Tetesi: Uongozi wa Yanga kumfuta kazi Kocha Gamondi muda wowote kuanzia sasa

Tetesi: Uongozi wa Yanga kumfuta kazi Kocha Gamondi muda wowote kuanzia sasa

Gamondi ni kocha bora ametupa furaha miaka mitatu, kufungwa kupo japo haipendezi kufungwa mfululizo.

Uongozi uongee nae kwa staha. Tatizo lake kubwa ni kuweka benchi sana baadhi ya wachezaji na kuwatumia kupita kiasi wengine nao huchoka sana na kuboronga.
Hoja ya uchovu mnaikuza sana, ligi yetu hazifiki timu ishirini na tupo round ya 1 ya msimu sasa kinachowachosha hawa wachezaji wetu ni nini?
 
Hoja ya uchovu mnaikuza sana, ligi yetu hazifiki timu ishirini na tupo round ya 1 ya msimu sasa kinachowachosha hawa wachezaji wetu ni nini?
Hiyo hoja yao mimi naweza kukubaliana nayo . Unamsajili Chama miaka 35 ili uikomowe Simba . 80% ya wachezaji ni miaka 32+ , walioko uwanjani wanacheza huku wanasinzia sababu ya uzee. Waliopo benchi wanasinzia hovyo hadi wanaota ndoto nyevu . Unategemea hiyo timu ifanye maajabu?
IMG-20241105-WA0001.jpg
IMG-20241107-WA0151.jpg
 
Gamondi yupo sana Yanga tayari kuwakaanga makolokwinyo.
Kadi za njano na majeruhi isiwe sababu.
Subirini yawakute na nyie
 
Watakuja waue hao we kizee kikongwe kama chama nacho wanakidunga masindano kichangamke si laana hiyo, mzee Chama wangekua wanampatia tu chakula laini laini cha wazee wao misindano tu
Mechi na Tabora kalichangamka kweli baada ya kuogopa kuwadunga. Watamuua mstaafu.😂😂😂
 
Sasa hata kama ndio wewe unaitwa usiku wa manane wao wako mia afu wote wana hasira we uko peke yako ungeenda?

Kwanini wasisubirie kukuche kwanza?

Naskia pia Gamondi alisema kuitikia wito huo ni mpaka aambatane na mwanasheria wake. Kwasababu alijua mada iliyokuwa inaenda kujadiliwa.

Sasa kwa majira yale haikuwa ni rafiki kumtafuta mwanasheria mpaka aweze kufika kikaoni, labda kama wangemuandaa mapema kabla ya game kuwa matokeo yakija tumefungwa uwe na mwanasheria karibu.
Ni kweli mkuu.

Naungana na Gamond hata mimi nisingekwenda.

Vikao vya usiku halafu watu wenyewe wana hasira uende peke yako unajitakia kweli??
 
Back
Top Bottom