Unyama huu wanaoufanya Polisi utamgharimu Rais Samia

Yaa i watu wanatetea uvunjwaji wa sheria kisa tu yanayowakuta ni watoto wa maskini! Hivi tukisema mtu akifanya kosa auawe bila kufuata sheria wangapi watauawa. Mfano hao watoto wa ushuani wakichukua gari za baba zao na kwenda nazo kwenye sherehe za birthday za ulevi kisha kutokana na kuendesha gari wakiwa wamelewa wakisababisha ajali nao wauawe papo hapo au wazazi wao watakuwa wa kwanza kutaka sheria ifuatwe? Au watoto wao humo ndani wakibaka housegirl mbona wanajitahidi kuyamaliza kimya kimya? Je nao wauawe bila kuhukumiwa mahakamani?

Ni vyema tutatue matatizo ya jinai mbalimbali kwa kufuata sheria.
Uelewa wa watu wengi humu jf au Tanzania una walakini.
Sasa sheria zilitungwa ili zifanye kazi gani kama kuwa tu mtuhumiwa unauliwa?
Hawa wanaotafuna mabilioni ambayo yangejenga health center na kununua dawa si wauaji?
 
Habari!
Miaka 5 hivi imepita tulikuwa tukikemea mambo fulani mtandaoni. Kitendo cha serikali yenye zaidi ya vyombo sita vya usalama na haki kujichukulia sheria mkononi.

Serikali ifuate procedure katika kila zoezi, kama sheria itamtia mtu hatia na kuhukumiwa kuuawa auawe, kama itamfunga jela afungwe kama itamwacha huru aachwe.

Sasa polisi wanafika mitaani na kukusanya vijana wasio na kazi, na wanavuta bangi kisha kuwaua kinyama. Misiba ni mingi mitaani, inatia huruma. Hili jambo ni kinyume na haki za binadamu.

Kijana anashikwa ndani ya masaa 12 anakuwa ameshakatishwa uhai. Upelelezi wa kutosha umefanyika? Hili zoezi nina hakika limepoteza vijana wasio na hatia. Hebu wapelekeni mahakamani mkawaue baada ya mahakama kuwatia hatiani.

Rais Samia utakuwa na mwisho mbaya. Police wamegeuza Kitonga Dar kuwa machinjio ya binadamu. Hata familia zenu zina vijana wa hovyo, wangekuwa wanaishi uswahilini tungewaita panya road. Serikali (mzazi na mlezi mkuu) inakwepa jukumu lake la kuwalea watoto wake na badala yake inwaua.

NB: Mimi si mhalifu, ni raia safi kabisa, sijapoteza ndugu yangu kwa hii operation na wala sina ndugu mhalifu, ila nimeumia tu na haya yanayotokea. Misiba ni mingi, huzuni na vilio. Huku viunga vya Kitonga ambako wamekugeuza machinjio ndiko ninakoishi. Jana nilienda uswahilini Tandika na Buza ni huzuni.
Hapo ulipoandika wanavuta bangi ndio umeharibu maana nzima ya uzi wako, asilimia kubwa YA wavuta bangi ni waharifu nimeshaishi keko magurumbasi, keko mwanga Na Sasa naishi mwananyamala kwa kopa kwahiyo nawajua vizuri.
 
Hahahaaa!!! Majungu ni mtaji unasema vifo ni vingi nitajie majina na picha za Marehem japo 7 tu.
kama wao wanaua na kuiba mali za raia weka nani alaumiwe?.
Fanyeni kazi halali vijana w Tanzania
 
Narudia kushauri waacheni Polisi wafanye kazi yao.
Hawa watoto wenu wameua na kujeruhi watu vibaya sana.
Kaeni kwa kutulia....
Lazima mjue Serikali yoyote makini haitakubali...
Kwanza unasema wanavuta bangi...bangi inaruhusiwa kuvutwa kwa sheria ipi?..hapo hapo unaomba procedure ifuatwe....procedure ipi kwa wavuta bangi.
Katika hili Mungu wabariki PT.
Ndioooooo
 
Katika kipindi hiki kama huna issue Acha kukaa vijiweni kaa kwenu!

