Dume la mbegu hilo ,jogoo dume kiboko cha Jeshi la Urusi
Para Military group lenye mafunzo makali.kuliko jeshi la serikali ya Urusi
Hilo jeshi lina wapiganaji wenye uwezo mkubwa kuliko jeshi la serikali na lilianzishwa kwa lengo moja tu kukabiliana na jeshi la serikali kama litakuja kuasi ili.kipande cha Russia kilichobaki baada ya Soviet Union kusambaratika sababu ya uasi wa jeshi kisije tokea kwenye Russia ya Putin
Sasa wamegeuka jeshi la Russia halina uwezo wa kupambana nao hata asilimia 20
Wagner mafunzo kivita ni.mara mia ya Askari wa serikali wa rank yeyote toka chini hadi juu
Serikali ya Russia muda wowote inapinduliwa na Putin atachinjwa kama kuku wa mdondo ingawa kuna taarifa kuwa kakimbilia Iran taarifa ambazo zijadhibitisha bado kuwa baada ya press Conferenc makomandoo wa chechna na Iran ambao amekuwa akiwatumia kwenye ulinzi binafsi waliondoka naye kwenda Iran kwenye mji.mmojawapo Iran ili Wagner kama wanawinda kichwa chake wasimpate
Kwa maoni yangu siku tatu toka sasa tutajua mbivu na mbichi kama Putin yuko Kremlin au la
Tuvute subira