Sahihi, yeye anasema hizo fedha 1.5 kwa wabunge wa viti maalum, na lako tano kwa Kila mbunge wa jimbo walizokuwa wanachangishwa zikafika 5b+, waliambiwa zitatumika kuwezesha wagombea wakati wa uchaguzi wa 2020. Lakini hawakuziona wakati wa uchaguzi ule. Na maelezo yake hayanyooki.Hili shtaka mbona Mwikabe Waitara aliliibua akiwa TAMISEMI nakumbuka TAKUKURU walichunguza ila wakaona hakuna ufujaji wa pesa. Same to CAG alifanya forensic audit kwa CHADEMA hiyo 2020 mbona hakupata ushahidi? Hivi JPM alivyochukia upinzani angegundua ufisadi si angekifuta chama kabisa!!
Ni wajinga tu ndio wanawaelewa watu wanaotoka upinzani na kurudi/kwenda CCM wakati CCM ni ile ile na mambo yake ni yale yale...Upendo Peneza na Petrobas Katambi waligombea Uenyekiti wa Bavicha. Sasa hivi wote wamehamia Ccm.
..Huyu Dada kama hakuridhika na Chadema kwanini hakuhamia chama kingine cha upinzani?
..Mimi simuelewi anapojiunga na chama alichokipinga kwa muda mrefu, na chenye watu waliomdhalilisha kijinsia.
Wewe na Peneza ni wale wale tuDada anafunguka vibaya huko clouds FM kuhusu mambo ya cdm. Anamuanika Mbowe hadharani.
Ni kweli, alipoulizwa kuhusu kuhamia ccm aliishia kutoa majibu ya kujiumauma na sifa zile zile za kichawa. Hakuna uwezekano wa yeye kuiponda ccm hadharani akiwa ndani ya ccm, kama ambavyo hajawahi kuiponda cdm hadharani akiwa ndani ya cdm. Kwa Sasa lazima aongee lugha itakayompa nafasi ndani ya ccm. Na sisi humo humo ndio tunaokota ya kweli...Upendo Peneza na Petrobas Katambi waligombea Uenyekiti wa Bavicha. Sasa hivi wote wamehamia Ccm.
..Huyu Dada kama hakuridhika na Chadema kwanini hakuhamia chama kingine cha upinzani?
..Mimi simuelewi anapojiunga na chama alichokipinga kwa muda mrefu, na chenye watu waliomdhalilisha kijinsia.
Na hiyo ndo tiba sahihiHaka mtu akapelekee moto
Mwanasiasa Upendo Peneza anasema wakati anaingia Chadema kilikuwa chama cha kawaida kabla ya yeye kukisaidia kukua kwa kasi.
View attachment 2991345
Kwamba Zittow na huyo Peneza Wana tofauti Gani?Sitegemei aseme kweli yote, lakini hakuna uwezekano wa yeye kuongea uongo yote.
Ni sahihi, aliondoka Slaa iweje PenezaWameondoka watu kibao wenye nafsi zao wameongea mengi mazito mpaka ya uwaji na kuteka lakini CDM ipo na itakuwepo tu.
π€£π€£π€£π₯π₯unakujua kuanikwa hadharani mkuu? kale kadada kana njaa ajabu kamezeeka kalipohamia ccm
Kwa nini hakusema haya hadharani wakati akiwa CHADEMA?Amesema kuhusu pesa walizokuwa wanachangishwa wao kama wabunge, hawafahamu zimetumika kufanya Nini. Na ni kweli hizi pesa zimekuwa zikitolewa porojo. Huyu Upendo kwakuwa ana hasira ataongea mengi ya hasira, lakini humo ndani tutapata ukweli.