UPDATE: Padri afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kulawiti watoto 10 Moshi

Weka ushahidi! Acha maneno mengi.
 
Mtoto akiwa tumboni ndipo unaweza kumlinda, dunia ni mbaya, wapo watu wabaya
 
Muheshimiwa mi nimefurahi ule uamuzi wako wa kununua kila goli litakalofungwa na simba na Yanga kule caf


Hakika unawapa motisha vijana wetu
 
Maelezo yote haya hata kama yangekuwa ni ya kweli, bado yanamhusu Tundu Lissu! Na ni siyo Chadema kama chama!

Au unataka kuniambia hata yule Mwenyekiti wenu wa Halmshauri kule Moshi aliyevuliwa wadhifa wake kipindi kile, baada ya kuhudhuria kongamano la mashoga, alikuwa anakiwakilisha chama chenu cha ccm?
 
Hata Karume akiitwa Sheikh

Huyo haongozwi na Roho Mtakatifu
Elimu ya Roho huna dogo!
[emoji116][emoji116]

وَيَسْأَلُونَكَ عَنِ الرُّوحِ ۖ قُلِ الرُّوحُ مِنْ أَمْرِ رَبِّي وَمَا أُوتِيتُم مِّنَ الْعِلْمِ إِلَّا قَلِيلًا

[ AN NAH'L - 85 ]
Na wanakuuliza khabari za Roho. Sema: Roho ni katika mambo ya Mola wangu Mlezi. Nanyi hamkupewa katika ilimu ila kidogo tu.

Ilimu umliyopewa ni ya kata.3 kama umeingiliwa/imeingilia vutu ya maiti, mnyama kama punda, nyau, nguruwe..., mmepumuliana, kuntha, mtoto

Dhahir eeh?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…