Tetesi: Uongozi wa Yanga kumfuta kazi Kocha Gamondi muda wowote kuanzia sasa

Hoja ya uchovu mnaikuza sana, ligi yetu hazifiki timu ishirini na tupo round ya 1 ya msimu sasa kinachowachosha hawa wachezaji wetu ni nini?
 
Hii ni baada ya kuitwa kwenye kikao na Master Gamondi kugoma kutokea.

Uongozi umechoshwa na jeuri ya kocha huyo na sasa muda wowote ndani ya masaa 24 yajayo Gamondi atafutwa kazi
Hii ni uthibitisho tosha kwamba ushindi waYanga hauna mchango wa Kocha.

Fungueni code
 
Hoja ya uchovu mnaikuza sana, ligi yetu hazifiki timu ishirini na tupo round ya 1 ya msimu sasa kinachowachosha hawa wachezaji wetu ni nini?
Hiyo hoja yao mimi naweza kukubaliana nayo . Unamsajili Chama miaka 35 ili uikomowe Simba . 80% ya wachezaji ni miaka 32+ , walioko uwanjani wanacheza huku wanasinzia sababu ya uzee. Waliopo benchi wanasinzia hovyo hadi wanaota ndoto nyevu . Unategemea hiyo timu ifanye maajabu?
 
Gamondi yupo sana Yanga tayari kuwakaanga makolokwinyo.
Kadi za njano na majeruhi isiwe sababu.
Subirini yawakute na nyie
 
Watakuja waue hao we kizee kikongwe kama chama nacho wanakidunga masindano kichangamke si laana hiyo, mzee Chama wangekua wanampatia tu chakula laini laini cha wazee wao misindano tu
Mechi na Tabora kalichangamka kweli baada ya kuogopa kuwadunga. Watamuua mstaafu.😂😂😂
 
Ni kweli mkuu.

Naungana na Gamond hata mimi nisingekwenda.

Vikao vya usiku halafu watu wenyewe wana hasira uende peke yako unajitakia kweli??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…