othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Hawa watu kipindi Cha magu wali trend sn[emoji1787]Mean while!!.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa watu kipindi Cha magu wali trend sn[emoji1787]Mean while!!.
Utoto wako ni kusema kampuni ya wagner ni bora kuliko shirika la NATO....Hapo nikahisi labda upo chuo bado unasotea degreeKama mimi ni mtoto subiri muda utaongea mimi nakuambieni hao wagner wakitifuana na jeshi la urusi ndiyo mwisho wao watachukua siku 3 tu na waliobaki wote wata jisalimisha
Sio rahisi, Wagner wanapigana na Ukraine sio Urusi.....west hawezi kuipa silaha Wagner.Hii habari imeniuma Sana,
Sasa rasmi Wagner wakiishiwa silaha watasaidiwa na WEST, kitu ambacho Ni disaster kwa Russia[emoji26]
Sasa hivi hapa watakimbia tenaWameona mseleleko
Jambo la msingi hapa ni raia wa Urusi wapo upande gani, wanaelewa kwa nini nchi yao ipo vitani?Mimi naona Hili suala ni trap au strategy ya kijeshi, haiwezekani Putin hakuona kwamba kuwa na jeshi binafsi vs serikali kwenye field Moja inaweza kuwa na mgongano wa kimaslahi huko mbeleni.
I'm sure he saw this one coming na ndio ataitumia kuimaliza kabisa Wagner ama kutumia Wagner kuondoa wabaya wake jeshi la Russia.
As much as I support Ukraine ila Putin sio mjinga kiasi ambacho hii thread inamuonyesha. In Fact NATO au US haitaki Putin ang'olewe Bali wanataka tu aondolewe Ukraine otherwise vita inaweza kuwa kubwa ikaleta maafa ya kidunia.
Wataalam wanaita "Appeasement Policy" yaani unamfurahisha adui Yako Ili asiwe "mkali" kuepusha "retaliation".
Cc Proved Kalamu mtu chake
Pro Ukraine hao 🤣🤣🤣Wameona mseleleko
Intel slava is a Russian News aggregator who covers Conflicts/Geopolitics and urgent news from around the world.Wapi huko mkuu
Ukiwa huku unatema madini sana, ukirudi kutetea Makolo ni mashudu matupu.Nachojiiuliza mimi ni kwanini imekuwa rahisi kwa Wagner kuiteka hiyo miji mikubwa katika muda mfupi?
Wakati kule Ukraine, Wagner walipojaribu kushambulia mji kubwa walikutana na pingamizi ambalo liliwafanya wabadili mtazamo kwa kuelekea eneo lingine.
Napo huko walitumia siku nyingi kuteka maeneo ambayo ni madogo kwenye habari yalikuwa yaliyokuwa yananukuliwa kwa neno la "vijiji"?
Sasa ndio kwamba Ukraine ilikuwa compact kujilinda kuliko Urusi?
Mbona imekuwa rahisi mno kwa Urusi kuliko ilivyokuwa kwa Ukraine?
Au Urusi hawezi kutumia force kubwa kuwadhibiti hao Wagner kwasababu ya kuhofia kuharibu miundombinu ya nchi yake pamoja na kuwadhuru raia?
Yani hii confusion inazidi kuniacha na maswali mengi zaidi.
Hayo ni maoni yako binafsi mkuu??? Au una utaalamu wa kijeshiJambo la msingi hapa ni raia wa Urusi wapo upande gani, wanaelewa kwa nini nchi yao ipo vitani?
Hili ndilo la msingi kabisa; vinginevyo, kuna baadhi ya watu tayari wanaodhani "Wagner " ni sehemu ya kuisambaratisha uRusi, mpango ambao lilikuwa lengo la hao wabaya wa Urusi.
Wagner haendi popote, kama hana msingi wake ndani ya jamii nchini. Atafyekewa mbali haraka sana na kusahaulika kuwa aliwahi kuwepo.
Hakuna nchi moja ya Magharibi, wala hao NATO watakaothubutu kufaidika na mtifuko huu alioufanya Yevgo. Hata haijulikani alitegemea afaidike vipi kwa jambo kama hili.
Nchi yako ipo katika vita hatarishi kama hii, halafu unafanya uhaini wa namna hii? Huyo Jamaa habari yake ndiyo hivyo inafikia tamati yake.
Unapoteza muda wako kuelewesha raia kama hizo.Aliyeomba nani? Yaani kikundi cha WAGNER kiwatishie RAF? we jamaa tumia akili yako vizuri. Hao WAGNER hata kubattle na CHECHEN hawawezi.
Vita ni mkadirio Home boySasa nimeamini vita sio yale machuma yaliyopewa jina la mabomu.
