CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Usikute ni DC wa UbungoMaccm yana vituko sana, usikute huyo naye ni kiongozi wa ccm.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usikute ni DC wa UbungoMaccm yana vituko sana, usikute huyo naye ni kiongozi wa ccm.
Unadhani kua chawa mchezo!😂Maana na yeye kaadimika na tangu aadimike ID hii ndiyo imeshika kasi kushusha mashudu. Mpe Hi mshikaji .
Sifa kubwa ni kujitoa ufahamu.Unadhani kua chawa mchezo!😂
Wanaosurvive kwenye uchawa ni wale wanaopata helaSifa kubwa ni kujitoa ufahamu.
Lucas Mwashambwa umepata pacha wako huku mashudu kama yote.WANACCM NA WATANZANIA KWA UJUMLA
KUTOA FIKRA NA MAWAZO YAKO NI HAKI YAKO.
Ujenzi wa nchi unajumuisha watu wenye Mitazamo na fikra Mbali Mbali.
Ndani ya nchi wapo watu wa kila Aina wenye Tabia za kila Aina .
Ili kuishi kwa Amani na haki kutendeka kwa kila mtu pakawekwa katiba Kanuni miongozo na Taratibu ili mtu anayekwenda kinyume vimushughulikie.
Nyakati tulizomo Shetani ameshika Kasi .
Watu Waovu Baadhi wanapeana vyeo kinyemela huku wakihamasishana kwa lengo la kutumia Ujinga wa watu walio wengi Kama kisa Cha kumnyonya na kumdhulmu fukara asiye na Mtetezi
Tukikaa kimya Kama vile samaki aishivyo majini tujuwe tutakuwa tumewasaliti Mafukara wanaotegemea walau neno moja la Sisi wenye kuzielewa mbinu na hila za Shetani za kumuonyesha meno meupe fukara huku wakiwa hawana Nia kabisa ya kumsaidia.
Nakumbuka Tarehe 05/02/2024
Comrade Paul Christian Makonda
Katibu NEC Itikadi Siasa na Uenezi CCM Taifa
Alisema
Mimi sinaga Shida ya kuonekana Mbaya kwa niaba ya wananchi Hawa (Mafukara na wanyonge tunao watetea)
Wala hainisumbuwi
Mwisho wa kunukuu
Comrade Abdulrahman Omar Kinana
Makamu Mwenyekiti CCM Taifa Bara
Nakumbuka Tarehe 04/01/2024
Akitoa Ufafanuzi wa baadhi ya Mambo
Alisema
Isemeni Serikali
Semeni Mapungufu ya Chama Cha Mapinduzi.
Mwisho wa kunukuu
Tusome katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 toleo 2005 ibara 18(a) ibara 19(1) kwa Maana ya Uhuru wa mawazo
Ibara 26(1)(2)ibara 13(1)4)(5) ibara zote zikizingatia ibara 9 a,b,f, na h.
Nakumbuka Tarehe 28/01/2024
Askofu Benson Kalikawe Bagonza
Askofu Mkuu KKKT Dayosisi ya Karagwe
Akifanya Mahojiano na wanahabari
Alisema
Katiba ndiyo Sheria Mama.
Mwisho wa kunukuu
Comrade bdulrahman Omar Kinana
Makamu Mwenyekiti CCM Taifa Bara
Nakumbuka Tarehe 04/02/2024
Alisema
Nchi hii Ina katiba (ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 ni ) Jambo muhimu saana.
Kwa sababu nchi inaendeshwa kwa katiba
Mwisho wa kunukuu
Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan
Katika Maadhimisho ya siku ya Sheria
Nakumbuka Tarehe 01/02/2024
Alisema
Ninyi nyote (na Mimi Rais wenu) mliapa kwa kushika Vitabu vya Dini zenu (na Mimi kwa Dini yangu).
Hivyo mnalazimika kusimama Katika misingi ya haki Kama (vile ) miongozo ya Dini zenu zinavyotaka .
Pamoja na imani zenu za Dini lakini pia katiba ( ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania) Ambayo ndiyo Sheria Mama.
Mwisho wa kunukuu
Comrade Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi
Katibu Mkuu CCM Taifa
Siku alipopokelewa Dodoma
Nakumbuka Tarehe 22/01/2024
Alisema
Wanaccm ( fahamuni ya kuwa Rais Dkt Samia) ndiyo Mtaji wetu huo
CCM Mtaji wetu ni Rais Samia .
Tumtangulize mbele bila haya .
Mwisho wa kunukuu
Tumtanguliza mbele Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ni kumuishi kwa Vitendo kauli zake na kuzitii
Mheshimiwa Rais Dkt Samia anasisitiza katiba
Ndani ya katiba Kuna haki nyingi na makatazo
Mfano
Ubaguzi wa Aina yeyote hautakiwi.
