Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

IMG_20230624_144350.jpg

Mtu anakwambia Russia kuna machufuko na Mapigano......
Hao ni wagner na watu wanaendelea kuenjoy as Usual.
 
Kuna kitu hapa!

Huenda ndani ya Rusia Putin ana upinzani mkubwa sana kuhusu hii vita!

Pia huenda Rusia unapoteza pakubwa sana kwenye hii vita.
.
Kutokana na hayo mawili hapo juu, makamanda wa Urusi hawataki kabisa hii vita so wameona bora wamwage mboga na ugali kwa pamoja kutokana na kiburi cha Putin.
 
Kabisa mkuu....huenda hii Vita ikawa mwisho wa zama za Mzee Putin.

Jamaa alikurupuka kuingia vitani.
T14 Armata Kichuguu
 
Anaingiaje Rostov wakati ishazungukwa?

Rostov ni Makao ya Jeshi makubwa na iko mpakani na Ukraine, wao watapitia wapi kuingia Rostov?

Silaha watapata wapi wakati Rostov ndo kitovu cha kusambaza silaha?
Chenchya ni state within Russian Federation.
With different equipments and gears.
Huoni huwa na silaha nzuri na za kisasa ukilinganiaha na Normal russian servicemen.
 
Back
Top Bottom