Upinzani nchini umegonga mwamba dhidi ya nguvu na ushawish wa kisiasa wa DR.Samia Suluhu Hassan KWA wananchi, mijini na vijijini kitaifa na kimataifa.

Una undugu na yule jamaa anayejiita Lucas Mobutu seseseko mwashambwa?maana mnafanana uchawa Kwa mama.
nina undugu na waTanzania wote wanao muunga mkono Dr Samia Suluhu Hassan katika azma yake ya kuwaletea maendeleo waTanzania 🐒

haina maana nawachukia wenye mihemko na waporomosha matusi, lahasha, hao ni fursa kwangu ya kunipa nguvu kujiimarisha zaidi katika kueleza ukweli juu ya Dr.Samia Suluhu Hassan, na mustakabali wa siasa za Tanzania 🐒
 
Wewe wasema....amelaaniwa kuliko wanawake wote na abdul mzawa wa tumbo lake kalaaniwa tokea sasa vizazi vyote watamwita mlaaniwa
dua la kuku sio , huwa halimpatagi mwewe 🤣

hata hivyo hiyo si kitu dhidi ya ukweli kwamba upinzani nchini umegonga mwamba kwa kila kitu dhidi ya mipango mikakati ya Dr Samia Suluhu Hassan kuwaletea maendeleo waTanzania 🐒
 
upinzani nchini umeshindwa kabisa kutikisa nguvu, umaarufu na ushawishi wa Dr Samia Suluhu Hassan kwa wanainchi mijini, vijijini, kitaifa na kimataifa..
kiufupi ameshindika kwa hoja, sera, mipango, maono, nia, uthubutu, hekima, uaminifu, matarajio ya wanainchi kwake n.k

hali hii imewapunguza speed sana wapinzani na bilashaka, huenda hivi sasa kwa jinsi walivyopoa, wamejitathimini na wameridhishwa na jitihada za makusudi za Rais alieko madarakani, comrade Dr. Samia Suluhu Hassan, katika nia na azma yake ya kubadili kabisa Tanzania kijamii, kisiasa na uchumi katika msingi wa 4Rs, alizoanzisha Reconciliation, Resilience, Reform and Rebuild...

hata hivyo kwa wale wapinzani wachache walojaribu kujitutumua nao sijui wamepotelea wapi, baada ya kila attempt wanayojaribu kuitumia kuinfluence wananchi inakosa impact kabisa, dhidi ya nguvu, upendo, ushawishi na umaarufu wa Dr Samia Suluhu Hassan mioyoni mwa wananchi ..

hii ina maanisha kwamba wananchi nao kwa umoja na mshikamano wao, wamekubali na kuridhishwa na kiongozi huyu, na hatua madhubuti ambazo Dr. Samia Suluhu Hassan, rais anazochukua katika kupanga na kutatua changamoto zao kijamii, kisiasa na kiuchumi ..

waTanzania wanampenda, wanamuamini, wanamkubali na wanamuelewa sana Dr Samia Suluhu Hassan na mipango yake yenye kuleta ahueni na matumaini kwa waliokata tamaa.

wamekosa kabisa sasa vya kupinga. mihemko, hasira na ghadabu zao kwa Dr.Samia Suluhu Hassan zimekua hazina tija na wala haziathiri wala kudhoofisha chochote katika jitihada zake za kuwaletea wananchi maendeleo..

