujamuona sku 3 na zaidi uende polisi au mochwari temek hosptaL au muhimbili
Watu wanashangilia huu uhuni wa polisi
Hatuna shida vifo vya wezi ila basi mahakama itoe hukumu ya kifo kisha wakauwawe magereza.
 
Uelewa wa watu wengi humu jf au Tanzania una walakini.
Sasa sheria zilitungwa ili zifanye kazi gani kama kuwa tu mtuhumiwa unauliwa?
Hawa wanaotafuna mabilioni ambayo yangejenga health center na kununua dawa si wauaji?
Sasa uelewa wako ww ni kua panya rodi ndio analusiwa kuiba,kupora, kunyanga na kuua?
 
Acha wapelekewe moto πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Uhalifu pia hauishi kwa kuuaua watu....
Wasubiri wakishauliwa ndugu zao kimakosa kwa kuhusishwa na panya road ndio watakapoona umuhimu wa haki za binaadamu.

Mhukumu mtuhumiwa baada ya kumpa nafasi ya kijitetea na kujiridhisha kwamba huyu ni kweli mhalifu.
 
Mkuu hivi kweli hujui kuwa Polisi wanawajua panga road au wezi wa mitaa?

Ukishakuwa Polisi popote lazima uwe na faili la wahalifu wa eneo Hilo,
Kina wahalifu wakongwe na chipukizi.
Polisi wanazo hizo data.

Ni Kama huwezi kuwa mganga pasipo kujua wachawi WA eneo Hilo.

Hata hivyo ulichoshauri ni kizuri,
 

Ni kweli kabisa.
Ni mtu mjinga pekee atakayesema kuwa Wezi na panya road hawajulikani.

Tatizo hata wakikamatwa watatoka au kutolewa kimagendo,
Pale tuu Kariakoo unaweza ibiwa simu, ukamkamata mwizi ukampeleka kituo cha msimbazi na kithibitisho alafu kesho yake ukamkuta mwizi yuleyule nje.

Panyaroad wanafahamika, ukikamatwa ukiwa na panyaroad hayo ni makosa yako,
Wewe unajua kundi hili ni wezi alafu unatembea nao Kama sio kutafuta watu lawama ni nini?
 
Tanzania Bwana!
Hata Hatueleweki Tunataka Nini!

Ukisikiliza ya Watanzia Nchi Haiendi ndio maana mzee wa 2015-2021 Aliamua kuipelekea Nchi Kibabe. Bila hivyo!

Maana sidhani kama aliyeandika angekuwa mmoja ya Ndugu wa Yule Binti aliyeuawa kama angeandika hivi.

Vita ni Vita tu Haijalishi atakuwa kiwete au albino.
 
Hata uporaji, ubakaji na mauaji yanayofanywa na panya road pia yatamgharimu asipoyadhiti.
Kuna wakati sheria peke yake huwa hazisaidii kukabiliana na watu kama hao, risasi lazima zihusike kama ambavyo wao hutumia siraha kuua, kubaka na kupora.
Rais Durtete ilibidi aingie mtaani na mtutu kufuta kizazi kilichoshindikana kwani sheria na mahakama hazikuweza kukabiliana kuliondoa tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…