Pre GE2025 Upendo Peneza aeleza sababu za kuondoka kwake CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbowe ni kiongozi mkuu wa chama hivyo hawezi kuepuka kusemwa kwa mambo ya kweli ama ya uongo. Kuna siku ukweli utajitenga na uongo
Amesema kuhusu pesa walizokuwa wanachangishwa wao kama wabunge, hawafahamu zimetumika kufanya Nini. Na ni kweli hizi pesa zimekuwa zikitolewa porojo. Huyu Upendo kwakuwa ana hasira ataongea mengi ya hasira, lakini humo ndani tutapata ukweli.
 
Umesema LIVE, basi let updates za nini anaongea. Nyuzi zingine hazina content, unataka tujadili nini kama hakuna chochote unachotujulisha kuhusu hayo mahojiano.?
Ndio maana nataka umsikilize maana ni Sasa.
 
Amesema kuhusu pesa walizokuwa wanachangishwa wao kama wabunge, hawafahamu zimetumika kufanya Nini. Na ni kweli hizi pesa zimekuwa zikitolewa porojo. Huyu Upendo kwakuwa ana hasira ataongea mengi ya hasira, lakini humo ndani tutapata ukweli.
Hili shtaka mbona Mwikabe Waitara aliliibua akiwa TAMISEMI nakumbuka TAKUKURU walichunguza ila wakaona hakuna ufujaji wa pesa. Same to CAG alifanya forensic audit kwa CHADEMA hiyo 2020 mbona hakupata ushahidi? Hivi JPM alivyochukia upinzani angegundua ufisadi si angekifuta chama kabisa!!
 
Dada anafunguka vibaya huko clouds FM kuhusu mambo ya cdm. Anamuanika Mbowe hadharani.
for sure,
she is severely deconstructing the national chairman and dismantling Chadema party as whole :BASED:
 
Aweke akiba yw maneno! Waliondoka miamba kina Zito, Kafurila, Halima nk, hakuna cha upekee anachofanya, ni njaa tu!
Ni kweli, ila kwakuwa yuko kwenye kipindi, anajibu anavyoulizwa. Hivyo ufafanuzi wake unaendana na mtiririko wa maswali.
 
..Upendo Peneza na Petrobas Katambi waligombea Uenyekiti wa Bavicha. Sasa hivi wote wamehamia Ccm.

..Huyu Dada kama hakuridhika na Chadema kwanini hakuhamia chama kingine cha upinzani?

..Mimi simuelewi anapojiunga na chama alichokipinga kwa muda mrefu, na chenye watu waliomdhalilisha kijinsia.
 
Amesema kuhusu pesa walizokuwa wanachangishwa wao kama wabunge, hawafahamu zimetumika kufanya Nini. Na ni kweli hizi pesa zimekuwa zikitolewa porojo. Huyu Upendo kwakuwa ana hasira ataongea mengi ya hasira, lakini humo ndani tutapata ukweli.
Unaamini mtu anaweza kuhamia CCM ya sasa Toka CDM Ili akaseme Kweli yote?
 
..Upendo Peneza na Petrobas Katambi waligombea Uenyekiti wa Bavicha. Sasa hivi wote wamehamia Ccm.

..Huyu Dada kama hakuridhika na Chadema kwanini hakuhamia chama kingine cha upinzani?

..Mimi simuelewi anapojiunga na chama alichokipinga kwa muda mrefu, na chenye watu waliomdhalilisha kijinsia.
📌
 
Back
Top Bottom