Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Kama mimi ni mtoto subiri muda utaongea mimi nakuambieni hao wagner wakitifuana na jeshi la urusi ndiyo mwisho wao watachukua siku 3 tu na waliobaki wote wata jisalimisha
Utoto wako ni kusema kampuni ya wagner ni bora kuliko shirika la NATO....Hapo nikahisi labda upo chuo bado unasotea degree
 
Jambo la msingi hapa ni raia wa Urusi wapo upande gani, wanaelewa kwa nini nchi yao ipo vitani?

Hili ndilo la msingi kabisa; vinginevyo, kuna baadhi ya watu tayari wanaodhani "Wagner " ni sehemu ya kuisambaratisha uRusi, mpango ambao lilikuwa lengo la hao wabaya wa Urusi.

Wagner haendi popote, kama hana msingi wake ndani ya jamii nchini. Atafyekewa mbali haraka sana na kusahaulika kuwa aliwahi kuwepo.

Hakuna nchi moja ya Magharibi, wala hao NATO watakaothubutu kufaidika na mtifuko huu alioufanya Yevgo. Hata haijulikani alitegemea afaidike vipi kwa jambo kama hili.

Nchi yako ipo katika vita hatarishi kama hii, halafu unafanya uhaini wa namna hii? Huyo Jamaa habari yake ndiyo hivyo inafikia tamati yake.
 
Wapi huko mkuu
Intel slava is a Russian News aggregator who covers Conflicts/Geopolitics and urgent news from around the world.

Funded by Putin, Russian ministry of defence, FSB, GRU and SVR
 
Ukiwa huku unatema madini sana, ukirudi kutetea Makolo ni mashudu matupu.
 
Hayo ni maoni yako binafsi mkuu??? Au una utaalamu wa kijeshi
 
Aliyeomba nani? Yaani kikundi cha WAGNER kiwatishie RAF? we jamaa tumia akili yako vizuri. Hao WAGNER hata kubattle na CHECHEN hawawezi.
Unapoteza muda wako kuelewesha raia kama hizo.

Kuna watu wanaongea kama wamekatwa vichwa, movies zimefanya waamini mambo ni yaleyale katika uhalisia. Kikundi (WAGNER) kisumbue RAF?

Hii issue itang'oa wale wote waliokuwa na chambechembe za uasi ambao walikuwa wamejificha, maana kwa namna yoyote ile ni lazima walijipendekeza.

MTEGO
 
Nimerudia tena na tena Wagner hawana ubavu wa kumpindua Putin
 
Hizi habar nmezipokea kwa masikitiko na majonzi makubwa sn,Yaan hadi mikono inanitetemeka[emoji26]
 
Makachero wa MI16 washafanya yao daaa hatari Sana hii dunia.
 
Jamaa lina sura ngumu kama wale Neanderthal (binadamu wa kale ulaya walioishi kwenye mapango )
 
Naifatilia kwa karibu sana hii issue.. tuipw mda ila kuna picha muhimu tumeona.. hakuna uasi kwa wananchi.. kama wananchi wangekuwa OP wangeungana na hawa Wagner. Ila wananchi wametulia zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…