Hapana. Hata mapinduzi ya nchi yanapofanyika wanateka ikulu, makao makuu ya jeshi na viwanja vya ndege muhimu labda.Ooh kumbe yanakamatwa maeneo muhimu tu !! Nilikua nawaza hiki kitu kwamba wanamwagwa wajeshi mji mzima kila mtu anatembea na mtu mgongoni !!! Asante sana
Na wewe tena uone mkuu 😂, endelea kutuhabarisha mnavyoenda kuchikua nchi vijana wa wagner 😂😂Haya mambo yanachanganya sana, ngoja tuone mwisho wake
Rushwa Urusi ni kubwa sana na ufisadi Mishahara ya wagner imeliwa na mkuu wa jeshi and then mkuu wa jeshi anajikinga kwa raisi... package ya silaha addressed to wagner aliizuia sijui kaiuza chechnia au wapi yaani ufisadi mbele kwa mbele na wivu wanaoneana and Wagner walipotaka kurejea home akawategea mambomu ili wafu wasije dai fedha zao sasa jamaa kaamua mbwai mbwai tuNakosa Cha kuchangia.
Ila ni uwendawazimu nchi kutumia jeshi la kukodi na kulipeleka vitani.
Bila shaka hao Wagner wamefika Bei kwa NATO.
si,unajua biashara tena zilivyo?!
Anatengenezewa nani?Unakumbuka wale waasi wa mchongo walivyopewa dozi faster, sasa unadhani wanashindwa nini kuwafyeka Wagner ambao data zao zote ziko wazi. Kuna kitu kinatengenezwa hapo. Ndio maana hata US hawakurupukii hizi sanaa za kijana wa Putin Prigo. Hahaha
Kaka una mikurupuko sana, kila siku unaambiwa hapa, URUSI sio kama RWANDA.Imeisha sasa, wanarudi walipo toka
Duh!Prigozhin audio message shocked
"No one will surrender to the demands of the President":
"Regarding the betrayal of the Motherland, the President is deeply mistaken. We’re patriots of our Motherland. We fought and we are fighting, all fighters of PMC Wagner. And no one is going to surrender to the demands of the President, FSB, or anyone else. Because we don’t want the country to live further in corruption lies, and bureaucracy.
When we fought in Africa, we were told that we needed Africa, and then they dumped it, because they stole all the money that was meant to come for help.
When we were told we are fighting with Ukraine, we went and fought. But it turned out that the ammo, weapons, all money put towards this were also being stolen, while officials are sitting and saving them for themselves for an incident that happened today, when someone is going towards Moscow."
Now they are not saving anything, they are striking us with planes and helicopters at the columns with civilians. And they hit civilians because they’re missing. And they hit anywhere they can.
Thus, we are the patriots, but those resisting us today are those who gathered around scumbags.
Audio: t dot me/Prigozhin_hat
Wakikujibu nitagWARUSI WEUSI MNANIANGUSHA KUMBE PUTIN HAPENDEKI NDANI YA URUSI....RIP TARIMO NEMES!!!SI MLISEMA WEST NI UPINDE NA VIPI WAGNER NI UPINDE PIA?????
Pro Nato bana!, kwaiyo sasa umesalimu amli.. Umeona walivyokuchezea akili 🙌😁Imeisha sasa, wanarudi walipo toka
Ukweli ni kwamba wasingefanya chochote kile. Jeshi ni Silaha, silaha zote za WAGNER wanapewa na PUTIN afu uanze kuwatisha? Tumieni akili hizo.BREAKING NEWS
Rais wa Beralus Lukashenko amefanikiwa kumshawishi mkuu wa Wagner kuweka chini silaha na kumaliza tofauti zake na jeshi la Urusi. Wapiganaji wa Wagner wamesitisha kuelekea Moscow.
Kama mimi ni mtoto subiri muda utaongea mimi nakuambieni hao wagner wakitifuana na jeshi la urusi ndiyo mwisho wao watachukua siku 3 tu na waliobaki wote wata jisalimishaMkuu kumbe unaongea kitoto na kishabiki...Mimi nilijua wewe ni mchambuzi mkongwe
Mimi siyo muisiharamuudini na utumbo mpana ndio vinaongoza kucomment hapo
Wasamehe mkuu, shida ujuaji ni mwingi sana humu 😂[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Umeambiwa tangia mwanzo, Urusi ndio Mabingwa wa Propaganda
Hawezi kuwa kremlin mkuuDume la mbegu hilo ,jogoo dume kiboko cha Jeshi la Urusi
Para Military group lenye mafunzo makali.kuliko jeshi la serikali ya Urusi
Hilo jeshi lina wapiganaji wenye uwezo mkubwa kuliko jeshi la serikali na lilianzishwa kwa lengo moja tu kukabiliana na jeshi la serikali kama litakuja kuasi ili.kipande cha Russia kilichobaki baada ya Soviet Union kusambaratika sababu ya uasi wa jeshi kisije tokea kwenye Russia ya Putin
Sasa wamegeuka jeshi la Russia halina uwezo wa kupambana nao hata asilimia 20
Wagner mafunzo kivita ni.mara mia ya Askari wa serikali wa rank yeyote toka chini hadi juu
Serikali ya Russia muda wowote inapinduliwa na Putin atachinjwa kama kuku wa mdondo ingawa kuna taarifa kuwa kakimbilia Iran taarifa ambazo zijadhibitisha bado kuwa baada ya press Conferenc makomandoo wa chechna na Iran ambao amekuwa akiwatumia kwenye ulinzi binafsi waliondoka naye kwenda Iran kwenye mji.mmojawapo Iran ili Wagner kama wanawinda kichwa chake wasimpate
Kwa maoni yangu siku tatu toka sasa tutajua mbivu na mbichi kama Putin yuko Kremlin au la
Tuvute subira
Huyo umbwa achana nae kazi imeisha mkuu prigo mwezi wa nane anaenda kuwazalisha hao kwaoKama mimi ni mtoto subiri muda utaongea mimi nakuambieni hao wagner wakitifuana na jeshi la urusi ndiyo mwisho wao watachukua siku 3 tu na waliobaki wote wata jisalimisha
Mkuu, una uhakika na haya unoongea?Rushwa Urusi ni kubwa sana na ufisadi Mishahara ya wagner imeliwa na mkuu wa jeshi and then mkuu wa jeshi anajikinga kwa raisi... package ya silaha addressed to wagner aliizuia sijui kaiuza chechnia au wapi yaani ufisadi mbele kwa mbele na wivu wanaoneana and Wagner walipotaka kurejea home akawategea mambomu ili wafu wasije dai fedha zao sasa jamaa kaamua mbwai mbwai tu
Hiyo ni faida sana kwa Magharibi,,,,,BREAKING NEWS
Rais wa Beralus Lukashenko amefanikiwa kumshawishi mkuu wa Wagner kuweka chini silaha na kumaliza tofauti zake na jeshi la Urusi. Wapiganaji wa Wagner wamesitisha kuelekea Moscow.
AhahahahHaya mambo yanachanganya sana, ngoja tuone mwisho wake