AhsaaanteInasemekana Wagner hawajaongea na Lukashenko.
Belarus wametumika kuwachanganya Wagner
Prigozhin hajaongea lolote kuhusu makubaliano
[emoji91][emoji91][emoji635][emoji779][emoji779]New Prigozhin voice message - "We came within 200km of Moscow without shedding a drop of blood, now there is the possibility of blood being shed, understanding this responsibility we will turn around our convoys and return to our bases"
Hawa jamaa kwa kupigana Ni hatar Sana[emoji848]Helikopta nyingine ya kijeshi ya Urusi imeangushwa Chini. Ilikuwa inataka kuwashambulia wapiganaji wa Wagner kwenye misafara yao kuelekea Moscow. View attachment 2667322
Siku mkijua kuwa jeshi la urusi lipo ngangali kwelikweli mtakuwa mmechelewa putini ana akili nyingi sana ...hapo kawaacha wagner kwa sababu hataki kupoteza nguvukazi na silaha bure...maana putini amesha chora red line kwa wagner kutokusonga mbele au kushambuliaBelarus imesema kuwa imeelekezwa na Putin Belarus iwe mediator kati ya Russia na Wagner, kwamba Wagner waweke silaha chini na hawatafanywa lolote lile
Wapi huko mkuuHuku kwenye source unaangalia kama series
Hii habari imeniuma Sana,aisee sisi warusi weusi sijui tufanye nini🥲
Jamani si mmesema humu kuwa Helkopta 7 zimeangushwa?[emoji91][emoji91]
[emoji635][emoji779][emoji779]Ujumbe mpya wa sauti wa Prigozhin - "Tulifika ndani ya kilomita 200 kutoka Moscow bila kumwaga hata tone la damu, sasa kuna uwezekano wa damu kumwagika, tukielewa jukumu hili tutageuza misafara yetu na kurudi kwenye vituo vyetu"
Mi nazan kuna Utayar wa dharula unatengenezwa na SERIKALI
Mapinduz hayawez kuwa rahis hv uwe Km200 kufikia mji mkuu bila kumwaga Damu kweliii
[emoji613][emoji613][emoji613][emoji419][emoji419][emoji419][emoji375][emoji375][emoji375][emoji2484][emoji2484][emoji762]
Kuna Jambo kubwa ndan ya masaa 36 had 72 litajili
Binafs Hadi mikono inanitetemeka[emoji26]Duh! Akili yangu haikujiandaa kabisa kwa hili!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wagner nao wapuuzi tu, yaani wamekaribia kabisa wanakubali weka mikono chini, wacha washughulikiwe sasa
Mkuu em kunywa maji kwanza, afu twende kwenye uzi wa mikeka kule ukatupe code., Huku hakukufai 😂😂Wagner nao wapuuzi tu, yaani wamekaribia kabisa wanakubali weka mikono chini, wacha washughulikiwe sasa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Je Wagner wataondoka Rostov?
Putin lazima awakaange haswa, watajuta kumfahamu Putin
Na ukumbuke Wagner ina wapiganaji wengi makomandoo,zaidi ya yote wana uzoefu mkubwa wa vita.Msafara wa kijeshi wa kwanza wa wapiganaji wa Wagner ukianza kutoka mji wa Rostov kuelekea Moscow. Mkuu wa Wagner amesema kwamba watapiga na kuharibu na kuchoma moto chochote kitakachojaribu kuwazuia katika safari yao ya kuelekea Moscow. Amewataka raia wa Urusi kuwa watulivu na kukaa kwenye majumba yao. Pia amewataka wanajeshi wa Urusi kuweka chini Silaha zao kwani hawana nguvu za kupambana na wapiganaji wake. View attachment 2667266
Ila bado,Prigo anasema kapumnzika.Kuna mengi yatatokea.Wachambuzi wa kibongo mnaweka wapi Sura zenu sasa?
Zuzu ni zuzu wewe ni zuzuWagner nao wapuuzi tu, yaani wamekaribia kabisa wanakubali weka mikono chini, wacha washughulikiwe sasa
Ha hahahaha haaaa! Bosi wa PMC si mpuuzi namna hiyo. Anarudi Kambini!TAyari wameanza kuingia Moscow kama mabasi ya mkoa.