UPDATES: Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva | Mlimani City | 10.07.2026

viatu vya ali choki vilikuwa wazi huku kwenye visigino๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Tshirts za Nelly pia zilitamba sana

Unakumbuka Diamond Jubilee
Huo ukumbi ulifanya nifukuzwe hostel pale azania sekondari wakati nipo form 3. Kulikua na disco hapo tukatoroka hostel usiku kwenda diamond jubilee. Mshkaji mmoja wa form 6 alirudi kalewa akawafanyia fujo madogo wa form 1 bwenini kwao. Alipelekwa polisi usiku kesho yake akatembezewa kichapo halafu anaambiwa ataje aliokua nao. Kila anaekuja anamtaja mtu wake mpaka na mimi nikatajwa. Sema mimi nilikaza sikumtaja yoyote. Tuliotoloka siku hiyo wote tukafukuzwa hostel za shule
 
Mimi nimeshuhudia huu mziki kwa kuiishi, mimi nimenunua albamu ya Mangwair a.k.a Mimi kwa pesa ya tuisheni. Ndio maana mpaka sasa sijalala nacheki hii burudani. Anaakisi maisha yangu. Nakumbuka mbali. ๐Ÿ˜Š
Albamu ya mimi nakumbuka nimeinunua wakati nimemaliza darasa la saba. Std 7 nimemaliza iringa nilikua nasoma bweni hapo ndio tunaokaa dar tunarudi home njiani nikanunua hiyo cassette. Kitambo sana
 
Ndugu yenu amefika๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Anasema kwenda India operation saa1 Hadi saa10
Ni Mungu
Na sijasaidiwa na serikali.
...
Ila namuelewa Konki
Operation inatisha sana
Threatre inatisha
Kule Thretre unasali sala zako zote unazozijua wewe maana
 

Attachments

  • PXL_20260711_003306518.jpg
    1.7 MB · Views: 16
  • PXL_20260711_003310463.jpg
    2 MB · Views: 14
Dj ameshajua huyu Konki anaenda kuvuruga
Wamemkata
Maana ashaanza kuongelea taifa ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 

Attachments

  • PXL_20260711_003306518.jpg
    1.7 MB · Views: 15
Sijapenda
Kwanini Konki akatiwe maongezi yake๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Ningeshangaa sana
Dudubaya asivuruge popote.

Sasa kesho huyo Dj aliyeweka mziki wakati Konki anaongelea Mwanamke kuongoza Taifa๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Amsubiri Konki
 
Albamu ya mimi nakumbuka nimeinunua wakati nimemaliza darasa la saba. Std 7 nimemaliza iringa nilikua nasoma bweni hapo ndio tunaokaa dar tunarudi home njiani nikanunua hiyo cassette. Kitambo sana

Naamini album ya Mangwair aka Mimi, Machozi, Jasho na Damu- Prof Jay, Ulimwengu ndio mama- Jay More ni albam zilizompa mhindi hela nyingi sana. Nakumbuka imetoka album ya Ngwair ikawa sold-out, ilibidi watu wasubirie mzigo utoke tena. ๐Ÿ˜Š

Zote zilikuwa hits songs mle.
Sikiliza-feat Jide
Mikasi-Ludigo, Mox
She got a gwan.
Mademu zangu.
 
Umeisahau geto langu
 
All in All show ya kawaida sana. Kwa kiingilio cha laki 1 huu ni upuuzi. Ilikuwa iwe live performance tena kisasa zaidi sio haya makelele ya DJ tulia sijui piga kelele mara mic moja aina nguvu ujinga mtupu
Niumasikini wako tu kuona laki nipesa ndefu kwenye suala la burudani, kuwaona tu malegend on stage inatosha kulipia pesa mingi huko mbele wanalipa madollar mengi tu kwajambo kama hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