Vita ni intelligence
Nimerudia tena na tena Wagner hawana ubavu wa kumpindua PutinJambo la msingi hapa ni raia wa Urusi wapo upande gani, wanaelewa kwa nini nchi yao ipo vitani?
Hili ndilo la msingi kabisa; vinginevyo, kuna baadhi ya watu tayari wanaodhani "Wagner " ni sehemu ya kuisambaratisha uRusi, mpango ambao lilikuwa lengo la hao wabaya wa Urusi.
Wagner haendi popote, kama hana msingi wake ndani ya jamii nchini. Atafyekewa mbali haraka sana na kusahaulika kuwa aliwahi kuwepo.
Hakuna nchi moja ya Magharibi, wala hao NATO watakaothubutu kufaidika na mtifuko huu alioufanya Yevgo. Hata haijulikani alitegemea afaidike vipi kwa jambo kama hili.
Nchi yako ipo katika vita hatarishi kama hii, halafu unafanya uhaini wa namna hii? Huyo Jamaa habari yake ndiyo hivyo inafikia tamati yake.
Wewe unaonaje?Hayo ni maoni yako binafsi mkuu??? Au una utaalamu wa kijeshi
Hizi habar nmezipokea kwa masikitiko na majonzi makubwa sn,Yaan hadi mikono inanitetemeka[emoji26]Ni vyema sana kucheza fair kila wakati.
Tuliwaonya hawa Warusi wa Makunduchi na kwa Mpalange kuwa wasifurahie watu kuuawa Ukraine.
Waliishia kutuita majina mabaya mara tuhusishwe na upinde ...fambaf zao leo wote wameficha sijda zao huku wakijipaka mafuta kujiandaa kupelekewa moto[emoji1787]
DeepPond simuoni
Jamaa yangu @exrovert yeye ana like kimya kimya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Makachero wa MI16 washafanya yao daaa hatari Sana hii dunia.Wizara ya mambo ya nje ya Uingereza imeonya kuhusu uwezekano wa kuwepo kwa hatari ya machafuko kote nchini Urusi, Taarifa ya London inakuja wakati huu pia ikitoa tahadhari kwa wasafiri baada ya Kundi la Wagner kudaiwa kuteka baadhi ya maeneo nchini Urusi.
Serikali ya Uingereza iliendelea kushauri dhidi ya safari zote kwenda Urusi.
Jamaa lina sura ngumu kama wale Neanderthal (binadamu wa kale ulaya walioishi kwenye mapango )Mimi siku zote nitaendelea kumtetea mzee Shoigu. Ni mtu mtulivu asiye na mambo mengi na hana madhambi mzee wa watu.
Prigozhin inawezekana hakushambuliwa kabisa kabisa, alitafuta justification. Na kwa sababu Urusi ni nchi ya uongo na propaganda kila mmoja anajua kuzitumia vizuri na kutengeneza.
Prigozhin aliona aibu kumtaja Putin moja kwa moja, pia aliona upinzani unaweza kuwa mkali. Akaona aanze na kumtaja mzee Shoigu asiye na makuu, then makamanda wa jeshi watapunguza makali kidogo alafu taratibu asome upepo amtaje Putin. Vilevile Prigozhin alijua fika akimfuata Shoigu atamlazimisha Putin kutoa tamko la kumzuia na kutaja maneno fulani ambayo atayatumia dhidi yake, ikawa hivyo naye akakwepa aibu ya direct. Nikikuita wewe mjinga alafu ghafla ukanivamia na kunipiga kipigo kikali huku unatamka "mjinga nani?" kuna uwezekano ulikuwa unanitafutia kisa.
Cha ajabu anayeongoza msafara wa Wagner kwenda Moscow ni huyu jamaa mwenye alama za Nazi mabegani. Russia tuliwaambia Nazis wanao wenyewe nchini wako wakashupaza shingo, wakawa wanataja sababu uchwara za denazification na demilitarisation ndani ya siku tatu. Kumbe sasa imekuwa Nazification of Russia ndani ya siku ngapi hiziView attachment 2667661
Upewe maua yako mkuutujadili.bandari.yetu
prigo hafikishi kesho MTU fani yake mpishi atapambana.na.jasusi
Naifatilia kwa karibu sana hii issue.. tuipw mda ila kuna picha muhimu tumeona.. hakuna uasi kwa wananchi.. kama wananchi wangekuwa OP wangeungana na hawa Wagner. Ila wananchi wametulia zao.Pia huo ndio utakuwa mwisho wa Wegnar ambapo itamlazimu Urusi kuwatoa wanajeshi wake kwenda kupigana Ukrain kitu ambacho Putin alikuwa hataki.
Yani hii hali ya leo imekaa vibaya sana kwa Putin.
Toka mwanzo nilikuwa nasema hii vita ni faida tupu kwa USA na washikrika wake