Urusi huenda imebakia na nguvu ya mashambulizi kutoka angani tu, ardhini pumzi imekata?

Leo hii imekuwa kuondoa laboratories?
 
Wanazi wa Urusi bado hamjakoma kututajia masilaha yenu ya kwenye karatasi lakini vitani si chochote wala lolote
 
NATO AKIINGIA UNIJULISHE MKUU.... LAKINI ATAKUA KISHAPOTEZA POINT, HAIWEZEKANI ATOE AHADI, THEN ASHINDWE KUSIMAMIA ALICHOKIAHIDI KWA ZELENSKY.
Right Zelensky angejua wataishia kutoa sanction, asingeufanya moyo wake kuwa mgumu.
 
HAHAHA SEMA KWA SAUTI KUBWA MKUU... HIYO CHANZO GANI UMETOA MKUU UINGEREZA SIO MWANACHAMA WA NATO?
 
Una mashairi mazuri ya taarabu..uki ungana na mzee yusuph na hakika taarabu ita tamalaki tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanazi wa Urusi bado hamjakoma kututajia masilaha yenu ya kwenye karatasi lakini vitani si chochote wala lolote
Urusi imeanza vita lini?
Urusi inafanya operation tu, ka operation kadogo.

Vita ikianza pili pili ya mwendokasi utainunua 500 na upo Tanzania.
 
Sifa anazopewa urusi ni tofauti na uhalisia. Hata kama ukraine anasaidiwa na NATO bado urusi alitakiwa atuaminishe nguvu alizo nazo.
Putin is extremely overrated!
Basi tuna maoni tofauti, mi naona nguvu ya US na Nato ni kwene hollywood, na kuwapiga wavaa kanzu huko jangwani.

Back up yote ya Nato wanashindwa kumtoa Russia Ukraine?😂😂
 
Urusi wapo vizuri tuu, shida ni Ukraini wanajeshi kujichanganya na Raia, inaleta shida kwa Urusi kufanya upembuzi yakinifu kwa vita ya aridhini. Ndio maana Urusi ameona isiwe tabu ngoja atokee angani sasa.

Kati ya angan na ardhini wap unaweza chambua jeshi ndan ya raia??
 
Basi tuna maoni tofauti, mi naona nguvu ya US na Nato ni kwene hollywood, na kuwapiga wavaa kanzu huko jangwani.

Back up yote ya Nato wanashindwa kumtoa Russia Ukraine?[emoji23][emoji23]
Ukitaka kujua nguvu ya US jiulize kwann Kila mara US ndio anawawekea vikwazo wenzake na yy ni nadra kusikia amewekewa vikwazo na nchi nyingine.
 
We unapiga story gani, hebu kasome, Iran imewekewa vikwazo na walipigana na Iraq miaka 8, Iraq ikipewa kila aina ya msaada, USSR, US, EU zote zilimsapoti Sadam, ikafikia wakati wakaona hawa kuwamaliza ni kuwapiga sumu, na hapo vita ikasimama, lakini mshindi hakuwepo.

Vikwazo kwa nchi kama Russia haviwezi kufanya kazi, US hana uwezo wa kuipa Russia vikwazo, kuipa vikwazo Russia ni kuipa vikwazo EU.

Ngoja uone kama EU hawajamgeuka US siku za usoni kuhusu gas.

US penyewe maisha yamepanda mpaka watu wanavuka mpaka kwenda kununua mafuta Mexico.

Kuna nchi gani ilishawahi kuitingisha US hivyo kiuchumi?

We unacheza..
 
Ukitaka kujua nguvu ya US jiulize kwann Kila mara US ndio anawawekea vikwazo wenzake na yy ni nadra kusikia wamewekewa vikwazo na nchi nyingine.
US anashinikiza na analazimisha nchi washirika kwa kuwapa wengine vikwazo.

Alipopagusa hivi sasa hapawezi, amegusa kwenye maslahi binafsi ya EU.
 
Hakuna kikwazo cha maana hata kimoja alichopewa Iran, as long as Iran anafanya Biashara na dunia hana kikwazo cha maana, taifa lipigwe pini lisifanye Biashara na mtu uone , hata Venezuela sio kwamba walipigwa vikwazo moja kwa moja, walikua navyo mda tu wanadunda, ilivyofika 2019 kila kitu kikwapiga pin, hawakumaliza mwaka , yani miez 12 ilitosha kuwatoa kama taifa tajiri America ya kusin hadi taifa masikini zaid

Venezuela hata toilet paper wanakaa folen kupata

Hakuna taifa lolote lenye uwezo wa ku pona vikwako , halipo , wakikupiga pini unakwenda na maji in blink of an eye
 

Marekani ndio mzalishaji wa mafuta na gesi duniani, mafuta yamepanda ila siyo kwa rate ambayo wanakimbilia Mexico kununua
Russia ata athiri EU tena east
Unaposema vikwazo havina impact kwa russia wakati tunaona mabenki yote ya kirusi hayafanyi kazi nje ya Russia
Na juzi kati hapa rusia iliwaomba iwauzie india mafuta kwa bei ya chini na bado india inaogopa kununua mafuta yenye vikwazo vya west
Kilasiku benki ya russia ina haha kutafuta njia za kupunguza makali ya vikwazo kuwawekea wateja wao viwango vya fedha wanazoeza kuchukua
Alaf ww unasema hivyo vikwazo havina maana kwa Russia
 
Nimeshakuambia US haina uwezo wa kuiwekea vikwazo Russia mkuu, haina huo uwezo, Russia ni super power, nimekuambia US haina uwezo huo.

Russia imesema pasipo ruble hupati gas, hio ni kauli ya kibabe na ya kujiamini, nchi kama Germany, France n.k zimelalamika juu ya uamuzi huo, hebu fikiria washirika wa US wanalalama wamepigwa vikwazo.

US haina uwezo wa kuiamrisha EU isinunue gas Russia, licha ya choko choko zote hutosikia hiko kitu.
 
Kumbe na wazungu matajili nao huwa wanapeleka laptop kwa fundi kama siye makapuku?😄😄
Ndiyo.
Lengo linaweza kuwa ni kuokoa taarifa(data) au nyaraka muhimu toka kwenye hiyo laptop.
Watu wa service wenyewe wanakuwa makampuni makubwa au freelancer ambao ni very expert kwenye hizo kazi.
Siyo kama jamaa zetu wa uchochoroni kariakoo.
Unfortunately jamaa alisahau hakuna kitu inapotea jumla kwenye mambo ya ICT. Once ukitengeneza data na kuitunza kwenye kifaa cha kielectroniki ujue bado kipo sehemu, ipo siku kinaweza kuibuka tena mikononi mwa adui zako.

Tuwe makini sana na maandishi(emails, chats, sms), mapicha, sauti, video za faragha au za matukio ya siri kubwa au faragha.

Ile permanent deletion ni illusion tu kwenye macho yetu huwa bado zina baki trails au foootprints kwenye device zetu watu wana recover au reconstruct upya hizo data.
Vipande vilivyopotea kabisa wanajazia na teknolojia za kisasa.

Kwani hizi data si zipo ktk mfumo wa nishati(energy) ya sumaku au umeme? Ukikumbuka Energy can neither created nor destroyed utaziogopa sana data.
 
Kwani vikwazo ni nini zaidi za sikuzii kitu na pia sinunui kitu chako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…