Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
[emoji23][emoji23][emoji23]Nasikiliza taarifa ya habri Efm, huyu dada anasema kikosi cha mamluki cha WANGA kimeasi na anarudia mara kama 3 kuhusu hawa WANGA[emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Nasikiliza taarifa ya habri Efm, huyu dada anasema kikosi cha mamluki cha WANGA kimeasi na anarudia mara kama 3 kuhusu hawa WANGA[emoji3][emoji3]
Wameiacha Ukraine?Wapiganaji wa Chechen na magari yao ya kijeshi wamefanikiwa kuingia katika mji wa Rostov uliopo chini ya udhibiti wa wapiganaji wa Wagner PMCView attachment 2667535
Mkuu mpaka wameamua kuchukua uamuzi huo maana yake walishapiga hizo hesabu zote.Pia baridi na chakula ni kikwazo unless biden afanye mazungumzo nao haraka
Sio hao tu nasikia General surkovin na mkuu wa vikosi vya anga wa Urusi wako upande wa prigo(Wagner)Wapiganaji wa Brigade ya anga 217 ya jeshi la Urusi wametangaza kuwa upande wa wapiganaji wa Wagner dhidi ya jeshi la Urusi.
Utakuwa Mkristo hewaMimi nawachukia wayahudi na ni mkristo.....
Mtu yoyote mwenye akili timamu hawazi wapenda wayahudi.
Kweli mkuu???Wapiganaji wa Brigade ya anga 217 ya jeshi la Urusi wametangaza kuwa upande wa wapiganaji wa Wagner dhidi ya jeshi la Urusi.
Tunasubiri mrudishe mji hata mmoja tuPRO RUSSIAN SI MLIKUA MNAWASIFIA WAGNER GROUP????? AU SIO NYINYI????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Supu ya motoWapiganaji wa Brigade ya anga 217 ya jeshi la Urusi wametangaza kuwa upande wa wapiganaji wa Wagner dhidi ya jeshi la Urusi.
Jamaa ustadhi wa mskiti huyo ila anajiita msabatoUtakuwa Mkristo hewa
Mtoto wa mchawi huyo🤣🤣Nasikiliza taarifa ya habri Efm, huyu dada anasema kikosi cha mamluki cha WANGA kimeasi na anarudia mara kama 3 kuhusu hawa WANGA😀😀
"nasikia" 🚮Sio hao tu nasikia General surkovin na mkuu wa vikosi vya anga wa Urusi wako upande wa prigo(Wagner)
Acheni kuvuta bangi vijana mtaharibikiwa akili kabisa sasa ona unavyo andika.ukifatilia vizuri kuna msemo "uwezi kuunda majeshi mawili tofauti ndani ya nchi moja"
Putin ana tofauti na bashiri japo nchi tofauti.
wagner wana nguvu kubwa ambayo wamepata pesa nyingi kupitia sudani na nchi walizopitia na wanaweza kuchukua nchi ya urusi.
putin sasa anajutia kale ka msemo
Hajasema moscow bali amesema rostov mkuuMkuu unajichanganya sana habari zako. Moscow iko chini ya Wagner toka lini?
KK SecurityWadau mlikua mnawasifia sana wagner🤣🤣🤣😂😂 Mbona putn wanamnyima usingizi jana na leo????