Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
ccm leteni na postaz za wagombea wenu wa nafas za urais bc [emoji23][emoji23]
Huko ccm Ni vumbi kabisa mkuuChanga la macho!
Aligombea ndo maana akaukwaa tena uenyekiti wa chadema..ninyi magufuri aligombea na Nani?
CHADEMA wanatia huruma Sana amna mtu anamda nao kwa kweli.[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Haahaa na jpm azungumze zote tulinganishe.utasikia ....Tulia b mdashi dawa ikuingie huyo n the Greatest anazungumza lugha zote kiufasaha kabsa bla shida yoyote
Binuka nikushughulikie hadi uache mchezo wa kubinya pua.Tulia b mdashi dawa ikuingie...
Jifunze kuandika vzr mkuu...alaf huko ccm ndo mnaonekana eti ni wasomi...duuuh [emoji23][emoji23]CHADEMA wanatia huruma Sana amna mtu anamda nao kwa kweli.
Kumbe dawa imekuingia eee, sasa Mambo ya mbinuko yanatoka wp mkuu...lkn wee si mgonjwa mtambuka??? Tulia bc mkuu au binua vzr dawa ikuingie mgonjwa gn unakuwa mbishi hivyo ??[emoji23][emoji23][emoji23]A
Binuka nikushughulikie hadi uache mchezo wa kubinya pua.
Mkuu wa miujiza ni MUNGU PEKEE,
kama shetani aliweza fanya miujiza 2015, Mungu nae hachelewi wala hawahi
Zuga ipi tena mkuu...unaweza kuzuga kwenye urais?Kumbe kupaza sauti kunafaa .
Baada ya uimula kwenye kutafuta mwenyekiti taifa na mpasuko sasa cdm imekuja na njia atleast za kiungwana japo ni zuga tu wanapiga kampeni wakijua hawahusiki . Hapo kongole
Wewe uchunguza namna na mpambano ndani, utanipa mrejesho mkuuZuga ipi tena mkuu...unaweza kuzuga kwenye urais?
Kwahiyo wanasindikiza nan??Wewe uchunguza namna na mpambano ndani, utanipa mrejesho mkuu
Nahisi rais wa Twiter, Fb na instaKwahiyo wanasindikiza nan??
View attachment 1471045
View attachment 1471046
Hakika Chadema ni chama cha kupigiwa mfano , unaambiwa kila kambi imejipanga vilivyo hasa , Kambi ya Mh Msigwa ambaye ni Mwenyekiti wa Kanda yangu ya Nyasa inapepetana vikali sana na kambi ya Mh Tundu Lissu , ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa
Tayari kampeni nzito imeanza , bali zinaendeshwa kistaarabu na kwa amani kubwa sana ! Nawahakikishia Wanachadema na Watanzania wote kwamba kwenye kampeni za Chadema hakuna atakayetekwa , kutishwa ama kupotea .
Mungu ibariki Chadema .7
A
Binuka nikushughulikie hadi uache mchezo wa kubinya pua.
Kumbe dawa imekuingia eee, sasa Mambo ya mbinuko yanatoka wp mkuu...lkn wee si mgonjwa mtambuka??? Tulia bc mkuu au binua vzr dawa ikuingie mgonjwa gn unakuwa mbishi hivyo ??[emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo liko wapi?We nguchiro tu na utabaki hvyohvyo
Kweli wee mgonjwa mbinuko [emoji23][emoji23]