Kamwe hawezi kuwa na mwisho mwemaUnaambiwa usikuu Huu,
Kuna mvua ya mabomu inamwagwa uko Kiev [emoji16]
Hahahaaa mnajizima data asee mtu kateka jimbo hlf nyiny ndo mmeomba poo , na swali lipo open kwa mantiki hiyo jeshi la urusi linastahiri kuitwa imara km wagner tu inawasumbuaPrigozhin in audio message: To avoid bloodshed we are returning our convoys to bases.
Mchezo umeishaisha, turudini Donbass
Imeisha iyo,Kazi bado enyi wafufuka tulieni[emoji23]
Hv unauliza nn ? Mbona sikuelew kuna maswal hupasw kuuliz aseeJimbo la nani?
Fuatilia acha uchawa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Wateke nani hilo Jimbo?
Putin akili kubwa[emoji16]Leo cdhan kama ntalala, maana BBC hawapoi. Ila Putin ni mnyama sana mwaisa, watoto wadogo wameufyata, wanarudi kuendeleza mapambano matakatifu dhidi ya Comedian hahahahaha. Wayukreni wa mtoni kwa aziz ali mpo wapi?
Leo ndo mnakumbuka kuwa mamv hayakuhusu ?ngozi nyeusi bhna tabu tupu kazi kupiga kelele kushadadia mambo yasiyo wahusu,mara cjui putin atakoma sijui wagner kafanyaje upuuzi mtupu.
badala muangalie ya nchini kwenu kazi kuleta ujuaji thats why i sayed black people waliumbwa kwa majaribio ndo zikaja race nyingne uwezo wenu wa kufikiri ni poor
We mkumbatie mamaJ wako tuImeisha iyo,
Kichapo kinaendelea uko ukriane usiku Huu[emoji16]
Wakipewa mission wanakamilisha na kukabidhi, Huoni maripol ilivokubwa kuliko bakhmuti, chap Sana wameiteka yote na kiukabidhi kwa RF, Sahv hamna Vita Tena inajengwa upya[emoji16]HAwajakutana na wababe wafyekwe
Video za videogame zile,Unajua Putin naye sio mjinga, anajua fika ana wapinzani wa ndani wangeungana na Wegner.
Lakini si walianza kuharibu barabara kwa magreda?
Mliaibika ninyi wapenda mauajiKaaibika vby mno [emoji4]
[emoji1787]kwaiyo prigo anaihujumu tzUkute hii move ya Prigo imeratibiwa na DP World ili kutusahaulisha watanganyika sakata la bandari yetu!
Kichapo kinaendelea [emoji16]Wamimine tu lakini Putin
Kamwe hawezi kuwa na mwisho mwema
Nmefurah sn hii tension kuisha[emoji4]We mkumbatie mamaJ wako tu
Hivi uliumia kweli?Nmefurah sn hii tension kuisha[emoji4]
Kama Prigozin angetumia njia nyingine kufikisha ujumbe huenda Putin angemsikiliza ila kwa hiki alichokifanya Putin akiwatoa hawa itakuwa ni sawa na amekubaliana na kwamba kila atakae kuwa haelewani na MOD basi njia ni kustage mutiny. Leo wamefanya Wagner kesho wanaweza kuwa Chechens. Sio picha nzuri. Nadhani atawatoa kina Shoigu kwenye nafasi zao ila haiwezi kuwa haraka namna hiiView attachment 2667770
Wagner wamewamaindi sana hawa jamaa wawili Shoigu waziri wa ulinzi na Gerasimov Chief of General Staff
Wanawalalamikia kwa yale mabomu inayosemekana walipigwa na jeshi la Urusi
Je, jamaa watajiuzulu? Au Putin atawapiga chini? Inasemekana ni mojawapo ya makubaliano kati ya Putin, Lukaschenko na Prigozhin jamaa waondoke madarakani
Lets wait and see
Haijaisha tuliaNmefurah sn hii tension kuisha[emoji4]