Ungeandika kwa herufi kubwa ili akuelewe zaidi.Utakuwa Mkristo hewa
Hii ndio sababu Russia haikuwa inapeleka wanajeshi wengi Ukraine. Hatari kubwa iko ndani kuliko nje, ona sasa hao wanajeshi wanatumika kulinda dhidi ya waasi.Wanajeshi zaidi ya laki 4 wa Urusi wameweka vizuizi 1800 katika barabara inayoelekea mji wa Moscow. Kila kizuizi kimoja kina wanajeshi zaidi ya 300 wa Urusi ili kuwazuia wapiganaji wa Wagner kufika Moscow. View attachment 2667541
Kama Osama tu,Wamarekani walimtengeneza then akawageuka.Huyu nae Putin alimfahamu tokea huko,hadi kaja kuwa Rais ,akawa anampa Madeal.Deal za chakula Kremlin zote alipewa Prigozhin. Then akaanzisha Wagner kwa support ya Putin. Leo anasema Putin ni mla Rushwa.Putin's chef walifikia kumuita
Sijui kwanini mpaka sasa hawawaungi mkono.
Vita vya ndani, ndege na mabomu huwa vina msaada mdogo sana. Ukivitumia sana, utawamaliza wananchi.Kuna watu hawajui PMC hawawezi kusonga mbele maana hawana ndege vita hawana baadhi ya ammunition walizokuwa wanapewa na Jeshi. Hivyo cant fight RF.
Trump anamkimbiza mwizi(Biden) polepoleNOT IN PUBIC DONALD
Mimi kazi yangu kukugongea LIKES tu.Raia zaidi ya 600 wa Urusi wamepanga foreni kwenye vituo vya treni wakitaka kuukimbia mji wa Rostov uliopo chini ya utawala wa Wagner. View attachment 2667557
1. Mpaka hiyo coup itokee na ifanikiwe....Huo muda wa Russia kupigana kumaliza then kuja kuipiga Ukraine wanautoa wapi. Unakumbuka October revolution ya 1917, Russia ilipojitoa WW1 baada ya kupigwa na Bolsheviks walipochukua nchi hawakuendelea na vita tena. Walitumia muda wao kupigana wenyewe kwa wenyewe, kupigana na remnants za serikali iliyopita na kujiimarisha utawala wao.
Muda hauruhusu hao nationalists kupigana na Ukraine. Sababu ikitokea Putin hayupo kutakuwa na pro-Putins, nationalists na Wagners na washirika wao watakaoasi jeshini na usalama. Hapo Ukraine itarudisha maeneo mengi sana, itahitajika nguvu kubwa zaidi kupigana nayo kuliko walivyoanza au wanavyoendelea sasa. Serikali itakayoundwa na kudi lolote kati ya hayo matatu ikitumia nguvu kuingia Ukraine inayaachia makundi mawili mwaya wa kujijenga.
Kawaida ya coups au mutiny hufuatia counter-coups kama msipoelewana. Russia haina watu wenye nguvu na popular, Putin aliwaondoa. So akijitokeza mwenye ushawishi na nguvu akaungwa mkono atakuwa ndio anaanza na moja huo muda wa kuifikiria Ukraine hana.
Russia kuna factions na ubaguzi, mfano huyu Shoigu ndio kabisa hawezi waambia lolote. Mtuva mwenye asili ya Asia kutoka mji wa vichochoroni uko anawaambia Western Russians wa St. Petersburg na Central Russians wa Moscow. Ndio sababu Chechens walianzisha zile vita mbili, ukiwa wa mashambani uko kwenye ngano hakuna anayekuthamini. Shoigu kawekwa pale sababu hawezi ungwa mkono hivyo hawezi fanya mapinduzi.
Waziri Mkuu yule Mishustin kapoa kama uji wa mgonjwa, Kadyrov ni wakuja hawaambii kitu Warusi halisi, Dmitry Medvedev ni pro-Putin ila mnyonge na dhaifu mbele ya vyombo vyote, Dmitry Rogozin ni mwehu fulani anaweza leta chokochoko ila tangu HIMARS zimshambulie kwenye birthday party mwaka jana sijamsikia tena sijui operation aliyofanyiwa ilimuacha hali gani. Hapo juu anabaki mtu mmoja tu, mkuu wa usalama wa taifa ambaye inasemekana ndio alikuwa anaandaliwa kuwa mrithi wa Putin.
Atakayepita hapa itabidi aue vigogo kadhaa (hii itafanyika 100%, that's how Russia exist). Au yeye mwenyewe anaweza uwawa, mfano Prigozhin sio presidential material hata kidogo. Then uhamisho, kustaafisha watumishi muhimu, exiles, asylums, kuvunjika kwa baadhi ya organs za jeshi, polisi na usalama na mengine yatafanyika.
Ikiwa Putin atabaki tutarajie mabadiliko machache ila mauaji mengi na nadhani hatotaka kuendelea muda mrefu atawaachia msala usalama kama ambavyo Godfather wake alivyomuachia.
Hilo ni swali unapaswa kuwauliza wayahudi sio mimi.Mkuu dini za wakrsto zimetokana na dini za wayahudi......Utasemaje uyahudi umefanana na uislamu wakati uislamu umekopi kwa wayahudi na wakrsto....Ila waislamu hasa wenye chuki dhidi ya wayahudi waga wanajitahidi kusema wayahudi hawawapendi wakrsto wakati ukrsto umetokana na uyahudi
We are closely monitoring the situationWAMEKIMBIA SIWAONI HUMU 🤣🤣🤣
ShukraniIntel Slava Z
Intel slava is a Russian News aggregator who covers Conflicts/Geopolitics and urgent news from around the world. For paid promotions and feedback contact us at: @CEOofBelarust.me
Anaehitaji kujua mambo yanayoendelea link hii hapa ya telegram wanajiita intelslava ndio wako Frontline vitani.
