Urusi ni nchi ya kijamaa? Mbona ina vyama vingi (Multipartism) tofauti na China??

Mfumo wa vyama vingi sio wa kibepari. Mfumo huo upo ktk mataifa mengi tu. Na ujamaa pia haumaanishi udikteta.
 
Nchi zote zilizokuwa za kijamaa Sasa hivi Zina element pia za kibepari, hakuna nchi ya zamani ya kijamaa ambayo ni socialist state 100% lazima ukute capitalist element
 
Gorbachev
 
Haujajibu swali langu hata moja. Ujamaa na extrajudicial killings ni kitu kimoja. Tazama East German, Cuba, Romania, USSR and the likes.

Ujamaa ni kuminya uhuru wa watu kuelezea fikra zao.
But tofautisha ujamaa na Udikteta:Hitler alikua adui namba moja wa ujamaa, but kaua watu wengi sana, Mobutu hakuwa mjamaa, Idd Amin hakuwa mjamaa.
Ujamaa ni mzuri but ni uongo unaenda kinyume na hulka za wanadamu, ushindani, ubinafsi etc..Ubepari ni mbaya zaidi but unafit 100% kwenye asili ya wanadamu - so tunaenda na ubepari
 
Good
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…