Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

[emoji635][emoji779][emoji779]New Prigozhin voice message - "We came within 200km of Moscow without shedding a drop of blood, now there is the possibility of blood being shed, understanding this responsibility we will turn around our convoys and return to our bases"
Wale waliokua wanasema helcopter 7 zimedondoshwa wako wapi[emoji1787]
 
Wachambuzi wa kibongo mnaweka wapi Sura zenu sasa?
Utakuwa na ubongo wa kuchovya, hili halihusu wachambuzi wa kibongo pekee bali dinia nzima.

Aljazeera ameripoti kutwa ewe kunguru wa kibiti😂😂
 
Je Wagner wataondoka Rostov?

Putin lazima awakaange haswa, watajuta kumfahamu Putin
Hauwawi hata mmoja,
Rostov hakukua na mapinduzi,
Ile ilkua njia TU kuelekea Moscow
Na taarifa ishatoka juu wasibughudhiwe[emoji4]
 
Dume la mbegu hilo ,jogoo dume kiboko cha Jeshi la Urusi

Para Military group lenye mafunzo makali.kuliko jeshi la serikali ya Urusi

Hilo jeshi lina wapiganaji wenye uwezo mkubwa kuliko jeshi la serikali na lilianzishwa kwa lengo moja tu kukabiliana na jeshi la serikali kama litakuja kuasi ili.kipande cha Russia kilichobaki baada ya Soviet Union kusambaratika sababu ya uasi wa jeshi kisije tokea kwenye Russia ya Putin

Sasa wamegeuka jeshi la Russia halina uwezo wa kupambana nao hata asilimia 20

Wagner mafunzo kivita ni.mara mia ya Askari wa serikali wa rank yeyote toka chini hadi juu
Serikali ya Russia muda wowote inapinduliwa na Putin atachinjwa kama kuku wa mdondo ingawa kuna taarifa kuwa kakimbilia Iran taarifa ambazo zijadhibitisha bado kuwa baada ya press Conferenc makomandoo wa chechna na Iran ambao amekuwa akiwatumia kwenye ulinzi binafsi waliondoka naye kwenda Iran kwenye mji.mmojawapo Iran ili Wagner kama wanawinda kichwa chake wasimpate

Kwa maoni yangu siku tatu toka sasa tutajua mbivu na mbichi kama Putin yuko Kremlin au la

Tuvute subira
Kama kaenda Iran huko ajue mosad wanamsubiri na pengine mpaka Sasa wanajua mpaka blanket alilojifunika[emoji1787][emoji1787]

Kibabu Putin kimeyakanyaga
 
Back
Top Bottom