Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Narudia tena ni mjinga tu anayeweza kufikiri kwamba hawa jamaa wanauwezo au nia ya kumtoa putin.walikuwa na mambo yao walitaka wasikilizwe na serikali.
 
Kesho asubuhi lazima wanaume watakuwa wameiteka Moscow
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Hivi mnaijua Urusi au mnapeana umbea tu hapa? Mazee Urusi ni Taifa kubwa afu sio wasaliti wa nchi yao.
Hakuna kitu watafanya hao WAGNER. Chechen pekee wanaweza kuwamudu WAGNER afu uwaaingize RAF?
 
Kichekesho hao wagner wanasalimu amri tu usijidanganye ...jeshi ni siraha na tec vyote vipo kwa putini
 
Ni kuzibit mamlaka za ulinz na utawala ndio kuteka

Kama MKOA
RC-down
Kamat ya ulinz na ASKAR wote wameshindw uwezo na kutolewa eneo husika au kushikiliwa.
 
Mshaanza kuhuzunika Mtume wenu Putin (sws) muslim... ila hii ni kawaida yenu hampendi kufa peke yenu lazima msingizie mwingine... vipi myahudi mbona hamjamuorodhesha kisanga hiki? maana Mtume Putin alilipua makbaburi ya wayahudi huko Ukraine
 
[emoji635][emoji779][emoji779]New Prigozhin voice message - "We came within 200km of Moscow without shedding a drop of blood, now there is the possibility of blood being shed, understanding this responsibility we will turn around our convoys and return to our bases"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…