Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cowards , Huyu si ndio alikuwa anaropka topoka huyu ,sasa anawakimbia migambo na wafungwa walipewa bunduki aka wagner , halafu hilo jeshi la urusi linalopaswa na migambo ndio lije kupambana na NATO ?Ndege iliyombeba raia wa Beralus Lukashenko imewasili nchini Uturuki. Lukashenko anahofia usalama wake mara baada ya wapiganaji wa Wagner wakiripotiwa kuelekea Moscow. View attachment 2667305
Sio wanajeshi wa kawaida.....Sidhani kama hao Chechen wataweza kuwazuia
Mkuu ukrsto umezaliwa ndani ya uyahudi kama dini mwenza na uislamu umekopi toka kwa wayahuudi na ukristo sababu hizo dini zilitangulia kabla ya uislamu au hujui mkuu...Wanaowachukia jews ni waarabu na waislamu au nadanganya.Unaweza ukasoma wewe pia sio lazima mimi.
Unaweka dini mbele ( ukidhani mie ni muislam ).
Usilolijua mie ni mkristo wa kuzaliwa na wa Ubatizo.
Jews hawahusiani chochote na wakristo, wanafana na waislam kuliko hata wakristo.
So, usiparamie mambo kwa Mlengo wa kidini ( ulizoletewa ).
Nimeona hiyo clipPunguza matango pori mkuu! Rostov mchana kweupe muda huu!
Mimi nawachukia wayahudi na ni mkristo.....Mkuu ukrsto umezaliwa ndani ya uyahudi na huwezi kutenganisha hilo...Wanaiwachukia jews ni waarabu na waislamu au nadanganya.
Mjinga wewe,Baba yako,Mama yako na ukoo wako mzima! Ushabiki mandazi wako kwa Russia unadhani kila mtu ni kama wewe! Mshenzi mweusi kabisa wewe,Nyani asiyetahiliwa wewe! Kama unaona Bwana wako Putin ni mali sana jenga hoja,matako ya bibi yakoMnachekesha mpaka mnakera sasa,tunatamani kukaa kimya tunashindwa
Yaani Putin aokotwe kama Ghadaf? Unazungumzia Russia we mjinga
Mkuu kumbe hujui chochote kuhusu technology ya wayahudi na influence yao duniani,kisiasa na kijeshi.Nenda Lugalo kawatafute special forces officer,s utajuzwa vizuri zaidi mkuuKisiasa? Aje......
Kulikuwa na maandamano juzi tu hapo wakipinga Udictator wa current Regime.
Kijeshi na tech? How....
Any millitary tech waliyogundua ambayo has influenced others?
Akili yako umeipeleka wapi mkuu naona saiv unatumia za Katekista au shemasi.
Nazihitaji akili zako....
Nilidowload telegram,nikaingia kwenye Web ya Wagner,ni kirusi kitupu.Nimedelete Telegram.Msafara wa wapiganaji wa chechen umekwama kuingia katika mji wa Rostov uliopo chini ya Ulinzi wa Wapiganaji wa Wagner.
Mkuu swali langu ulilikwepa,,,you dont trust jew and you hate them.But you embrace arabs and europians and you love them kwa sababu jews are than you in every angle including arabs and europian,s...Sikulaumu umekua brain washed na imani za wahabiUnaweza ukasoma wewe pia sio lazima mimi.
Unaweka dini mbele ( ukidhani mie ni muislam ).
Usilolijua mie ni mkristo wa kuzaliwa na wa Ubatizo.
Jews hawahusiani chochote na wakristo, wanafana na waislam kuliko hata wakristo.
So, usiparamie mambo kwa Mlengo wa kidini ( ulizoletewa ).