Kwa matukio waliyokuwa wanafanya panyaroad naunga mkono ukikamatwa Tu Shaba iwe ni Halali yako.

Hakuna nchi ujambazi na wizi ulimalizwa Kwa watu kufungwa Acha kujidanganya. Ujambazi humalizwa Kwa kupigwa risasi. Waache police wafanye KAZI Yao.

Kama Una ndugu yako ni panya road mwambie atubu kinyume na hapo jiandaeni Jamii imfunze.

Huu muda unapoteza kuandika humu utumie kuwaasa ndugu zako panya road wajitafutie pesa Kwa njia Halali kinyume na hapo utaendelea kuleta lawama zako Kwa Jeshi la police.
Ndioooooo
 
Polisi huwa wanawafaham wahalifu sana tu ila haki za binadam ndo huwa zinawarudisha uraiani wahalifu ambao ni tishio sana, zamani wahalifu wa kutumia bunduki walikua wakipelekwa mahakamani wanatafuta mawakili wanachezesha wanatoka wanaendelea kushika bunduki, Arusha risasi zililia sana, Kigoma kila siku bus zilitekwa, kahama sheli zilivamiwa sana enzi hizo, Ila baadae police wakaanzisha operesheni kila mtumia bunduki wakimkamata utaskia kafa baada ya kujaribu kutoroka na sasa hivi hali ni shwari.

Kwahiyo hata hao panya rodi wameshakamatwa sana lakin wakipelekwa mahakamani wanaenda kufungwa kifungo cha nje miez 3 unamuona Yuko tu mtaani na alikamatwa na ushahidi wote baada ya muda wanarudi kupora na kuua watu tena, panya rodi hawajaanza leo hapo daslam na waasisi wanajulikana kabisa acha wafyekwe ili tuwe salama, hakuna kitu kinauma Kama unatafuta kwa jasho alafu mtu anakuja kukupora, kukusababishia ulemavu au kukuua kabisa ili tu akunyang'anye mali yako
Ni kupiga chuma tu.unakuta uyo jamaa ndio wanao nunua mali kutoka kwa panya rodi. Sina uwakika
 
Info ni hz ulizo andika ww
Kama cyo majungu n nn? Weka picha n majina ya marehemu japo 7 tu.
Njoo kitonga watu watakuonyesha mpaka mahali damu zilipomwagika.
Mnaoshangilia uvunjifu wa wazi wa sheria ipo siku yatawakuta . May utakuwa unalinda kura, au issue yoyote wakikutandika risasi ndipo ndugu zako watatia akili.
Police hapaswi kumuua raia. Magereza ndio wenye jukumu la kuua tena baada ya mahakama kutoa hukumu ya kifo.
 
Habari!
Miaka 5 hivi imepita tulikuwa tukikemea mambo fulani mtandaoni. Kitendo cha serikali yenye zaidi ya vyombo sita vya usalama na haki kujichukulia sheria mkononi.

Serikali ifuate procedure katika kila zoezi, kama sheria itamtia mtu hatia na kuhukumiwa kuuawa auawe, kama itamfunga jela afungwe kama itamwacha huru aachwe.

Sasa polisi wanafika mitaani na kukusanya vijana wasio na kazi, na wanavuta bangi kisha kuwaua kinyama. Misiba ni mingi mitaani, inatia huruma. Hili jambo ni kinyume na haki za binadamu.

Kijana anashikwa ndani ya masaa 12 anakuwa ameshakatishwa uhai. Upelelezi wa kutosha umefanyika? Hili zoezi nina hakika limepoteza vijana wasio na hatia. Hebu wapelekeni mahakamani mkawaue baada ya mahakama kuwatia hatiani.

