Pre GE2025 Upendo Peneza aeleza sababu za kuondoka kwake CHADEMA

Pre GE2025 Upendo Peneza aeleza sababu za kuondoka kwake CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nadhani haikuwa mdahalo Bali alialikwa yeye kwenye kipindi. Hata watu wa cdm tumekuwa tukiwaona wakialikwa bila uwepo wa watu wa vyama vingine. Hiyo Redio ipo, mwanacdm yoyote aliyeona upotoshaji anaweza kwenda na kuweka rekodi sawa.
Hakuna haja ya kuweka rekodi sawa. Kukimbizana na mwehu ni kumpa milage asiyostahili.
 
Huo ndio utaratibu wa chama ambao alipaswa kuufuata. Na anasema hakuwa na tatizo na kutoa hiyo pesa, bali matumizi hayakuendana na malengo.
Matumizi gani?. Aache porojo.
 
Hapo ndipo tunakosea. Yaan CDM mnaona ni chama cha malaika. Hamtaki iguswe kabisa. Ikiguswa tu, anayegusa anatukanwa. Tukienda hivyo hatutafika.

Wakati wa mgogoro na Zitto Kabwe nilifika pale ufipa Kinondoni, nikashuhudia Dr Slaa anamtukana matusi ya nguoni jamaa mmoja ambaye alikuwa mhasibu, kwa madai kwamba anapeleka Siri kwa Zitto.Wakati huo Dr Slaa akiwa katibu mkuu wa chama.

Aikuchukua muda yule jamaa akapigwa sumu, kwenye kilevi. Lakin akapona kwa bahati. Na akakimbia, mbali na CDM. CDM sio malaika, wana mfumo wa sumu kama CCM, hauachi glass ya maji ukaenda msalani.
Umeongea uongo. Mambo ya CCM usilete CHADEMA. CCM ndio hawaachiani glasi ya maji.
 
Mbowe yupo kibiashara zaidi. Ndio maana, hataki kuachia uenyekiti. Yupo hiari haya mambo ya CCM na ufisadi wao uendelee, huku yeye anaendelea na biashara yake ya ruzuku na wabunge.

Yaan akipata wabunge let say 100.Kila mbunge akatoa one million kwa mwezi, ni 100,000,000 kwa, mwezi. Kwa mwaka anapata 1.2 billion. Kwa five years anapata 6 billion. Kwann atoke kwenye uenyekiti??? Hapo bado ruzuku ya 2 billion.
Punguza roho mbaya na wivu.
 
Ni kweli, alipoulizwa kuhusu kuhamia ccm aliishia kutoa majibu ya kujiumauma na sifa zile zile za kichawa. Hakuna uwezekano wa yeye kuiponda ccm hadharani akiwa ndani ya ccm, kama ambavyo hajawahi kuiponda cdm hadharani akiwa ndani ya cdm. Kwa Sasa lazima aongee lugha itakayompa nafasi ndani ya ccm. Na sisi humo humo ndio tunaokota ya kweli.

..nilichogundua amekwenda Ccm kutafuta nafasi.
 
TUNDU LISSU ATOA USHAHIDI WA FEDHA CHAFU MBELE YA KAMATI KUU

Leo Tar 11 Kikao Cha Kamati Kuu Kimeketi na Kujadili maswala mbalimbali, Moja ya Agenda Muhimu ilikua ni Swala la Fedha Chafu ambalo liliibuliwa na Makamu Mwenyekiti Bara Mh Tundu Lissu akiwa Iringa wiki iliyopita alipofanya Mkutano wa Hadhara.

Katika Taarifa yake Mbele ya Kamati Kuu, Mh Lissu amedai Alikutanishwa na Abdul Mtoto w Rais kwa Usaidizi wa Mh Wenje Nyumbani kwake Dar Es Salaam. Na Katika Mazungumzo yake ambayo yalirekodiwa alidai amekwenda Kujitambulisha kwake. Pili anataka kudumisha Mahusiano yake kama Mtanzania kwa kuwa anaamini katika Amani na mshikamano. Hatamani uhasama na Mh Tundu. Baada ya Mazungumzo yote alidai ana shukrani kwake ya Kukubali kuongea nae, akasema anaomba kumkabidhi kiasi cha Fedha ambazo Mh Lissu hajataja Kiwango chake. Mh Lissu akahoji kwa nini apewe Peke yake? Mbona tuko wengi? Kwa nini Mimi peke yangu? Ndio Abdul mtoto wa Rais akadai kuwa wenzako tuko nao karibu, tayari mara kadhaa tumezungumza na kuna kiasi wamekubali kupokea na wanapokuwa na Changamoto tunawasiliana. Mh Lissu mbele ya Kamati Kuu akawataja Wajumbe wa Kamati Kuu Watatu akiwemo Wenje Ambae ndio alifanikisha Mpango wa Kukutana na Abduli Nyumbani kwake Tegeta Kujipatia Shilingi Milioni Mia Moja, Mh Heche Ambae alijipatia Shilingi Milion Mia Moja na Hamsini, Mh Peter Msigwa Ambae alijipatia Shilingi Milion Mia Moja, Pia Mh Joseph Mbilinyi ambae kiwango chake hakijatajwa na Mh Lissu. Ushahidi wote wa Mazungumzo yake na Abdul Mh Lissu ameutunza katika Flash Disk ambayo amedai ataikabidhi Kamati Kuu ya Chama.

