Ndio aende huko CCM aache kelele. Akina Slaa walienda huko , ila Leo wanarudi kwa mlango wa nyuma. CHADEMA ni taasisi, wewe ondoka wengine watakuja. Mtu umepewa ubunge viti maalumu ukapewa na kugombea ubunge ila maneno mengi mdomoni, unataka Nini?. Aende akawafuate akina Rachel mashishanga.Unaweza ukawa na uchumi mzuri na bado ukawa huna kiasi. Kwake ameona kabisa kama huko cdm anakutana na mizengwe na Hana uwezo wa kupata cheo, ni bora ahamie ccm ambako anaweza kupewa cheo amalize kiu yake.
Tangu lini n'gombe asiye na mkia akaongea ukweli. Huyo asubiri apewe ukuu wa wilaya akae kimya Kama akina Nassary.Umalaya na kusema ukweli ni vitu viwili tofauti mkuu!
Angeeleza mikakati yake ya kusaidia vijana, sio kuwa debe lq keleleDada anafunguka vibaya huko clouds FM kuhusu mambo ya cdm. Anamuanika Mbowe hadharani.
Mkuu tuna uwezo wa kujua ukweli ni upi, na propaganda ni zipi.
All in all ni muda wa Mbowe kustaafu.
Chama makini kina amini kwenye mfumo sio watuMtakabidhi chama kwa mwenyekiti design ya Mashinji au Heavy Bark na kukiuua.
Hata Tlp ya Mzee mrema na nccsr zipo piaWameondoka watu kibao wenye nafsi zao wameongea mengi mazito mpaka ya uwaji na kuteka lakini CDM ipo na itakuwepo tu.
Umemaindi Upendo?Naona malaya uko kwenye active recruitment
Mkuu ni rahisi kabisa, taasisi yoyote ikituhumiwa, kiongozi mkuu ndio mlengwa namba moja, kama anakaa madarakani muda mrefu kuliko kawaida, anakwepaje kuhusishwa na huo ubadhirifu? Ama ulitaka huo unadhirifu tumuhusishe Heche?Hakuna mtu amesema Nakupinga au nakuunga mkono kwa suala la Mwenyekiti kukaa madarakani zaidi ya miaka kumi.
Hoja zako za leo hazihusuani na uongozi wa zaidi ya miaka kumi Bali zimejikita kuonesha kuwa CHADEMA kuna huo ubadhirifu,na Mbowe ndiye anayeufanya.
Unaonesha chuki na Mbowe binafsi ma siyo chuki na uongozi wa Mbowe.
By the way,hakuna mtu mwenye akili na anayejiita mwanademokrasia anaweza kukubaliana na kiongozi wa kisiasa kukaa madarakani zaidi ya miaka kumi.
Hilo nakuunga mkono,lakini hili la kumchukia Mbowe binafsi na kushadadia uzushi mtandaoni ni ushenzi.
naona kama akili zake haziko sawa.Hoja ya msingi ni kueleza sera za chama chake kipya na kukisaidia kiendelee kushika dola.
Kutukana au kusema vibaya alikotoka ni Dalili ya kulazimisha kukubalika ugenini,Aache porojo apige kazi Samia atamuona na atampa anacho kitaka,mambo ya CHADEMA atuachie wanachama wa CHADEMA.
Halafu uache unafki we ni mbaba mtu mzima.
Hiki ndiyo nini jamani? Siyo lazima kila mtu aanzishe thread hata kama hana data au hana uwezo wa kufafanua jambo likaeleweka.Dada anafunguka vibaya huko clouds FM kuhusu mambo ya cdm. Anamuanika Mbowe hadharani.
HakikaTangu zamani nilisema huyo mtoto ni malaya watu walinibeza...huyo akina Nusrat walikua good for nothing!!
Utakufa wewe kama mwendazake na cdm ikibaki na kunawirichadema kila kukicha inazidi kujifia
ikijaribu kupata tahafifu tuh inakutana na jaka
Atakayemuoa huyu Binti ajiandae kusalitiwa kwa sana!Dada anafunguka vibaya huko clouds FM kuhusu mambo ya cdm. Anamuanika Mbowe hadharani.
Kila siku Tu? Hana lingine jipya?? Waliondoka wengine hadi wakapewa uwaziri, wako Wapi sasa!?Dada anafunguka vibaya huko clouds FM kuhusu mambo ya cdm. Anamuanika Mbowe hadharani.
Mmmmmghchadema kila kukicha inazidi kujifia
ikijaribu kupata tahafifu tuh inakutana na jaka
I rest my case hapa,una uhakika CHADEMA kuna ubadhirifu?mboMkuu ni rahisi kabisa, taasisi yoyote ikituhumiwa, kiongozi mkuu ndio mlengwa namba moja, kama anakaa madarakani muda mrefu kuliko kawaida, anakwepaje kuhusishwa na huo ubadhirifu? Ama ulitaka huo unadhirifu tumuhusishe Heche?