Alijaribu kulinganisha vyama vyote ,alichogundua ni kuwa ccm kwa mbali mnoooo ni chama bora,kwa hakuwa na jinsi...Upendo Peneza na Petrobas Katambi waligombea Uenyekiti wa Bavicha. Sasa hivi wote wamehamia Ccm.
..Huyu Dada kama hakuridhika na Chadema kwanini hakuhamia chama kingine cha upinzani?
..Mimi simuelewi anapojiunga na chama alichokipinga kwa muda mrefu, na chenye watu waliomdhalilisha kijinsia.