Je, kwa hali hiyo,
unashauri wapinzani wajikite zaidi na uchaguzi wa 2030 au wakomae na huu ujao mwakani, ilimradi bora liende kanyaga twende kukamilisha ratiba na katiba tu?🐒
Hongera sana kaka kwa kuchagua "UJINGA" ni mtandao Bora wenye internet yenye kasib ya ajabu 🤣🤣❤️🧑‍🦯🧑‍🦯🐸🐸 Msalimie......🐸 KIZIWI 🤸🤸🤸
 
Hizi ni Kampeni kuelekea Chaguzi za Serkali za Mitaa ngoja Masika ya Mafuriko yaja. Wala usikonde.
hujui ngoja ngoja huumiza matumbo,?🐒

yaaan wengine wameshamaliza nyie ndio mtaanza kujipanga masika, sio 🤣
 
Upinzani una hoja nyingi sana ambazo chama tawala hawawezi kuzijibu kwa hoja, tusubiri yajayo majukwaani.
Kwa kurejea ziara za Makonda akiwa mwenezi unaweza kukubali kuwa upinzani na wananchi wanazo hoja nyingi zisizo na majibu halisia.
Ni vizuri kutumia muda uliyobaki kujisahihisha ili kuongeza majibu ya hoja hizo ifikapo 2025.
Cha ajabu wanaojituma na kumsaidia Mh, Rais ndo wanapigwa majungu na kukejeliwa
 
Hongera sana kaka kwa kuchagua "UJINGA" ni mtandao Bora wenye internet yenye kasib ya ajabu 🤣🤣❤️🧑‍🦯🧑‍🦯🐸🐸 Msalimie......🐸 KIZIWI 🤸🤸🤸
umenifurahisha gentleman 🐒

una mihemko ya kujua ukweli wa hoja yangu huku unatabasamu dah 🤣
 
Tumia zawadi ya AKILI aliyokupa Mungu, yaani unaposti vitu utadhani mtu mwenye "MBOJI" kichwani!!
Ni kichekesho Cha kebehi kwa ajili ya wazo lako ambalo hata mtoto wa chekechea aweza kucheka
 
upinzani nchini umeshindwa kabisa kutikisa nguvu, umaarufu na ushawishi wa Dr Samia Suluhu Hassan kwa wanainchi mijini, vijijini, kitaifa na kimataifa..
kiufupi ameshindika kwa hoja, sera, mipango, maono, nia, uthubutu, hekima, uaminifu, matarajio ya wanainchi kwake n.k

hali hii imewapunguza speed sana wapinzani na bilashaka, huenda hivi sasa kwa jinsi walivyopoa, wamejitathimini na wameridhishwa na jitihada za makusudi za Rais alieko madarakani, comrade Dr. Samia Suluhu Hassan, katika nia na azma yake ya kubadili kabisa Tanzania kijamii, kisiasa na uchumi katika msingi wa 4Rs, alizoanzisha Reconciliation, Resilience, Reform and Rebuild...

hata hivyo kwa wale wapinzani wachache walojaribu kujitutumua nao sijui wamepotelea wapi, baada ya kila attempt wanayojaribu kuitumia kuinfluence wananchi inakosa impact kabisa, dhidi ya nguvu, upendo, ushawishi na umaarufu wa Dr Samia Suluhu Hassan mioyoni mwa wananchi ..

hii ina maanisha kwamba wananchi nao kwa umoja na mshikamano wao, wamekubali na kuridhishwa na kiongozi huyu, na hatua madhubuti ambazo Dr. Samia Suluhu Hassan, rais anazochukua katika kupanga na kutatua changamoto zao kijamii, kisiasa na kiuchumi ..

waTanzania wanampenda, wanamuamini, wanamkubali na wanamuelewa sana Dr Samia Suluhu Hassan na mipango yake yenye kuleta ahueni na matumaini kwa waliokata tamaa.

wamekosa kabisa sasa vya kupinga. mihemko, hasira na ghadabu zao kwa Dr.Samia Suluhu Hassan zimekua hazina tija na wala haziathiri wala kudhoofisha chochote katika jitihada zake za kuwaletea wananchi maendeleo..

