🤔🤔🤔🤔
WATU WAOVU TUWAANIKE
TUWAUMBUWE
HATUPASWI KUCHEKA NAO KWENYE MAMBO YA UOVU NA UVUNJIFU WA SHERIA
Nakumbuka Tarehe 08/07/2024 Mheshimiwa Paul Christian Makonda Mkuu wa Mkoa wa Arusha Alisema Ukipata nafasi ya kuongea useme Ukweli Kwa sababu Ukweli ndiyo utatuweka huru. Mwisho wa kunukuu
Nakumbuka Tarehe 18/07/2024 Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Akiwa Tunduma Alisema
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni moja tu Ulimwengu mzima. Hakuna nyingine na Watanzania ndiyo sisi .
Na sisi ndiyo tunatakiwa kuijenga Tanzania yetu. Mwisho wa kunukuu.
Ujenzi wa nchi yetu unatutaka kutii katiba na sheria za nchi. Ndani ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara 13(1)(4)(5) na 09 ab f na h tumekatazwa Vitendo vya Aina yeyote vyenye ubaguzi na Upendeleo ndani yake.
Ilani ya CCM uk 1 ibara 4 inatukataza kufanya kazi kwa mazoea. Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amekuwa akitoa maelekezo mengi yanayokumbana na kupingwa na Baadhi ya Viongozi wasiomtii Rais wetu
Watu hawaiheshimu katiba Wala kutii sheria za nchi na Bado wako madarakani.
Mheshimiwa Mizengo Pinda Ex Waziri Mkuu wa Tanzania Nakumbuka Tarehe 15/07/2024
Akiongea mbele ya Mheshimiwa Rais Dkt Samia Alisema Kubwa tuendelee kumuombea mama (Dkt Samia) kila la kheri ili aendelee kutuongoza vizuri Mwisho wa kunukuu.
Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Akiwa Ikulu Chamwino Dodoma Nakumbuka July 2024 Alisema Katiba yetu inahimiza misingi ya Usawa, Utawala Bora, Uwazi na Uwajibikaji. Mambo haya kwa ujumla yanasimamia haki ya Binaadamu. Mwisho wa kunukuu
Naye Wakili Jasiri Msomi Mheshimiwa Peter Madeleka Ex Police Officer Nakumbuka Tarehe 20/06/2024 Alisema
Nchi hii inaongozwa kwa Mujibu wa katiba na kwa Mujibu wa Sheria Na serikali imeingia madarakani ( ili) kuhakikisha katiba inalindwa na sheria zinafuatwa. Mwisho wa kunukuu.
Waliouza Ofisi ya CCMWaliohama maeneo Yao ya uongozi. Waliokiuka Ilani katiba kanuni Miongozo na Taratibu wakapata vyeo. Walioitisha Halmashauri kuu ya kata wakahusisha wajumbe wasio husika Na wakatoa Siri za vikao kwenye vyombo vya habari Wakatoa taarifa za uongo mtandanijuu ya Mathias Mugerwa Kahinga kwenye mtandao na Tv na hivyo kwenda Kinyume na The cyber crime act inayokataza kupost taarifa za uongo
Ajabu.
Pamoja na kuandika barua ya malalamiko sijapewa mrejesho. Viongozi waliokiuka Mifumo wako madarakani wakihubiri haki huku wakikiuka haki kwenye eneo langu.
Mheshimiwa Livingston Joseph lusinde Mbunge wa Mnvumi na Mjumbe wa Halmashauri kuu CCM Taifa Akiwa Iringa Nakumbuka Tarehe 20/07/2024 Alisema Kama sio unafiki ni Nini?! Haya ndiyo Mambo hatuyataki. Mwisho wa kunukuu wajuwe pia Walivunja sheria ya The Political parties act chapter 258 inayovitaka Vyama vya siasa kufuata maandiko yake kikamilifu. Wamevunja katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 toleo 2005 ibara 26(1) na ibara 09 a b f na h. Ni lazima Sasa watoke kwa khiari yao
Mheshimiwa DC Petro Magoti Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Nakumbuka Tarehe 02/07/2024 Alisema Kila mtu atimize Wajibu wake kulingana na utaratibu uliowekwa. Mwisho wa kunukuu Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan akiwa Dodoma Ikulu ya Chamwino July 2024 Alisema Hii si haki, Si haki. Ni haki upande mmoja Lakini si haki upande wa pili. Mwisho wa kunukuu.
Mchungaji Peter Msigwa Ex Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini Akiwa kwenye mkutano wa Mapokezi Nakumbuka Tarehe 20/07/2024 Alisema Watanzania tunapaswa wote tumuunge (Mkono Dkt) Samia Suluhu Hassan aendelee kuongoza nchi hii Na tunamuona (Mheshimiwa Rais Dkt) Samia Suluhu Hassan ana Mwelekeo Ana mahali anakokwenda Kuna mahali anatupeleka. Mwisho wa kunukuu
Nakumbuka July 2024 Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Akiongea na Machief wa Tanzania Huko Ikulu ya Chamwino Alisema Kule nyuma nilisema Masuala ya Uwazi na Uwajibikaji. Tunapoona Vitendo vya hovyo kwenye maeneo yetu Machief *tusemeni Tukemee. Kama mnaona Mkuu wenu wa Wilaya (au kiongozi yeoye Mwenye dhamana) hafanyi vyema mkemeeni, Msemeni, Muumbueni tumjuwe.
Kama mnamuona kiongozi haendi mwendo Mwema tuambieni tunjuwe ili tulete Viongozi Waadilifu na Mambo yaende vizuri. Niwaombe twende tukakemee Vitendo viovu vinavyo kiuka maadili yetu. Mwisho wa kunukuu
Mheshimiwa Livingston Joseph lusinde Mbunge wa Mnvumi Nakumbuka Tarehe 20/07/2024 Alisema Huyu ni Mama Ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Lakini ni Mwanamke Kwa hiyo tunamuita Nani? Mama
Ukitaka ni hivyo, Hutaki... Mwisho wa kunukuu
Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Mathias Mugerwa Kahinga
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