Doooh, wanaharibu mafuta yao tena!!!Urusi yaanza haribu maghala ya mafuta ili kuzuia Wagner wasipate mafuta yatayowezesha wao kufika Moscow
Sawa kamanda wa urusiNdani ya masaa 24 kila kitu kitakwisha na Russia itaendelea kuchukua maeneo Ukraine.
Anaingiaje Rostov wakati ishazungukwa?Chechen leader says his forces are ready to help put down Wagner mutiny
Russia haijawahi kuwa super power nilishasema hilo na niliwahi kutoa ufafanuzi
Supa-pawa wa mchongo kashindwa kudhibiti hadi mamluki wake ?......huyu ndio wakupambana na NATO ?...kichekesho hiki..πππHawa jamaa Wagner wanasonga mbele balaa.
Msafara wa Wagner umefika jimbo la tatu la Lipetsk baada ya kuyateka majimbo ya Rostov na Voronezh View attachment 2667348
Amesema hivyo wewe kama unapinga sawa una uhuru wa kutoa maoniAnaingiaje Rostov wakati ishazungukwa?
Rostov ni Makao ya Jeshi makubwa na iko mpakani na Ukraine, wao watapitia wapi kuingia Rostov?
Silaha watapata wapi wakati Rostov ndo kitovu cha kusambaza silaha?
Wamkamate Prigozhin ndio waimalize....ila hii ni kiashiria kuwa mambo huko Moscow yameharibika...Russia haijawahi kuwa super power nilishasema hilo na niliwahi kutoa ufafanuzi
Hii issue ya Wagner Urusi ataimaliza tu
Kabisa mkuu....huenda hii Vita ikawa mwisho wa zama za Mzee Putin.Kuna kitu hapa!
Huenda ndani ya Rusia Putin ana upinzani mkubwa sana kuhusu hii vita!
Pia huenda Rusia unapoteza pakubwa sana kwenye hii vita.
.
Kutokana na hayo mawili hapo juu, makamanda wa Urusi hawataki kabisa hii vita so wameona bora wamwage mboga na ugali kwa pamoja kutokana na kiburi cha Putin.
Kinyonge sanaRussia haijawahi kuwa super power nilishasema hilo na niliwahi kutoa ufafanuzi
Hii issue ya Wagner Urusi ataimaliza tu
Chenchya ni state within Russian Federation.Anaingiaje Rostov wakati ishazungukwa?
Rostov ni Makao ya Jeshi makubwa na iko mpakani na Ukraine, wao watapitia wapi kuingia Rostov?
Silaha watapata wapi wakati Rostov ndo kitovu cha kusambaza silaha?
Zinduka akili mkuutujadili.bandari.yetu
prigo hafikishi kesho MTU fani yake mpishi atapambana.na.jasusi
Ndo nakwambia mark my wordsKinyonge sana
Duh!...yaani Supa-pawa anapigwa na kampuni iliyosajili wafungwa ?..ππMapigano kati ya Wanajeshi wa Urusi na wapiganaji wa Wagner yameripotiwa katika barabara kuu (M2 Hiway) inayoelekea Moscow kutoka mji wa Rostov. Wanajeshi wa Urusi wametimua mbio na kuacha nyuma misururu ya silaha zao. View attachment 2667338