Upendeleo wa Aina yeyote hautakiwi.
Kwa mujibu wa ibara 26(2) na kwa kuzingatia ilani ya CCM ibara 04 uk 01 bila kuuacha uk 161-168 kwa mazingatio ya ibara 10 na11 ya ilani
Tuchukuwe hatua dhidi ya Viongozi wanao kifanya Chama kionekane kinalegalega mbele ya Jamii.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Mathias Mugerwa Kahinga
🙏🏿🙏🏿🔨🔨💪🏿💪🏿
Yaani unategemea mtu mzima mwenye akili timamu aache kufanya kazi ashinde anasoma maneno yote haya!?MAJAMBAZI YA KISIASA
BAADHI YAMENOGEWA
NA DHULMA YA KULA FEDHA ZA MAFUKARA KWA NJIA ZA KUJIPATIA VYEO KWA RUSHWA
Nilisikika Katika Ulimwengu wa kiroho huko Ndotoni nikiunguruma kupinga tabia chafu za baadhi ya waovu kubebwa huku mafukara na Watumishi wa Umma waliosoma kwa Shida wakiishi Kama Wakimbizi ndani ya nchi tajiri ya Tanzania
Nikaanza
Naipongeza saana Serikali ya Tanzania kukemea uuzwaji wa Mirungi kwa vile una madhara kwenye akili za watu .
Nikiwa katika Ulimwengu wa kiroho nikalishwa mirungi
Akili ikawa kushoto kulia
Kulia kushoto
Nikaanza kubwabwaja
Nakumbuka Tarehe 11/04/2022
Bishop Rose Mgetta
Wa Kanisa la Mlima wa moto Mikocheni B
Akitoa Mahubiri Alisema
Hila , Uongo unaofanania na Ukweli
Sasa bila kutambuwa
Bila kukaa rohoni
Utatembea kwenye hila maisha yako yote na ( ujuwe utakuwa ) hauko salama
Mwisho wa kunukuu
Watu walio wengi wajiitao Wana Siasa
Wengi wao wamevaa sare za kisiasa tu huku wakiwa hawajuwi lolote kuhusu ilani zao katiba Kanuni miongozo na Taratibu
Na Baadhi wanaojuwa kwa Ubinafsi wao wameamuwa kuwa wezi kuwaibia Mafukara huku wakilindana wao kwa wao katika Maovu na kutisha watu ili wasiseme lolote ili wao wazidi kula visivyo wastahiki kwa hila za kujitamkisha neno Mwenyezi Mungu ili kuwafanya watu wawaamini kuwa ni Waumini kumbe sio .
Unapokuwa Mwanasiasa Mcha Mungu lazima utjibidiisha kuenenda katika njia za haki ulizokubaliana na unao waongoza kuzifuata.
Ukiwa Jambazi la kisiasa unakuwa na ndimi mbili huku ukitisha watu ukisema Msichanganye Siasa na Dini wakati ukijuwa Siasa na Dini lazima viendane.
Usipokuwa na hofu ya neno la Mwenyezi Mungu wawezaje kutenda haki !?!
Wawezaje kuwa Kiongozi Mwenye huruma !?!?
Ni wazi Baadhi ya Viongozi ndiyo wanaochangia upotoshaji katika Uongozi wa nchi kwa kauli zao za hovyo za kishetani zenye ndimi mbili Kama nyoka .
Shekhe Msellem Bin Ally
Akitoa Uchambuzi wa Qur aan
Nakumbuka Tarehe 01/01/2024
Alisema
Allah atawalipa malipo ya Uadilifu .
( Utakuta mtu) kaja hapa ( Duniani)
Kapata hadhi ya Uongozi
Mwanasiasa
Kwa hiyo anaishi kisiasa Siasa tu.
( Na) yeye akawa ndo ( mtu) Mkali wa kusema usichanganye Siasa na Dini .
Kwa hiyo Kama mtu wa Siasa kuwa na Siasa tu Basi.
Dini achana nayo.
( Utakuta mtu) Yeye kaishi hivyo.
Na ( utakuta mtu) anawaagiza watu waishi hivyo .
( Watu Kama hao) hawataraji (ya) kwamba Kuna Siku ya kukutana na Allah.
Kwa hiyo ( watu hao) hawajiandai .
