James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,529
- 16,291
Mkuu the boss,Kuna siku Rais atakuwa muislam na yeye wampe ukimyaa huu huu
mzee wa upako akisema rais aongezewe miaka 100 inakua hajachanganya dini na siasaMkuu usichanganye siasa na dini tafadhali sana msituharibie nchi
Wananchi wa Tanzania wana dini lakini Nchi haina dini tuwe makini katika hili tusije kuingia matatizoni
Jeshi lipi hilo?Magufuli hana ubavu wa kujiongezea muda akitaka kuona nguvu ya jeshi(JWTZ) na mataifa kama Marekani aje ajaribu atabinywa kende mwaka mmoja tu anakimbia Ikulu au anapinduliwa.
Ni vigumu sana kuirudisha nchi ambayo ishaonja mfumo wa democrasia kwenye utawala wa kidicteta wao waendelee tu kumdanganya ila atambue Jeshi halihongwi hata siku moja ukiwapa pesa ndio wanataka zaidi na zaidi tena kwa masharti.
Wanaotegemea jeshi litawasaliti wananchi polen sana, Msimdanganye mwenzenu watu wakaja kumuokota kwenye mtaro siku moja.
Wewe msukuma naona umeleta usukuma wako. Kubwa zima hovyooo...Wanabodi hili ni bandiko la 2015
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Wanabodi, kwanza angalieni tarehe ya bandiko hili, kisha angalia hoja No. 4, 5, 6, 7 na 8 za bandiko hili, kisha sikiliza kilichozungumzwa jana Bungeni Dodoma kuhusu hoja hii.
No sio urais wa maisha bali ni urais wa kipindi cha kutosha angalau vipindi viwili vya miaka 10.
P
Mufti vipi anapiga kelele au naye kimyaAwamu hii Maaskofu wapo kimya kama hawapo!
Umeona mkuu!! N wabaguzi wanajali tu maslah yko tofauti na KKKTMimi ni mkatoliki ila viongozi wetu ni wabaguzi sana angekua mwislamu tungekoma
Kanisa Katoloki na Bakwata ni damu damu na CCM.Mkuu usichanganye siasa na dini tafadhali sana msituharibie nchi
Wananchi wa Tanzania wana dini lakini Nchi haina dini tuwe makini katika hili tusije kuingia matatizoni
Hii mbio mbio (speed) ya kulituhumu balaza la maaskofu inadhihilisha kwa watu makini kuwa umdini (unatazama mambo kwa jicho la udini)Inaonekana nchi hii Rais akiwa muislam.
Basi kutwa tunapatiwa waraka wa Uongozi Bora unaoheshimu katiba kutoka
Kwa Viongozi WA kanisa katoliki
Na Baraza la maaskofu.
Wenye kumbukumbu wote mnakumbuka jinsi hata tetesi zikitokea wakati wa Kikwete ..haraka Sana taasisi hizo zinatoa matamshi makali kukemea na hata kutishia hali ya amani kutoweka huko mbele iwapo
Katiba haitaheshimiwa.
Sasa leo Spika wa Bunge kazungumza bungeni kabisa kuwa mpango wa kubadili katiba tuwe na Rais wa maisha unakuja..
Hapa najiuliza na hili wenzetu mtalikalia kimyaa? Na hili Baraza la Maaskofu na kanisa katoliki ni sahihi kwenu?
Hivi ikitokea katiba ikabadilishwa na mtu.
Wenu Mungu akamchukua na akarithiwa na muislam ... mtaendelea kukaa kimyaa na urais wa maisha? Au nyinyi nyote mtaaamka na kuanza kudai haki za kiraia na demokrasia pana na kila aina ya haki mtazikumbuka?
Msisahau nyinyi mna mipango yenu na Mungu ana mipango yake..msije..geuka huko mbele
Bunge ambalo ni taasisi ya kisiasa kikazi na kimuundo linaanza vikao kwa dua. Hatujasikia Wabunge wakisali kimoyo moyo peke yao!Hii nchi salama yake ni uoga walionao wananchi, dini ikitumika kusifia serikali na kufumbua macho uovu sio siasa. Lakini dini ikikemea uovu ni kuchanganya dini na siasa.
If and Only If hamtawahujumu...kama nyakati za uongozi wa Kikwete na MwinyiKuna siku Rais atakuwa muislam na yeye wampe ukimyaa huu huu
Kitendo cha mtoa mada kukimbilia kulaumu balaza la maaskofu na si wengineo, kwa mtu mwerevu kinaonesha jinsi gani udini na chuki yake kwa maaskofu ilivyo mkaa na kumjaa kifuaniSisi wananchi tumechukua hatua zipi kukemea hayo matamko ya kishenzi ?
Tuache ujinga wa kusubiri kusemewa semewa na watu wengine.
Tujifunze kupambania haki zetu
Watakaaje kimya wakati mnawachomea makanisa, mnawatupia mabomu, mnawaulia padri?Wao Rais akiwa muislam mbona hawakai kimyaa?
Labda mkibadilika ila kama mkianza hujuma (kuchoma makanisa, kuwatukania imani yao, kuwatupia mabomu, vurugu za kuchinja, vurugu za mabucha ya nguluwe) hawatakaa kimyaWewe utakuwa askofu wa katoliki..
Atakuja muislam tutawakumbusha unafiki wenu
Mjinga huyo, na mdini mkubwa ova!Unafiki ni mwingi sana utakuta wakati JK yupo wengi humu walikuwa wanafurahia na sasa upepo umegeuka hao hao wanawaponda maaskofu
Tuache unafiki na ifike mahali dini zisiingizwe kwenye siasa ila mpiganie maslahi ya Taifa kwa ujumla bila kujali wewe ni dini gani
πππππmasanamu yenye tabasamu
Katiba inabadilishwa na wananchi na sio mtu, the majority wakiamua hakuna wa kuzuia na hiyo ndo demokrasia wala sio udikteta.Magufuli hana ubavu wa kujiongezea muda akitaka kuona nguvu ya jeshi(JWTZ) na mataifa kama Marekani aje ajaribu atabinywa kende mwaka mmoja tu anakimbia Ikulu au anapinduliwa.
Ni vigumu sana kuirudisha nchi ambayo ishaonja mfumo wa democrasia kwenye utawala wa kidicteta wao waendelee tu kumdanganya ila atambue Jeshi halihongwi hata siku moja ukiwapa pesa ndio wanataka zaidi na zaidi tena kwa masharti.
Wanaotegemea jeshi litawasaliti wananchi polen sana, Msimdanganye mwenzenu watu wakaja kumuokota kwenye mtaro siku moja.
Inaonekana nchi hii Rais akiwa muislam.