Je, kwa hali hiyo,
unashauri wapinzani wajikite zaidi na uchaguzi wa 2030 au wakomae na huu ujao mwakani, ilimradi bora liende kanyaga twende kukamilisha ratiba na katiba tu?🐒
Akili, yako haina akili, hata Adolf Hitler alikuwa na wapenzi, wengi,lakini dikiteta, hv unaweza kusimama mbele ya wanaume ukasema, Rwanda ya Kagame kuna demokrasia, na wananchi wanampemda, na ukashimdwa kushangaa akishinda kwa "kishindo" 90.999%? Samia ni worst president ever happened to this country kama ilivyokuwa kwa Mwinyi
 
tuliza mihemko kidogo bas ndugu muerevu 🤣

zilizobaki baada ya hilo 90% ni za wenye mihemko amboa wepanga kuharibu kura kwa makusudi kabisaa 🐒

by the way,
namzungumzia Dr.Samia Suluhu Hassan anaweza kupata mpaka zaidi ya 90% endapo atagombea urais, kulingana na hali halisi ya siasa za Tanzania ilivyo kadiri ya muda unavyo kwenda 🐒
 
Nimekwambia wala Uskonde
mie siwezi konda wala kunenepa kwasababu yoyote ile..

ispokua nitasema kweli daima kila wakati nitakapoona inafaa kulingana na hali halisi ya kisiasa inavyokwenda 🐒
 
Tumia zawadi ya AKILI aliyokupa Mungu, yaani unaposti vitu utadhani mtu mwenye "MBOJI" kichwani!!
Ni kichekesho Cha kebehi kwa ajili ya wazo lako ambalo hata mtoto wa chekechea aweza kucheka
mbona hucheki sasa kama ni kichekesho 🤣

badala yake mihemko, ghadhab, hasira na wivu tu vimekujaa 🐒

tuliza ball, ndio ukweli ulivyo, ni mgumu halafu mchungu 🐒

ukikosa fikra mbadala dhidi ya hoja iliyoko mezani, mihemko haibadili chochote dhidi ya ukweli kwamba upinzan umegonga mwamba kwa kila kitu dhidi azma ya Dr Samia Suluhu Hassan kuwaletea watanzania Maendeleo 🐒
 
Hamna ukweli, NJAA zenu ndio zinawafanya mnatia UFAHAMU mfukoni kwa muda, ili kumpaka chokaa punda awe pundamilia.

Ukweli wa Moyo unajua, hana kibali, anauza kwa Mnada wa wazi rasilimali, anachekea mafisadi na WEZI waliotajwa report ya CAG, kifupi hana sifa ya kuendelea kwenye taasisi ya Urais.

Ila nyie CHAWA ndo mnataka kumponza
Jaribu kupokea ukweli mchungu.
 
Wewe wasema....amelaaniwa kuliko wanawake wote na abdul mzawa wa tumbo lake kalaaniwa tokea sasa vizazi vyote watamwita mlaaniwa
Ama Laana Hii irudie kwako mleta maneno haya.
Hatuwalaanigi Viongozi wa Nchi.
Kwani ikiwasibu Laana ,na sisi wananchi hatuna salama.
Mungu awarehemu na awape Huruma na Upendo kwa raia zao.
Amin
na Hii laana Akugeuzie mwenyewe.
Amin
 
dua la kuku sio , huwa halimpatagi mwewe 🤣

hata hivyo hiyo si kitu dhidi ya ukweli kwamba upinzani nchini umegonga mwamba kwa kila kitu dhidi ya mipango mikakati ya Dr Samia Suluhu Hassan kuwaletea maendeleo waTanzania 🐒
Upinzani sawa umegonga mwanba kwa sababu upinzani umejaa upumbavu ila kuna UZALENDO KAMWE HAUWEZI KUGONGA MWAMBA
 
Ama Laana Hii irudie kwako mleta maneno haya.
Hatuwalaanigi Viongozi wa Nchi.
Kwani ikiwasibu Laana ,na sisi wananchi hatuna salama.
Mungu awarehemu na awape Huruma na Upendo kwa raia zao.
Amin
na Hii laana Akugeuzie mwenyewe.
Amin
👆RAIA FEKI MNAJIDANGANYA SANA
 
Back
Top Bottom