Mwisho wa kunukuu
Siasa Safi ni kutendeana haki kwa wote kufuata Ilani katiba kanuni miongozo na Taratibu na kuzitekeleza vile vile kadri ya maandiko yalivyo na kuchukuwa hatua za kisheria bila
Ubaguzi na Upendeleo
Kwa kubebana kiswahiba
Huu ndiyo ucha Mungu wa Ukweli usio na Unafiki wa kujitamkisha neno Mwenyezi Mungu huku tukimtumikia Shetani na kufurahia maisha ya kishetani ya Baadhi kula na kusaza huku wenzao wa huku chini hata Ofisi tu za kutunzia nyaraka hakuna
Vyooo hakuna
Maji Safi na salama hakuna
Posho hakuna
Usafiri walau tu Baiskeli hakuna
Kisha Dhambi Mbaya na chafu inayofanyika ni ile ya kuwachagulia Mafukara Kiongozi wa kuwaongoza na kutumia hila za kishetani kuwalazimisha Mafukara wamkubali na kumshangilia Kiongozi wa hovyo kabisa wasiye mhitaji wao
Unafiki .
Wanaokiuka mifumo ya nchi kwa visingizio vya kutumia vikao kana kwamba wao wako juu ya Sheria wanaachwa na wanapongezwa kwa kusiginaji wa sheria na Kanuni ila fukara anahukumiwa hata kwa kosa la kuzushiwa.
Mheshimiwa Rais Paul Christian Makonda
Rais wa Mkoa wa Arusha
Nakumbuka Tarehe 28/05/2024
Akiwa Monduli
Alisema
Mwananchi wa kawaida ( akikosea) huwa hatua mnazichukuwa papo kwa papo
Tena ( wananchi) wengine mnawatumia migambo .
Wengine mnawatumia Police
Mwananchi huyo anapata adha na hapewi muda ( wa kujisahihisha)
Tusome katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 toleo la 2005 ibara yote ya 08, ibara 34(4) ibara 35(1) ibara 13(1)(4)(5) ibara 29(1)(2) uk 127 ibara 152(1)(2)(3) ikisomwa kwa Pamoja na uk 14 ibara 01 02 kwa msisitizo wa uk 13 paragraph ya kwanza.
Tusome Kitabu Cha Standing Order for the Public Service 2009
Pursuant to S. 35(5) of the Republic Service act cap 298 uk 26 kifungu Cha C.1(3)
uk ( iii) kifungu namba (02) uk ( iii) kifungu namba (06) uk (vii) kifungu Cha 01
uk 20 kifungu B 15(1)(3) ikisomwa kwa Pamoja na katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 toleo 2005 uk 58 ibara 61 kwa msisitizo wa ibara 09 a,b,f na h
Tunaona raha na furaha mioyoni Mwetu kuwananga na kuwatangaza Mafukara na Watumishi wa Umma hadharani huku tukificha Majizi yanayo kihujumu Chama kwa kula Fedha na kuuza Mali za chama Kinyume na Utaratibu
Kughushi account za Chama
Mwizi ni Mwizi tu
Tumekuwa na maneno mengi ya bla bla huku tukishiba na kusaza tukiwa hatuna Mpango wowote wa kuchukuwa hatua Kama tulivyoapa
Kuihifadhi
Kulinda
Kutetea katiba na Sheria za nchi.
Nakumbuka Tarehe 15/05/2024
Mheshimiwa Rais Albert John Chalamila
Rais wa Mkoa wa Dar es salaam
Akiwa Mwasonga
Alisema
( Viongozi wasiozingatia Taratibu za kimfumo wa nchi) tutawaondoa.
Na hili nataka niwaambieni Ukweli
( Viongozi) msipotusaidia ( kutatua kero za Wanamchi) tutawaondoa
Kwa sababu tunataka kuijenga nchi ambayo Mheshimiwa (Rais) Samia anatamani iwe.
Sasa hatuwezi ( kuijenga wakati) huku watu wanalia hiki .
Huku wanalia hiki.
Mwisho wa kunukuu
Nakumbuka Tarehe 22/05/2024
Mheshimiwa Dkt Mwigulu Nchemba
Waziri wa fedha
Alisema
Hata nchi zilizo endelea
Nchi zilizoendelea
Wanaweza wakacheka kwenye Mambo mengine yote.
Wakachekeana kwenye Siasa .
Lakini linapokuja Jambo la Kujenga nchi hapo ( Jambo Hilo) halina mzaha.
Hata Sisi hatutafanya mzaha.
Mwisho wa kunukuu
Watu wameghushi na kutoa taarifa za Uongo wakapata vyeo
Wametoa Rushwa wakanunua vyeo huku wakiwa wanakinzana na Taratibu za kimfumo zinavyo agiza na Bado wako Madarakani wakilindwa na kulipwa posho Kodi za Mafukara na watu walioapa kutenda haki .
Mheshimiwa Godwin Kunambi
Mbunge wa Mlimba
Nakumbuka Tarehe 24/05/2024
Alisema
Nirejee maneno ya hayati Baba wa Taifa ( Mwl Nyerere)
Aliwahi kusema
Nchi yeyote ili iweze kupiga hatua za kimaendeleo lazima iwe na ardhi , watu, ( na) Siasa Safi.