Kabisa anasema NATO na US hawamtishi ona sasa anatishika na WagnerPUTIN HATISHIWI NYAU ILA ANATISHIWA NA WAGNER 🤣🤣🤣😊
Alipoona haungwi mkono na jeshi la serikali kama commander in Chief alitakiwa ajiuzulu haraka hata kusingizia sababu za kiafyaWanajeshi wa Urusi walikuwa wanqgoma kwenda kupigana huko Ukrain
Ndio sababu ya Putin kutumia mamluki
Uja specify anataka haki ua nn?Kuhusu leo....?
Ni kwamba Prizoghin andai anataka Justice dhidi ya Ministry of Defence under shoigu and Gerasiminov ( wateule wa Putin).
Has nothing to do with holding cities or Political position ( mpaka sasa anadai hivyo).
V. TTm. MomNo resistance imetokea.....
Then mbona unareport as if ni live coverage?
Rostov ni mchana saiv sio Usiku.
Putin ameiangamiza Russia, hii Vita ya Ukraine imegeuka anguko lake.Wapiganaji wa Wagner waelekea Moscow kuuondoa utawala wa kijeshi unaoongozwa na SERGEI SHOIGRU. Kiongozi wa Wagner anadai kwamba majeshi ya urusi yamekuwa yakishambulia kambi zao nchini UKRAINE.
Huu Uzi nitatoa update ya kila kinachoendelea.
=====
Update: Maafisa wa Ukraine wasema watatumia 'mapinduzi ya kijeshi' nchini Urusi kurejesha eneo lililochukuliwa
Katika tishio moja kwa moja kwa mamlaka ya Putin, Yevgeny Prigozhin, kiongozi wa Wagner, aliishutumu jeshi la Moscow kwa kupiga bomu askari wake na kudhibiti jiji muhimu la Urusi mapema asubuhi.
Kiongozi huyo mwenye msimamo mkali wa jeshi binafsi maarufu zaidi ulimwenguni aliahidi kwenda kwenye mji mkuu kwa kulipiza kisasi.
Katika hotuba isiyokuwa ya kawaida, Bwana Putin alilitaja tukio hilo kuwa "uhaini" na akasema wale wanaounga mkono vitisho na njia za kigaidi watapata adhabu isiyoweza kuepukika.
Rais wa Ukraine, Zelensky, alivunja ukimya na kusema kuwa hii ni mfano mwingine wa "udhaifu kamili wa Urusi".
=====
Mamlaka katika eneo la Lipetsk nchini Urusi waagiza watu kubaki nyumbani
Mamlaka katika eneo la Lipetsk nchini Urusi walitoa wito kwa watu kubaki ndani ya nyumba zao kwa sababu za usalama.
Walitoa onyo hilo kutokana na ripoti kuwa wapiganaji wa Wagner walikuwa wakitumia eneo hilo wakati wa safari yao kuelekea Moscow.
=====
Wagner wateka makao makuu ya jeshi la Urusi ukanda wa Kusini
Gavana wa Voronezh, nchini Urusi alisema Jumamosi kuwa huduma za dharura zilikuwa zikijaribu kuzima tanki la mafuta linalowaka katika kituo cha mafuta.
Zaidi ya askari zimamoto 100 na vifaa 30 vya kuzimia moto walikuwa wakifanyia kazi katika eneo hilo, alisema Gavana Alexander Gusev kupitia Telegram.
Awali Jumamosi, chanzo cha usalama nchini Urusi kiliiambia Reuters kuwa wapiganaji wa Wagner walidhibiti vituo vya kijeshi katika jiji la Voronezh, umbali wa kilomita 500 (maili 310) kusini mwa Moscow. Reuters hawakuweza kuthibitisha madai hayo.
=====
NDEGE YA RAIS YADAIWA KUONDOKA MOSCOW, WAGNER WAKIDAIWA KUKARIBIA MJI
Inadaiwa Wapiganaji wa Wagner wameendelea na mapambano na sasa wamefika katika Mkoa wa #Lipetsk, takriban Kilometa 450 kutoka Moscow
Aidha, inaelezwa kuwa Ndege za Kivita za Urusi zimeshambulia misafara ya Wapiganaji wa #Wagner na tayari Wanajeshi wameshajipanga katika nafasi za kuulinda Mji Mkuu, Moscow
Kiongozi wa Wagner, Yevgeny #Prigozhin amedai kuwa Wapiganaji wake wamepokelewa kama 'Wakombozi' na kuwa waliweza kuchukua Makao Makuu ya Kijeshi huko #Rostov bila mapigano
Katika hatua nyingine, imeelezwa kuwa Ndege ya Rais imeonekana kuondoka #Moscow, hata hivyo Ikulu imedai kuwa Rais #Putin bado yupo katika Mji Mkuu huo
basi wewe umeanza kufuatilia hii issue leo ndo shida yakoWagner is a military force of 25k to 50k max. The Russian military is 1 M+ with an air force. If Putin wants to stop Wagner, he
Nahisi hii kitu imepangwa kwa muda mrefu ,hata ule uvamizi belogrod miezi miwili iliyopita ilikuwa ni kujaribu kupima jinsi gani jeshi la Urusi lilivyo tupu kwenye medaniDoooh, wanaharibu mafuta yao tena!!!
Kazi ipo.
Asipokuelewa mchape kibaoUmeota hivyo? Kila mmoja akileta anachoota hapa JF, si itakuwa vurugu?
Hapa tunajadili hoja au habari. Mleta mada ameleta habari, wewe u aleta ndoto zako. Lipe heshima jukwaa.