Moshi25
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,555
- 4,118
Hivi kule Simba ukiacha Rage nani mwingine mwenye akili? Hapa naona wazi umbumbumbu!!Watakuja waue hao we kizee kikongwe kama chama nacho wanakidunga masindano kichangamke si laana hiyo, mzee Chama wangekua wanampatia tu chakula laini laini cha wazee wao misindano tu
Hii hoja dhaifu sana, yaani mchezaji gani ataua career yake kwa kukubali kuchomwa sindano? Yani Pacome unamchomaje sindano? Dube unamchomaje? Kweli nimeona ukiwa shabiki wa simba akili zinahama!!
Yanga ni timu kali na imeshinda kihalali naona makolo kimoko kimewauma sana kila siku ni kuzusha tu Yanga inabebwa, mara sindano nk. Ile Yanga inacheza ni staili ya mpira tu kama total football inayohitaji mazoezi ya pumzi , taarabu za wanathimba hazitaisha iwapo Yanga itaendelea kubeba makombe.
Gamondi yupo sana Yanga bado hana mbadala. Gamondi ndo mwiba pekee wa simba hata tufungwe mechi kumi za ligi kocha wetu hatumuachi bali tutamwambia tu kocha unazingua panga upya mafaili, mfano huwezi kumchezesha Nkane namba mbili badala ya Kibwana, that was a clear flaw
Yanga imefungwa magoli manne hadi sasa na yote yametokea katikati juu kidogo ya box pale wanapocheza Job na Baka, hivyo Gamondi hana kazi kubwa ni kuziba tu hiyo sehemu ndogo inayovuja hasa wanapokosekana Baka na Job. Yanga bado imara sehemu zingine.