Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

[emoji635][emoji779][emoji779]New Prigozhin voice message - "We came within 200km of Moscow without shedding a drop of blood, now there is the possibility of blood being shed, understanding this responsibility we will turn around our convoys and return to our bases"
[emoji91][emoji91]
[emoji635][emoji779][emoji779]Ujumbe mpya wa sauti wa Prigozhin - "Tulifika ndani ya kilomita 200 kutoka Moscow bila kumwaga hata tone la damu, sasa kuna uwezekano wa damu kumwagika, tukielewa jukumu hili tutageuza misafara yetu na kurudi kwenye vituo vyetu"


Mi nazan kuna Utayar wa dharula unatengenezwa na SERIKALI

Mapinduz hayawez kuwa rahis hv uwe Km200 kufikia mji mkuu bila kumwaga Damu kweliii
[emoji613][emoji613][emoji613][emoji419][emoji419][emoji419][emoji375][emoji375][emoji375][emoji2484][emoji2484][emoji762]

Kuna Jambo kubwa ndan ya masaa 36 had 72 litajili
 
Taarifa iliyotolewa na Yevgeny Prigozhin ambaye ni Mmiliki wa Jeshi hilo Binafsi, imeeleza kuwa wanachukua uamuzi huo baada ya kuzungumza na Rais wa Belarus, Alexander Lukashenko.

Hatua hiyo imekuja wakati Jeshi la Wagner likiwa jirani kwa Kilomita takriban 300 kuingia Mji Mkuu wa Moscow yalipo makazi ya Rais wa Urusi, Vladimir Putin.

Kwa mujibu wa Vyombo vya Habari vya Kimataifa, Rais Putin anakabiliwa na tishio kubwa zaidi kwa utawala wake wakati huu kuliko kipindi chocho.


===========

Wagner chief Yevgeny Prigozhin says he ordered his mercenaries to halt their march on Moscow to avoid “shedding Russian blood”.

The comments by Prigozhin in an audio message came after Belarus’ leader Alexander Lukashenko said he negotiated with the mercenary boss to stop Wagner’s troop movement.''

Prigozhin said while his men are just 200km (120 miles) from Moscow, he decided to turn them back to avoid to prevent killings.

He did not say whether the Kremlin responded to his demand to oust Defence Minister Sergey Shoigu. There was no immediate comment from the Kremlin.

President Vladimir Putin faced the biggest threat to his rule yet with rebel mercenaries advancing towards the Russian capital after seizing a key military base.

AL JAZEERA
 
Belarus imesema kuwa imeelekezwa na Putin Belarus iwe mediator kati ya Russia na Wagner, kwamba Wagner waweke silaha chini na hawatafanywa lolote lile
Siku mkijua kuwa jeshi la urusi lipo ngangali kwelikweli mtakuwa mmechelewa putini ana akili nyingi sana ...hapo kawaacha wagner kwa sababu hataki kupoteza nguvukazi na silaha bure...maana putini amesha chora red line kwa wagner kutokusonga mbele au kushambulia
 
[emoji91][emoji91]
[emoji635][emoji779][emoji779]Ujumbe mpya wa sauti wa Prigozhin - "Tulifika ndani ya kilomita 200 kutoka Moscow bila kumwaga hata tone la damu, sasa kuna uwezekano wa damu kumwagika, tukielewa jukumu hili tutageuza misafara yetu na kurudi kwenye vituo vyetu"


Mi nazan kuna Utayar wa dharula unatengenezwa na SERIKALI

Mapinduz hayawez kuwa rahis hv uwe Km200 kufikia mji mkuu bila kumwaga Damu kweliii
[emoji613][emoji613][emoji613][emoji419][emoji419][emoji419][emoji375][emoji375][emoji375][emoji2484][emoji2484][emoji762]

Kuna Jambo kubwa ndan ya masaa 36 had 72 litajili
Jamani si mmesema humu kuwa Helkopta 7 zimeangushwa?
 
Wagner nao wapuuzi tu, yaani wamekaribia kabisa wanakubali weka mikono chini, wacha washughulikiwe sasa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Msafara wa kijeshi wa kwanza wa wapiganaji wa Wagner ukianza kutoka mji wa Rostov kuelekea Moscow. Mkuu wa Wagner amesema kwamba watapiga na kuharibu na kuchoma moto chochote kitakachojaribu kuwazuia katika safari yao ya kuelekea Moscow. Amewataka raia wa Urusi kuwa watulivu na kukaa kwenye majumba yao. Pia amewataka wanajeshi wa Urusi kuweka chini Silaha zao kwani hawana nguvu za kupambana na wapiganaji wake. View attachment 2667266
Na ukumbuke Wagner ina wapiganaji wengi makomandoo,zaidi ya yote wana uzoefu mkubwa wa vita.

Na Putin chokochoko zote alikuwa anawategemea hawa Wagner. Ukumbuke hawa Wagner ni zao lake,hivyo alikuwa anawategemea sana kwenye hivi vita.

Zaidi sana Warusi wengi hawakubariani kabisa na uamuzi wa Putin kuingia vitani miaka hii. Na Warusi wengi wamechoka sana na uongozi wa kidkteter wa Putin. Hapo Wagner tutegemee mapokezi makubwa ya Wagner kutoka kwa wananchi kokote kwa hatua watakayofikia. Pia tutegemee wanajeshi wengi kutoka upande wa serikali kujiunga na kundi la Wagner. Putin amejificha.
 
Back
Top Bottom