Katikati ya Mjadala, Mh Peter Msigwa amedai kuwa yeye alipokea kweli na kuambiwa pia Hata Mwenyekiti wa Chama Mh Freeman Mbowe alipokea fedha Kutoka Serikalini bila kutaja ni kiwango gani.

Pia Team ya Usalama wa Chama Chini ya Shetani ilitoa Taarifa Mbele ya Kamati Kuu Kuonesha Mihamala ya Peter Msigwa ambayo imethibitisha uwepo wa Fedha Kutoka Kwa Vigogo Serikalini.

Lissu hana Rafiki kwenye Mambo asiyoyaamini
Naona mnaokoteza vihabari maana mkutano wa CHADEMA umekuwa wa Siri
 
Hili shtaka mbona Mwikabe Waitara aliliibua akiwa TAMISEMI nakumbuka TAKUKURU walichunguza ila wakaona hakuna ufujaji wa pesa. Same to CAG alifanya forensic audit kwa CHADEMA hiyo 2020 mbona hakupata ushahidi? Hivi JPM alivyochukia upinzani angegundua ufisadi si angekifuta chama kabisa!!
Asingeweza; hakuwa na mamlaka hayo. Teknik ya hayati JPM ya kuufuta upinzani ilikuwa ni utendaji kazi uliotukuka, uliokuwa unapelekea wapinzani wahame wenyewe kutoka upinzani kurudi CCM
 
Mimi sio kwamba sipendi Mbowe aendelee kuwa mwenyekiti wa cdm, bali ni sitaki kabisa. Sina tatizo binafsi na Mbowe maana hatujuani kabisa. Mimi namjua kutokana na umaarufu na nafasi yake, lakini mimi hanijui hata kidogo.

Kimsingi kabisa Mimi sio muumini wa kiongozi yoyote wa kuchaguliwa kukaa nafasi Moja kwa zaidi ya miaka Kumi, na sababu hasa ni kuwa kiongozi akikaa zaidi ya miaka 10 kwenye nafasi Moja anaweza kuharibu mazuri, ama kuongoza kwa mizengwe. Mifano halisi ya viongozi hao ninao. Na Mbowe anaangukia kwenye hali hiyo Sasa. Hivyo hili jambo kwangu kwa Mbowe sio personal, bali ni kwa afya ya Taasisi.
Una maoni gani kuhusu rais wa sasa wa Uturuki, wa China na wa Urusi ?
 
Asingeweza; hakuwa na mamlaka hayo. Teknik ya hayati JPM ya kuufuta upinzani ilikuwa ni utendaji kazi uliotukuka, uliokuwa unapelekea wapinzani wahame wenyewe kutoka upinzani kurudi CCM
Mamlaka ya kupora uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kwa nchi nzima aliyatoa ?
 
Hapo ndipo tunakosea. Yaan CDM mnaona ni chama cha malaika. Hamtaki iguswe kabisa. Ikiguswa tu, anayegusa anatukanwa. Tukienda hivyo hatutafika.

Wakati wa mgogoro na Zitto Kabwe nilifika pale ufipa Kinondoni, nikashuhudia Dr Slaa anamtukana matusi ya nguoni jamaa mmoja ambaye alikuwa mhasibu, kwa madai kwamba anapeleka Siri kwa Zitto.Wakati huo Dr Slaa akiwa katibu mkuu wa chama.

Aikuchukua muda yule jamaa akapigwa sumu, kwenye kilevi. Lakin akapona kwa bahati. Na akakimbia, mbali na CDM. CDM sio malaika, wana mfumo wa sumu kama CCM, hauachi glass ya maji ukaenda msalani.
Kwenye matusi hawana mpinzani. CHADEMA ni chama cha matusi.
 
Dada anafunguka vibaya huko clouds FM kuhusu mambo ya cdm. Anamuanika Mbowe hadharani.
Kwani. Huyu upendo analiwa na nani huko ccm tuanzie hapo

Kuna Uzi humu unasema ili kupata umaarufu ccm watukane cdm

Kama cdm na mbowe hawako serious na issue ya covid ndo sababu ya yeye kuondoka cdm?

Ina maana mwenyekiti wa cdm ndo signatory wa accounts zote za chama??
 
CHADEMA wavumilie kwasababu wao ndo wamemfundisha huyo Peneza matusi. CHADEMA ni chama kikuu cha matusi. Acha Peneza awape dawa.
 
Usimwamini mwanasiasa

Hauwezi Kuwa smart ukatoka Chadema na kuhamia Ccm , labda for self-interest I agree with her Ila in national interest I don't agree with her.


MTU pekee ambaye alikuwa ni hazina na anaipambania nchi ni zitto kabwe tu. Ndo maana mpaka Leo amesimama Imara.
Kazi kweli kweli.
 
chadema kila kukicha inazidi kujifia

ikijaribu kupata tahafifu tuh inakutana na jaka
Kama chadema inakufa kwa nini upate tabu ya kuzungumza na kilicho kufa
Kwanini usitafute waliokua hai uzungumze nao
Au na wewe umekufa
Una amua kuzungumza na maiti mwenzio
 

R.i.P Regia Mtema
 
Back
Top Bottom