Hakuna mtu amesema Nakupinga au nakuunga mkono kwa suala la Mwenyekiti kukaa madarakani zaidi ya miaka kumi.
Hoja zako za leo hazihusuani na uongozi wa zaidi ya miaka kumi Bali zimejikita kuonesha kuwa CHADEMA kuna huo ubadhirifu,na Mbowe ndiye anayeufanya.
Unaonesha chuki na Mbowe binafsi ma siyo chuki na uongozi wa Mbowe.
By the way,hakuna mtu mwenye akili na anayejiita mwanademokrasia anaweza kukubaliana na kiongozi wa kisiasa kukaa madarakani zaidi ya miaka kumi.
Hilo nakuunga mkono,lakini hili la kumchukia Mbowe binafsi na kushadadia uzushi mtandaoni ni ushenzi.