Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Ooh kumbe yanakamatwa maeneo muhimu tu !! Nilikua nawaza hiki kitu kwamba wanamwagwa wajeshi mji mzima kila mtu anatembea na mtu mgongoni !!! Asante sana
Hapana. Hata mapinduzi ya nchi yanapofanyika wanateka ikulu, makao makuu ya jeshi na viwanja vya ndege muhimu labda.

Hapo ndo utasikia kwamba nchi imepinduliwa. Ukishateka maeneo muhimu maana yake shughuli zote unazi control.
 
Nakosa Cha kuchangia.
Ila ni uwendawazimu nchi kutumia jeshi la kukodi na kulipeleka vitani.

Bila shaka hao Wagner wamefika Bei kwa NATO.

si,unajua biashara tena zilivyo?!
Rushwa Urusi ni kubwa sana na ufisadi Mishahara ya wagner imeliwa na mkuu wa jeshi and then mkuu wa jeshi anajikinga kwa raisi... package ya silaha addressed to wagner aliizuia sijui kaiuza chechnia au wapi yaani ufisadi mbele kwa mbele na wivu wanaoneana and Wagner walipotaka kurejea home akawategea mambomu ili wafu wasije dai fedha zao sasa jamaa kaamua mbwai mbwai tu
 
Prigozhin audio message shocked

"No one will surrender to the demands of the President":

"Regarding the betrayal of the Motherland, the President is deeply mistaken. We’re patriots of our Motherland. We fought and we are fighting, all fighters of PMC Wagner. And no one is going to surrender to the demands of the President, FSB, or anyone else. Because we don’t want the country to live further in corruption lies, and bureaucracy.

When we fought in Africa, we were told that we needed Africa, and then they dumped it, because they stole all the money that was meant to come for help.

When we were told we are fighting with Ukraine, we went and fought. But it turned out that the ammo, weapons, all money put towards this were also being stolen, while officials are sitting and saving them for themselves for an incident that happened today, when someone is going towards Moscow."

Now they are not saving anything, they are striking us with planes and helicopters at the columns with civilians. And they hit civilians because they’re missing. And they hit anywhere they can.

Thus, we are the patriots, but those resisting us today are those who gathered around scumbags.

Audio: t dot me/Prigozhin_hat
Duh!
 
BREAKING NEWS

Rais wa Beralus Lukashenko amefanikiwa kumshawishi mkuu wa Wagner kuweka chini silaha na kumaliza tofauti zake na jeshi la Urusi. Wapiganaji wa Wagner wamesitisha kuelekea Moscow.
Ukweli ni kwamba wasingefanya chochote kile. Jeshi ni Silaha, silaha zote za WAGNER wanapewa na PUTIN afu uanze kuwatisha? Tumieni akili hizo.
 
Dume la mbegu hilo ,jogoo dume kiboko cha Jeshi la Urusi

Para Military group lenye mafunzo makali.kuliko jeshi la serikali ya Urusi

Hilo jeshi lina wapiganaji wenye uwezo mkubwa kuliko jeshi la serikali na lilianzishwa kwa lengo moja tu kukabiliana na jeshi la serikali kama litakuja kuasi ili.kipande cha Russia kilichobaki baada ya Soviet Union kusambaratika sababu ya uasi wa jeshi kisije tokea kwenye Russia ya Putin

Sasa wamegeuka jeshi la Russia halina uwezo wa kupambana nao hata asilimia 20

Wagner mafunzo kivita ni.mara mia ya Askari wa serikali wa rank yeyote toka chini hadi juu
Serikali ya Russia muda wowote inapinduliwa na Putin atachinjwa kama kuku wa mdondo ingawa kuna taarifa kuwa kakimbilia Iran taarifa ambazo zijadhibitisha bado kuwa baada ya press Conferenc makomandoo wa chechna na Iran ambao amekuwa akiwatumia kwenye ulinzi binafsi waliondoka naye kwenda Iran kwenye mji.mmojawapo Iran ili Wagner kama wanawinda kichwa chake wasimpate

Kwa maoni yangu siku tatu toka sasa tutajua mbivu na mbichi kama Putin yuko Kremlin au la

Tuvute subira
Hawezi kuwa kremlin mkuu
 
Kama mimi ni mtoto subiri muda utaongea mimi nakuambieni hao wagner wakitifuana na jeshi la urusi ndiyo mwisho wao watachukua siku 3 tu na waliobaki wote wata jisalimisha
Huyo umbwa achana nae kazi imeisha mkuu prigo mwezi wa nane anaenda kuwazalisha hao kwao
 
Rushwa Urusi ni kubwa sana na ufisadi Mishahara ya wagner imeliwa na mkuu wa jeshi and then mkuu wa jeshi anajikinga kwa raisi... package ya silaha addressed to wagner aliizuia sijui kaiuza chechnia au wapi yaani ufisadi mbele kwa mbele na wivu wanaoneana and Wagner walipotaka kurejea home akawategea mambomu ili wafu wasije dai fedha zao sasa jamaa kaamua mbwai mbwai tu
Mkuu, una uhakika na haya unoongea?
 
Back
Top Bottom