Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

ukifatilia vizuri kuna msemo "uwezi kuunda majeshi mawili tofauti ndani ya nchi moja"

Putin ana tofauti na bashiri japo nchi tofauti.

wagner wana nguvu kubwa ambayo wamepata pesa nyingi kupitia sudani na nchi walizopitia na wanaweza kuchukua nchi ya urusi.

putin sasa anajutia kale ka msemo
Acheni kuvuta bangi vijana mtaharibikiwa akili kabisa sasa ona unavyo andika.
 
Democratic huwa ni Tofauti na Republican... republican hushambulia moja kwa moja ila democratic ni wajanja sana .. mpaka ujue wamekushambulia ni too late. RIP Gadafi
 
Back
Top Bottom