Rais Samia utakuwa na mwisho mbaya. Police wamegeuza Kitonga Dar kuwa machinjio ya binadamu. Hata familia zenu zina vijana wa hovyo, wangekuwa wanaishi uswahilini tungewaita panya road. Serikali (mzazi na mlezi mkuu) inakwepa jukumu lake la kuwalea watoto wake na badala yake inwaua.

NB: Mimi si mhalifu, ni raia safi kabisa, sijapoteza ndugu yangu kwa hii operation na wala sina ndugu mhalifu, ila nimeumia tu na haya yanayotokea. Misiba ni mingi, huzuni na vilio. Huku viunga vya Kitonga ambako wamekugeuza machinjio ndiko ninakoishi. Jana nilienda uswahilini Tandika na Buza ni huzuni.
TANDIKA AZIMIO,BUZA THE SWEET HOMES OF PANYA ROADS,KUNASIKU NILIKUWA NAPITA TANDIKA AZIMIO,HAKIKA NI SHIDA WANAKABA MCHANA PEUPE PE,BAHATI NILIKUWA NA WENYEJI WALINITAMANI KWELI LAKINI ILISHINDIKANA,YAANI BINADAMU WAO WANAONA KAMA KIPUSA FULANI,WAKIKUONA HAUNA NGEU KICHWANI WANAKUONA MGENI WANATAMANI WAKUPE NDEU YA UDUGU FULANI.
 
Hata mi kuna demu wangu anakaa buza aisee kanipnaga uko sa hv hakufai hata kwenda kumtembelea naona jau naskia wametangaziwa kma una ndugu yko hujamuona sku 3 na zaidi uende polisi au mochwari temek hosptaL au muhimbili
Watu wanashangilia huu uhuni wa polisi
Hatuna shida vifo vya wezi ila basi mahakama itoe hukumu ya kifo kisha wakauwawe magereza.
 
Uelewa wa watu wengi humu jf au Tanzania una walakini.
Sasa sheria zilitungwa ili zifanye kazi gani kama kuwa tu mtuhumiwa unauliwa?
Hawa wanaotafuna mabilioni ambayo yangejenga health center na kununua dawa si wauaji?
Sasa uelewa wako ww ni kua panya rodi ndio analusiwa kuiba,kupora, kunyanga na kuua?
 
Habari!
Miaka 5 hivi imepita tulikuwa tukikemea mambo fulani mtandaoni. Kitendo cha serikali yenye zaidi ya vyombo sita vya usalama na haki kujichukulia sheria mkononi.

Serikali ifuate procedure katika kila zoezi, kama sheria itamtia mtu hatia na kuhukumiwa kuuawa auawe, kama itamfunga jela afungwe kama itamwacha huru aachwe.

Sasa polisi wanafika mitaani na kukusanya vijana wasio na kazi, na wanavuta bangi kisha kuwaua kinyama. Misiba ni mingi mitaani, inatia huruma. Hili jambo ni kinyume na haki za binadamu.

Kijana anashikwa ndani ya masaa 12 anakuwa ameshakatishwa uhai. Upelelezi wa kutosha umefanyika? Hili zoezi nina hakika limepoteza vijana wasio na hatia. Hebu wapelekeni mahakamani mkawaue baada ya mahakama kuwatia hatiani.

Rais Samia utakuwa na mwisho mbaya. Police wamegeuza Kitonga Dar kuwa machinjio ya binadamu. Hata familia zenu zina vijana wa hovyo, wangekuwa wanaishi uswahilini tungewaita panya road. Serikali (mzazi na mlezi mkuu) inakwepa jukumu lake la kuwalea watoto wake na badala yake inwaua.