Na Utawala Bora
Mwisho wa kunukuu
Mzee Joseph Butiku
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation
Nakumbuka Tarehe 04/06/2024
Alisema
( Utasikia ) Sherehe zote Baba wa Taifa ( Mwl Nyerere)
Baba wa Taifa
Baba wa Taifa
Baba wa Taifa
Kila siku
( Baba wa Taifa)
Amekuwa Kama Biashara ya Watu
Mnamkumbuka kwa nini !?!?
Kwa kuficha Vitabu vyake!??!?
Mwisho wa kunukuu
Majambazi ya kisiasa
Hayapendi
Kufuata Ilani katiba kanuni miongozo na Taratibu
Hata Kama hayana Sifa za Uongozi
Yenyewe hutumia Rushwa
Kupata Uongozi
Kisha hutumia Rushwa
Kudumu Madarakani
Kwa Msaada wa Baadhi ya viongozi wenye vyeo Wasiokuwa Wazalendo
Wenye Kutamka neno Mwenyezi Mungu kwa Unafiki tu ili kuwaaminisha Mafukara wawaone Kama nao wanaimani ya Kimungu .
Wanafiki
Tusiposema
Wanafiki watakuwa wanaona Kama Wanatuburuta
Wanafiki Wakubwa waipendao Dunia huku wakimtumikia Shetani wakiwa katika kivuli Cha kujitamkisha neno Mwenyezi Mungu.
Tupambane Kujenga tabia njema ndani ya Taifa .
Na tutajenga Tabia njema kwa kuyaanika Maovu na kukemea Wazi wazi Mambo yote ya Kinafiki ya Watu kujifanya watu wema huku wakiwa na Tabia za kijinga jinga.
Mheshimiwa Joseph Butiku

Alisema,
Baba ( Mwl) Nyerere Alisema
Kujenga Taifa SI Kujenga Mabarabara.
Si Kujenga Mabarabara na Majumba haya.
Matrain
Na kutengeneza Meli
Hapana
Kujenga Taifa ni Kujenga Tabia za watu.
Character kiingereza.
To build a nation is to build a character
Msisahau

Tabia inayokuwezesha kuwa mtu unaye jiheshimu na kuwezesha kuishi na ( watu ) wengine kwa kuwaheshimu
Na munaheshimiana.
Na mnafuata Taratibu na mnatii Taratibu mlizojiwekea
Kwa khiari.
Mwisho wa kunukuu
Tuache Unafiki na tabia za hovyo zilizojaa Ubinafsi na Umimi
Tumrudie Mwenyezi Mungu na tunapotamka neno Mwenyezi Mungu tumaanishe.
Katika clip iliyorushwa Mtandaoni Tarehe 08/07/2017 inaonyesha Professor Palamagamba Mwaluko Kabudi
Ex Waziri wa Katiba na Sheria
Aliwahi kusema
Na Mwenyezi Mungu kwa tabia yake ameturuhusu Binaadamu utashi.
Na tumejikusanya katika Makundi mawili
( Kuna ) Makundi ya Wapumbavu na Makundi ya ( Watu) Wajinga
( Ni) Nini tabia ya Mpumbavu!?
Mpumbavu ana tabia ya kushupaa na ubabe
(Mtu)Mjinga
Mjinga
Ambaye ni Pamoja na Mimi
Mjinga
Mungu amemjalia karama ya kuduwaa
Akieleweshwa anasema Ahaaa ,
Nilikuwa sijuwi.
Kwa Hali hiyo Basi ,
Mtu Mjinga
Kwa sababu ana tabia ya kuduwaa kwa asilo lielewa ( Mara nyingi) huwa na Busara
Na ( mtu) Mpumbavu kwa sababu hushupaa hujaa kiburi .
Watanzania ( ni vema) tuwe Wajinga na Sio Wapumbavu
Tusishupae
Tuduwae
Mwisho wa kunukuu
Niwaombe tuduwae katika kutenda haki kwa wote bila ubaguzi kwa kufuatiza ilani katiba Kanuni miongozo na Taratibu
Na Tusishupae kuwabeba Wasiostahili na kuwalipa posho Kodi za Mafukara ambazo tuliapa kuzitendea haki huku tukiwa karibu na Viongozi wa kidini.
Nikashtuka Ndotoni katika ulimwengu wa Kiroho huko Peponi huku nikiwa kimya kabisa na nikiwa sielewi nilikuwa nasema Nini.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Mathias Mugerwa Kahinga
🙏🏿🙏🏿⛏️⛏️💪🏿💪🏿🌹🌹
Kidumu Chama Tawala 👊💪WANACCM NA WATANZANIA KWA UJUMLA

MAJAMBAZI YA KISIASA