Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

🇧🇾🇷🇺❗Lukashenko held talks with Prigozhin in agreement with Putin — press service of the President of the Republic of Belarus.

Yevgeny Prigozhin accepted the proposal of the President of Belarus Alexander Lukashenko to stop the movement of armed persons of the Wagner company on the territory of Russia and take further steps to de-escalate tensions with security guarantees for the Wagner PMC fighters.
 
Amegeuza msafara! Leteni habari nyingine.
Ni kosa kuamini kauli za watu wanafiki na waongowaongo vitani. Ukishakuwa muongo ni milele hiyo, ceasefire na retreats huwa zinatangazwa mara nyingi vitani na bado kuna tukio linasababisha waibue mapigano tena. Ni kusubiri mpaka control kamili iwepo ndio kushangilia kuanze
 
Ila bado,Prigo anasema kapumnzika.Kuna mengi yatatokea.
Kwangu naona ni kama drama,
1. Wanatafuta sababu ya kuestablish millitary Law.
2. Walikuwa wanataka kusafisha wasaliti wote within the country ( ambao wangeside na wagner).
3. Ni mpango wa Putin kuwapora nguvu ya kijeshi Gerasiminov na Shoigu.
4. Ni kweli anayoyasema Prigo labda wizara ya ulinzi imepiga mishahara ya Wagner.
With time tutajua Yote.
Ila Utkin wala Prigo sio wajinga kuanzisha "coup" this time.
 
Hili lilikuwa chezo wanatuchezea wapuuzi Hawa, haiwezekani watu wateke Kambi ya kesho bilakufa mtu hata mmoja walakurushiana risasi, alafu eti watu wapo road na msafara wa magar ya jeshi wanakuambia wanakuja kumla kichwa Rais wa nchi mnawangojea mji mkuu ndio mpambane nao haingii akilini.
 
Prigozhin hajaongea lolote kuhusu makubaliano
The insurrection reached the brink of major bloodshed, Prigozhin said, explaining that Wagner’s advancing columns will return to their camps “according to plan.”

“They wanted to disband PMC Wagner. On June 23, we went on a March of Justice in a day. We advanced on Moscow just 200km short, and during this time we did not shed a single drop of the blood of our fighters,”
he claimed.
====
Pole imeisha Hiyo.
 
Control ya nini?
Nobody controls anything.
 
Mkuu adui aliyeko kwako alafu ni jirani ama mtoto wako ni hatari sana. Ukraine mambo ilikuwa hivi hivi kwamba tusubiri mapaka hali ilivyo sasa. Ujasiri wa Wagner kutangaza uasi sio jambo la kuchukulia poa hata kama wasingepigana Russia.
Hofu yangu Wagner wasije pata misaada Toka West[emoji26]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…