Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Prigozhin in audio message: To avoid bloodshed we are returning our convoys to bases.

Mchezo umeishaisha, turudini Donbass
Hahahaaa mnajizima data asee mtu kateka jimbo hlf nyiny ndo mmeomba poo , na swali lipo open kwa mantiki hiyo jeshi la urusi linastahiri kuitwa imara km wagner tu inawasumbua
 
Leo cdhan kama ntalala, maana BBC hawapoi. Ila Putin ni mnyama sana mwaisa, watoto wadogo wameufyata, wanarudi kuendeleza mapambano matakatifu dhidi ya Comedian hahahahaha. Wayukreni wa mtoni kwa aziz ali mpo wapi?
Putin akili kubwa[emoji16]
 
ngozi nyeusi bhna tabu tupu kazi kupiga kelele kushadadia mambo yasiyo wahusu,mara cjui putin atakoma sijui wagner kafanyaje upuuzi mtupu.
badala muangalie ya nchini kwenu kazi kuleta ujuaji thats why i sayed black people waliumbwa kwa majaribio ndo zikaja race nyingne uwezo wenu wa kufikiri ni poor
Leo ndo mnakumbuka kuwa mamv hayakuhusu ?
 
Hii vita nadhani tumebaki kubahatisha tu kile kinachoendelea hatuna uhakika
 
🇷🇺⚡️ Criminal case on armed rebellion against Prigozhin will be terminated - Peskov

During the negotiations, an agreement was reached that the Wagner PMC fighters would go to field camps, and Prigozhin himself would leave for Belarus.
 
View attachment 2667770

Wagner wamewamaindi sana hawa jamaa wawili Shoigu waziri wa ulinzi na Gerasimov Chief of General Staff

Wanawalalamikia kwa yale mabomu inayosemekana walipigwa na jeshi la Urusi

Je, jamaa watajiuzulu? Au Putin atawapiga chini? Inasemekana ni mojawapo ya makubaliano kati ya Putin, Lukaschenko na Prigozhin jamaa waondoke madarakani

Lets wait and see
Kama Prigozin angetumia njia nyingine kufikisha ujumbe huenda Putin angemsikiliza ila kwa hiki alichokifanya Putin akiwatoa hawa itakuwa ni sawa na amekubaliana na kwamba kila atakae kuwa haelewani na MOD basi njia ni kustage mutiny. Leo wamefanya Wagner kesho wanaweza kuwa Chechens. Sio picha nzuri. Nadhani atawatoa kina Shoigu kwenye nafasi zao ila haiwezi kuwa haraka namna hii
 
Back
Top Bottom