Shida ana act ka binti aliye vunja ungo under 20 hivi I think umaarufu wa Instagram umemharibu. Iweje ashindwe ndoa tatuTrue, hayupo serious na mahusiano yake. Kuna umri ukifika mashindano na mbwembwe za usichana zinatakiwa kuachwa maana wanaume wakati huo wanakuwa hawapo tayari tena na michezo wanajenga maisha.....
Kaolewa na handsome boy wa kisukuma very humble anapendwaje Sasa, ngoja niende igHebu tupia bas hapa tuone, nmemis kumuona cheusi mangla [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh! Hivi ni wa 90's! Anafaa kuwa mwanae mlezi😁😁...mwana nae atajiweka maana amefika kny green pasture
Hivi unakumbuka zile tuhuma kuwa alikuwa ana mahusiano ya kimapenzi ya jinsia moja na mdada anaemiliki nyumba ambayo wasafi wanaitumia kama office..... Resty nadhani kama sikosei.Shida ana act ka binti aliye vunja ungo under 20 hivi I think umaarufu wa Instagram umemharibu. Iweje ashindwe ndoa tatu
Uko sahihi hasa hapo pakupata mwezi mnayeelewana frequency a.k.a chemistry zenu zinaendana unatuliaNa hiki ndicho kitu wasichokifahamu..... Pesa haimpi mwanamke thamani mwanamke katika mausiano.
Kuna mtu alisema mwanamke mwenye pesa huwa anapewa heshima katika mahusiano, nikasema duh sasa ingekuwa hivyo wale wanawake wenye pesa kule ulaya si wote wangekuwa na ndoa za heshima mbona kila siku wao ndio wanaongoza kwa kupigwa kibuti.
Hata hapa bongo tunaona story ni ile ile Jide, shilole, etc.
Conclusion:
Wanawake msihusishe pesa, elimu, kipato, wadhifa nafasi yenu kwenye maisha ya mwanaume na ndoa. Wewe hadhi yako kwa mwanaume ni heshima unayompa. Usitoke na mtu wa kiwango cha chini yako kiupeo (sijasema elimu) atakusumbua kichwa kwa mawivu na kutokuelewa nini unafanya.
Kubali proposal ya mwanaume ambae ana run na frequency moja na wewe kisha mpe heshima na nafasi yake..... Kwa maneno mengine huyo ni kijana wa mwanamke mwenzako, mtoto kwa hakui, umeazimwa cheo cha kuwa mama, muonyeshe huyo kijana kuwa wewe unaongeza thamani ya maisha yake pale mama yake alipoishia...
Kumbe mlikua mnamchoraa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] yeye aliomba ushauri sasa sie tungefanyaje? Na hata km huon mwanaume katoka nae kavuta huyo kibenteni na ndoa juu, tit 4 tat.
Haki mbutananga kapata bwana mzuri handsome nimeona picha za mbutananga kapendeza kweli
Unajua kwa huu mwenendo tutaanza kusikia story za watoto wa wanawake wa namna hii kuwa walikuwa wanafanyiwa vitendo vya udhalilishaji.....Mie hata wiki moja siwezi ishi naye! Hakawii kuwa anasikiza tu bongofleva na matamthilia ya sultan sijui kara sevda sijui[emoji38][emoji38]!
Basi tu imekuwa trend ya kijinga Sana...wewe umri Kama wa huyu dada unahamu gani Tena kuishi na mwanamume mwingine? Unawaonesha Nini wanao? Si ana binti kbs huyu? Unashindwaje kukaa na wanao ukawalea tu? Kama ni Mahusiano yako yawe ya Siri sirini! Eti unaachika unaenda kuolewa Tena oyeee[emoji1784][emoji1784][emoji1784]!tena unaolewa na bongofleva..hutaacha ona rangi zote
[emoji3][emoji3][emoji119][emoji119]Vipi huyo kijana ametoa Jogooo kung'oa mshangazi...?
Ila wakuu namuonea Donge huyo chalii kulimiliki jimama kama hili lenye fedha afu zuri burudani sana hapo mwendo wa kutembeza Mtinyama tu.
#Dah kweli ukiwa na njaa unawaz ngono tu [emoji125][emoji125][emoji125]
Mbutananga alishatulia nadhani Ile michetuo ilikuwa kutafta umaarufu tuHope mbuta atatulia maana yule saa nyingine huwa anabakiza akili za kuvukia bara bara tu.
Doh! Hiyo sikuiona! Wanapostigi upupu halafu ukiwachallenge wanakublock, wameshazoea sifa za uongo, kwa hiyo uliporudi bdae ukakuta umekula pin hahaha umenikumbusha lembebezUsinikumbushe machungu enzi hizo nna insta account akaweka picha anamla denda binti ake nikoment heee sekunde block hio hahaha
Shida ana act ka binti aliye vunja ungo under 20 hivi I think umaarufu wa Instagram umemharibu. Iweje ashindwe ndoa tatu
Hata sijamchora huo ndo ushauri wa kwenye vitchen part sema tu sie tuliandika JF na huo ndo ukweli wanawake ambao huufanya, sema hatuongei hadharani, Sasa wee fumaniwa uamini umesamehewa, be careful my friendKumbe mlikua mnamchoraa
nyakoo walikua wanakuchora hawa wapuuzeeee[emoji41][emoji41][emoji41]
Doh! Hiyo sikuiona! Wanapostigi upupu halafu ukiwachallenge wanakublock, wameshazoea sifa za uongo, kwa hiyo uliporudi bdae ukakuta umekula pin hahaha umenikumbusha lembebez
Dida yeye alikuwa analea tu Wana viben ten venyewe haviridhiki, na Tena Toka aachane na kuolewa hovyo sikuhizi amekuwa happy no stress. Ukiona ndoa ya kwanza ilikushinda achana na nyingine, wewe jitaftie kipoozeo tu Cha ashiki basiKakurupuka kama dida,dida enzi zake ndoa kila kukicha naona saiv kausoma mchezo kabaki analea binti yake
Ukiona mtu anapost sana mwenzake mtandaoni especially wanawake(rejea history ya mabeste na mkewe) utagundua kuwa ndani wanakuwa wanapitia magumu ila wanafanya vile kama namna ya kujifariji au kujenga picha kuwa wana amani.Nasikia mumewe alioa mke wa pili walivyokua wanapendana jamn tusiamini Sana couple za mitandao wanaonekanaga Kama wako perfect
Nasubir hapa nione hahahahahKaolewa na handsome boy wa kisukuma very humble anapendwaje Sasa, ngoja niende ig
Unajua kwa huu mwenendo tutaanza kusikia story za watoto wa wanawake wa namna hii kuwa walikuwa wanafanyiwa vitendo vya udhalilishaji.....
Weeeh! Kule insta kwa udaku magazine kuna lidada lina mchupi huooo...ndio huyu?Huyo huyu keshapata blanket lake lenye pumzi
Hatari sanaNasubir hapa nione hahahahah