NB: Mimi si mhalifu, ni raia safi kabisa, sijapoteza ndugu yangu kwa hii operation na wala sina ndugu mhalifu, ila nimeumia tu na haya yanayotokea. Misiba ni mingi, huzuni na vilio. Huku viunga vya Kitonga ambako wamekugeuza machinjio ndiko ninakoishi. Jana nilienda uswahilini Tandika na Buza ni huzuni.
Acha wapelekewe moto 😂😂😂
 
Uhalifu pia hauishi kwa kuuaua watu....
Wasubiri wakishauliwa ndugu zao kimakosa kwa kuhusishwa na panya road ndio watakapoona umuhimu wa haki za binaadamu.

Mhukumu mtuhumiwa baada ya kumpa nafasi ya kijitetea na kujiridhisha kwamba huyu ni kweli mhalifu.
 
Mkuu hivi kweli hujui kuwa Polisi wanawajua panga road au wezi wa mitaa?

Ukishakuwa Polisi popote lazima uwe na faili la wahalifu wa eneo Hilo,
Kina wahalifu wakongwe na chipukizi.
Polisi wanazo hizo data.

Ni Kama huwezi kuwa mganga pasipo kujua wachawi WA eneo Hilo.

Hata hivyo ulichoshauri ni kizuri,
 
Polisi huwa wanawafaham wahalifu sana tu ila haki za binadam ndo huwa zinawarudisha uraiani wahalifu ambao ni tishio sana, zamani wahalifu wa kutumia bunduki walikua wakipelekwa mahakamani wanatafuta mawakili wanachezesha wanatoka wanaendelea kushika bunduki, Arusha risasi zililia sana, Kigoma kila siku bus zilitekwa, kahama sheli zilivamiwa sana enzi hizo, Ila baadae police wakaanzisha operesheni kila mtumia bunduki wakimkamata utaskia kafa baada ya kujaribu kutoroka na sasa hivi hali ni shwari.

Kwahiyo hata hao panya rodi wameshakamatwa sana lakin wakipelekwa mahakamani wanaenda kufungwa kifungo cha nje miez 3 unamuona Yuko tu mtaani na alikamatwa na ushahidi wote baada ya muda wanarudi kupora na kuua watu tena, panya rodi hawajaanza leo hapo daslam na waasisi wanajulikana kabisa acha wafyekwe ili tuwe salama, hakuna kitu kinauma Kama unatafuta kwa jasho alafu mtu anakuja kukupora, kukusababishia ulemavu au kukuua kabisa ili tu akunyang'anye mali yako

Ni kweli kabisa.
Ni mtu mjinga pekee atakayesema kuwa Wezi na panya road hawajulikani.

Tatizo hata wakikamatwa watatoka au kutolewa kimagendo,
Pale tuu Kariakoo unaweza ibiwa simu, ukamkamata mwizi ukampeleka kituo cha msimbazi na kithibitisho alafu kesho yake ukamkuta mwizi yuleyule nje.

Panyaroad wanafahamika, ukikamatwa ukiwa na panyaroad hayo ni makosa yako,
Wewe unajua kundi hili ni wezi alafu unatembea nao Kama sio kutafuta watu lawama ni nini?
 
Tanzania Bwana!
Hata Hatueleweki Tunataka Nini!

Ukisikiliza ya Watanzia Nchi Haiendi ndio maana mzee wa 2015-2021 Aliamua kuipelekea Nchi Kibabe. Bila hivyo!

Maana sidhani kama aliyeandika angekuwa mmoja ya Ndugu wa Yule Binti aliyeuawa kama angeandika hivi.

Vita ni Vita tu Haijalishi atakuwa kiwete au albino.
 
Hata uporaji, ubakaji na mauaji yanayofanywa na panya road pia yatamgharimu asipoyadhiti.
Kuna wakati sheria peke yake huwa hazisaidii kukabiliana na watu kama hao, risasi lazima zihusike kama ambavyo wao hutumia siraha kuua, kubaka na kupora.
Rais Durtete ilibidi aingie mtaani na mtutu kufuta kizazi kilichoshindikana kwani sheria na mahakama hazikuweza kukabiliana kuliondoa tatizo.
 
Back
Top Bottom