Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Report mpya.
Screenshot_20230624-203355.jpg
 
Endelea kukaza fuvu tu hilo , tangia nilipo ona Putin aka rais wa supapawa ya mabua alioishi kama panya buku ,anajificha kwenye bunkers ,hell anawaogopa hata generals wa Russian forces na ministers wake ,rais gani anaongea na mtu kwa kutotaka hata kumsogelea subordinate wake ? ,mtu anatumia meza ndefu kama uwanja wa mpira kuongea na subordinates wake ,hataki hata kusogeleana nao .
Putin is a fucking coward rat , ndio maana hata ameua watu wengi wasio na hatia walipinga mambo yake ya kipuuz kama udikteta ,rushwa na ufisadi .Wengi kawafilisi ,kawaua kikatili kwa nerve agents na sumu ,wengine wanaosema magerezani kwa kesi za kusingiziwa .
Putin is a moron, a coward ,a looser and war criminal
Days are numbered , basha Putin anachinjwa
Narudia tena ni mjinga tu anayeweza kufikiri kwamba hawa jamaa wanauwezo au nia ya kumtoa putin.walikuwa na mambo yao walitaka wasikilizwe na serikali.
 
Kesho asubuhi lazima wanaume watakuwa wameiteka Moscow
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Hivi mnaijua Urusi au mnapeana umbea tu hapa? Mazee Urusi ni Taifa kubwa afu sio wasaliti wa nchi yao.
Hakuna kitu watafanya hao WAGNER. Chechen pekee wanaweza kuwamudu WAGNER afu uwaaingize RAF?
 
Dume la mbegu hilo ,jogoo dume kiboko cha Jeshi la Urusi

Para Military group lenye mafunzo makali.kuliko jeshi la serikali ya Urusi

Hilo jeshi lina wapiganaji wenye uwezo mkubwa kuliko jeshi la serikali na lilianzishwa kwa lengo moja tu kukabiliana na jeshi la serikali kama litakuja kuasi ili.kipande cha Russia kilichobaki baada ya Soviet Union kusambaratika sababu ya uasi wa jeshi kisije tokea kwenye Russia ya Putin

Sasa wamegeuka jeshi la Russia halina uwezo wa kupambana nao hata asilimia 20

Wagner mafunzo kivita ni.mara mia ya Askari wa serikali wa rank yeyote toka chini hadi juu
Serikali ya Russia muda wowote inapinduliwa na Putin atachinjwa kama kuku wa mdondo ingawa kuna taarifa kuwa kakimbilia Iran taarifa ambazo zijadhibitisha bado kuwa baada ya press Conferenc makomandoo wa chechna na Iran ambao amekuwa akiwatumia kwenye ulinzi binafsi waliondoka naye kwenda Iran kwenye mji.mmojawapo Iran ili Wagner kama wanawinda kichwa chake wasimpate

Kwa maoni yangu siku tatu toka sasa tutajua mbivu na mbichi kama Putin yuko Kremlin au la

Tuvute subira
Kichekesho hao wagner wanasalimu amri tu usijidanganye ...jeshi ni siraha na tec vyote vipo kwa putini
 
Wakuu naomba mnieleweshe wanaposema jeshi limeteka ina maana gani ? Maana mfano wameteka mji wa kasulu na tunafahamu miji inabeba watu hata laki tatu na kuendelea na ni eneo kubwa sana ! Wanaweza kuoccupy eneo zima ? Na utasikia baadae wameenda miji mingine tena!
Ni kuzibit mamlaka za ulinz na utawala ndio kuteka

Kama MKOA
RC-down
Kamat ya ulinz na ASKAR wote wameshindw uwezo na kutolewa eneo husika au kushikiliwa.
 
Huu mpango umesukwa na West na kwa hakika Kuiangusha Russia ni pigo kwa Dunia nzima tutaambiwa tuwr mashoga woote ....naamini West watatumia vizuri ssna huu mtego kuishambulia Urusi vikali sana na hivyo hata jaribio la kumuua Putin litafanywa na ikiwezekana watamuua hapa hapa katika huu mzozo..Sioni kama Putin atanusurika na hili. MASHETANI yanatuumiza kwa kuisambaratisha Urusi..dah hii ni jambo baya sana...
Mshaanza kuhuzunika Mtume wenu Putin (sws) muslim... ila hii ni kawaida yenu hampendi kufa peke yenu lazima msingizie mwingine... vipi myahudi mbona hamjamuorodhesha kisanga hiki? maana Mtume Putin alilipua makbaburi ya wayahudi huko Ukraine
 
[emoji635][emoji779][emoji779]New Prigozhin voice message - "We came within 200km of Moscow without shedding a drop of blood, now there is the possibility of blood being shed, understanding this responsibility we will turn around our convoys and return to our bases"
 
Back
Top Bottom