[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kukimbia vita kunanjia nyingi,hapo unajifanya umesalitiwa,mamluki wanarudi nyumbani kwa kujifanya waasi,wakifika home,wanajifanya wanataka kupatanishwa
Wale waliokua wanasema helcopter 7 zimedondoshwa wako wapi[emoji1787][emoji635][emoji779][emoji779]New Prigozhin voice message - "We came within 200km of Moscow without shedding a drop of blood, now there is the possibility of blood being shed, understanding this responsibility we will turn around our convoys and return to our bases"
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahahha rusia ndio taifa pekee la kiume na mashabiki wake ni wanaume haya kazi imeisha umbwa nyie manyato njooni kwenye uzi pendwa kuku nyie fanfa mmefikia wapi
Wamenyooshwa balaa,Pro Nato bana!, kwaiyo sasa umesalimu amli.. Umeona walivyokuchezea akili [emoji119][emoji16]
Kazi bado enyi wafufuka tulieni😂
Kuna watu walishaanza kuisifia Marekani sijui FBI sijui CIA imefanya mambo yao. Yaani wanaipaga marekani sifa ambazo hanaWikipedia nao walikuwa teyari washaanza kuandika kuhusu tukio la leo
View attachment 2667772
Ulikuwa unasema?Ziba mdomo wako mkuu, kuwa na akiba ya maneno.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]pole sn mkuuNgoja nikaendelee kubeti. Progi sijui amenihuzinisha mbwa yule
Utakuwa na ubongo wa kuchovya, hili halihusu wachambuzi wa kibongo pekee bali dinia nzima.Wachambuzi wa kibongo mnaweka wapi Sura zenu sasa?
Polen Sana pro NATO[emoji16]Wagner nao wapuuzi tu, yaani wamekaribia kabisa wanakubali weka mikono chini, wacha washughulikiwe sasa
Kuna watu walishaanza kuisifia Marekani sijui FBI sijui CIA imefanya mambo yao. Yaani wanaipaga marekani sifa ambazo hanaWikipedia nao walikuwa teyari washaanza kuandika kuhusu tukio la leo
View attachment 2667772
Hauwawi hata mmoja,Je Wagner wataondoka Rostov?
Putin lazima awakaange haswa, watajuta kumfahamu Putin
Kuna watu waongo Sana humu[emoji16]Jamani si mmesema humu kuwa Helkopta 7 zimeangushwa?
Mwamba kapata stress sn[emoji16]Mkuu em kunywa maji kwanza, afu twende kwenye uzi wa mikeka kule ukatupe code., Huku hakukufai [emoji23][emoji23]
Labda akimaanisha ni wazuri wakujitazama kwenye kioo, pia labda ni wazuri wa kimaumbileWagner ni bora kuliko NATO mkuu???? Katika nyanja ipi????? Maana NATO ni muunganiko wa nchi na Wagner ni kampuni ya askari mamluki hawazidi 50,000
Unoma wake upi wakati wanamgambo wamemjambishaPutin noma
Kama kaenda Iran huko ajue mosad wanamsubiri na pengine mpaka Sasa wanajua mpaka blanket alilojifunika[emoji1787][emoji1787]Dume la mbegu hilo ,jogoo dume kiboko cha Jeshi la Urusi
Para Military group lenye mafunzo makali.kuliko jeshi la serikali ya Urusi
Hilo jeshi lina wapiganaji wenye uwezo mkubwa kuliko jeshi la serikali na lilianzishwa kwa lengo moja tu kukabiliana na jeshi la serikali kama litakuja kuasi ili.kipande cha Russia kilichobaki baada ya Soviet Union kusambaratika sababu ya uasi wa jeshi kisije tokea kwenye Russia ya Putin
Sasa wamegeuka jeshi la Russia halina uwezo wa kupambana nao hata asilimia 20
Wagner mafunzo kivita ni.mara mia ya Askari wa serikali wa rank yeyote toka chini hadi juu
Serikali ya Russia muda wowote inapinduliwa na Putin atachinjwa kama kuku wa mdondo ingawa kuna taarifa kuwa kakimbilia Iran taarifa ambazo zijadhibitisha bado kuwa baada ya press Conferenc makomandoo wa chechna na Iran ambao amekuwa akiwatumia kwenye ulinzi binafsi waliondoka naye kwenda Iran kwenye mji.mmojawapo Iran ili Wagner kama wanawinda kichwa chake wasimpate
Kwa maoni yangu siku tatu toka sasa tutajua mbivu na mbichi kama Putin yuko Kremlin au la
Tuvute subira