Urusi kupeleka majeshi yake na silaha nzito nchini Cuba na Venezuela kama Marekani itaendelea na kujiingiza Ukraine

Bongo

Malekani anachokoza ugonvi kwasababu anategemea NATO. Hakuna vita aliyokwenda peke yake
Taratibu mkuu. NATO ni chombo cha Marekani na sio vinginevyo. Nchi za Ulaya hawana uwezo wa kujilinda wenyewe, ndio maana wanamtegemea Mnyamwezi.
 
Urusi hupewa mpaka sifa za uongo, ila ushindi katika vita vyote vya dunia, yani WWI na WW2 vilitegemea kwa kiasi kikubwa mchango wa US.
Hitler alijiua baada ya kusikia wa-soviet wamemuua Mussolin na mke wake, wako njiani kumfuata.
 
Ngoja na wewe nikujibu kitoto kama ulivyonijibu.
Marekani ili kwenda anga za mbali hutumia vyombo vyenye injini zilizotengenezwa urusi.
 
Manara hawezi kupambana na Mo ata km manara anawatu na anajua kuonge ila ukwel ni kwamba Mo dewj atabaki kua Mo na pesa ndo Nguvu
Mo =USA
Tufanye uko sawa kwa mfano wako wa MO dhidi ya Manara.
Sasa hebu fikiria,nchi moja tu kuidhibiti zinaungana nchi nyingi
Yaani USA,+ European countries= NATO dhidi ya nchi moja tu.ambayo wewe umefananisha na Mo dhidi ya manara.
Sasa jiulize USA+NATO dhidi ya mbabe Urusi ndo ulete huo mfano wako.
Kama una akili timamu nadhani utaona hali halisi.
 
Kwann hataki Ukraine aijiunge NATO na wakati Ukraine ni nchi huru na inamamuzi yake.
Uko tayari watu wakueleweshe sababu kwa Nini Urusi hataki Ukraine ajiunge na NATO?

Labda kabla ya kwenda mbele unafikiri ni kwa Nini USA hataki na hakutaka Turkey anunue S400 ya Urusi?Na hataki nchi nyingine zinunue,na ametishia kuziwekea vikwazo kama zikiinunua? Wakati nazo ni nchi huru?
Ama unadhani ni kwa Nini 1962 USA alizozana na Urusi ilipopeleka silaha zake CUba?
 
Utapata tabu Sana kumuelewesha huyu.
Urusi anaeneo kubwa kigiographia kuliko nchi yoyote.Yaani ni nchi kubwa Sana kijiographia yaani marekani karibu mara 2 ndo unapata urusi Kwa hiyo sidhani kama urusi anataka eti kuvamia Ukraine ili kuongeza eneo lake ni kwamba USA anataka Ukraine ajiunge NATO ili USA waweke makombora yao Ukraine ili kuizunguka Urusi.acha tuishie hapo Tu.
 
Nikutajie vikundi vioivyoioiga Marekani?
Marekani ilipigwa na kikundi kilichikua kinaongozwa na Mohamed Farah Aidiid.
Marekani ilikimbia Afghanistan dhidi ya kikundi Cha Taleban.
Marekani ilichapwa na wanamgambo wa Fidel Castro wa Cuba.

Marekani waliondoka Syria baada ya kufurumushwa na Urusi.

Marekani aliapa kuipiga Korea kaskazini akitegemea msaada wa NATO.Nato walipokataa kutoa ushiriakiano akala Kona.
 
Chanzo Cha habari yako plz....
 
Sawa kabisa mkuu
 
Acha story za kwenye kahawa.... USA kashindwa wapi Syria? Yupo Syria na juz kamuua kiongozi wa isil au wewe uko dunia nyingine?
 
Unafahamu kuwa Marekani yupo Syria tena anamiliki visima vya mafuta vya Syria sasa inakuwaje Mrusi ashindwe kumtoa Marekani Syria kwenye hayo maeneo ya visima vya mafuta?
Waambie hao na story zao za kwenye kahawa...
 
Acha story za kwenye kahawa.... USA kashindwa wapi Syria? Yupo Syria na juz kamuua kiongozi wa isil au wewe uko dunia nyingine?
Mbona wameshindwa kumtoa Rais?hao ISIS Marekani anawaua wahuni wao wenyewe.unafikiri hao ISIS wametengenezwa na Nani.Marekani si walikuwa wanawasapoti waasi ambao walikuwa wanataka kuiondoa serikali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…