Tetesi: Uongozi wa Yanga kumfuta kazi Kocha Gamondi muda wowote kuanzia sasa

1000277837.jpg
 
Acha unafiki sisi hatufukuzi kocha kijingajinga Simba mnasifa sifa sana mnapooza machungu believe young African can be back like you will never see before and mark my worfs
Samalekoooooo alafu nakwambia ndugu hizi simba na yanga ukizishabikia sana unakua zuzu flani hivi
 
Sababu nyingine na ya msingi ni yeye Gamond kukataa viongozi wasinunue mechi na madawa/sindano za kusisimua misuli ya wachezaji hasa pale timu inaposhambuliwa kwa sababu kocha alikataa hayo yote kwa sababu yanadhoofisha vipaji vya wachezaji
 
Nenda kadai Ada yako ya shule!
Hizi akili za ki-mbumbumbu ndo mtaji wetu uto FC, makombe yote yetu.
 
Back
Top Bottom