Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Ndege iliyombeba raia wa Beralus Lukashenko imewasili nchini Uturuki. Lukashenko anahofia usalama wake mara baada ya wapiganaji wa Wagner wakiripotiwa kuelekea Moscow. View attachment 2667305
Cowards , Huyu si ndio alikuwa anaropka topoka huyu ,sasa anawakimbia migambo na wafungwa walipewa bunduki aka wagner , halafu hilo jeshi la urusi linalopaswa na migambo ndio lije kupambana na NATO ?
 
Mkuu ukrsto umezaliwa ndani ya uyahudi kama dini mwenza na uislamu umekopi toka kwa wayahuudi na ukristo sababu hizo dini zilitangulia kabla ya uislamu au hujui mkuu...Wanaowachukia jews ni waarabu na waislamu au nadanganya.
 
Mnachekesha mpaka mnakera sasa,tunatamani kukaa kimya tunashindwa
Yaani Putin aokotwe kama Ghadaf? Unazungumzia Russia we mjinga
Mjinga wewe,Baba yako,Mama yako na ukoo wako mzima! Ushabiki mandazi wako kwa Russia unadhani kila mtu ni kama wewe! Mshenzi mweusi kabisa wewe,Nyani asiyetahiliwa wewe! Kama unaona Bwana wako Putin ni mali sana jenga hoja,matako ya bibi yako
 
Hayo ni mazoezi ya Kijeshi ya kuteka Mji wa Kyive ama pale Odesa.
Hayo ni mawazo yangu, maana WAGNER ni kikundi cha Rais Putin na kazi wanapangiwa moja kwa moja na Rais na wanalipwa na Rais.
Wewe unafikiri nini?
 
Wanajeshi zaidi ya laki 4 wa Urusi wameweka vizuizi 1800 katika barabara inayoelekea mji wa Moscow. Kila kizuizi kimoja kina wanajeshi zaidi ya 300 wa Urusi ili kuwazuia wapiganaji wa Wagner kufika Moscow.
Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu kumbe hujui chochote kuhusu technology ya wayahudi na influence yao duniani,kisiasa na kijeshi.Nenda Lugalo kawatafute special forces officer,s utajuzwa vizuri zaidi mkuu
 
Katika hali isiyo ya kawaida, jeshi la Urusi limeanza kuharibu barabara zote zinazoelekea mji wa Moscow. Tingatinga zinachimba mashimo makubwa kwenye barabara hizo ili kuzuia vifaru na silaha nzito za Wagner kufika Moscow.
Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu swali langu ulilikwepa,,,you dont trust jew and you hate them.But you embrace arabs and europians and you love them kwa sababu jews are than you in every angle including arabs and europian,s...Sikulaumu umekua brain washed na imani za wahabi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…